Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Rais Assad aripotiwa kuikimbia Syria, Majeshi ya Waasi yatangaza kuuchukua mji mkuu wa Damascus

Ni hivi, hao wanajeshi wa jeshi la Syria wamechoka na vita.

Miaka 13 ya vita isiyoeleweka ni mingi sana.

Kupigana vita si kuwa na jeshi na vifaa tu.

Morali ya kupigana nayo ni ‘essential’ piece of the puzzle.

Familia moja imetawala nchi kwa miaka 54. Imejitajirisha beyond belief.

Wanajeshi hawalipwi ujira wa maana.

Sasa waendelee kupigana vita na waasi kwa manufaa ya nani? Kumbakisha Assad madarakani?

Hao wanajeshi nao ni raia wa Syria. Ugumu wa maisha uliopo unawagusa na wao pia ilhali Assad na familia wanaishi kama wako peponi.

Inafikia muda hao wanajeshi nao akili zinawarudia na wanaona hakuna umuhimu wa kuyaweka maisha yao hatarini kulipigania lifisadi.

I hope CCM is taking note…..
Mambo ys Libya hayo kutaka kutawala miaka yote.
 
Kinacho fatia sasahivi ni syria kuwa kama libya, Iraq na mataifa mengine ya kiarabu,. Na pengine hata huyu mrusi yawezekana alikua ni mnafiki tu hawa wazungu toka lini wakawa na upendo na waarabu?
Mrusi wala hakuwa Mnafiki lakini timing ya hawa Wafia Dini ilikuwa ni kali sana kwa sababu Putin na mwenyewe ana kimeo chake kule kwao; Iran na mwenyewe yupo kwenye standby mode kwahiyo timing ikamfanya Assad awe peke yake kwa sababu watetezi wake wakuu na wenyewe wana vimeo!
 
Bora hata ya huyo Assad kuliko hawa Mujaheeden wafia dini wasiotaka watu wa imani zingine.
Kabisa mkuu afu Bashar hakua mdini sana hata wife wake na familia kiumjula walikua kama wazungu tu
 
Mrusi wala hakuwa Mnafiki lakini timing ya hawa Wafia Dini ilikuwa ni kali sana kwa sababu Putin na mwenyewe ana kimeo chake kule kwao; Iran na mwenyewe yupo kwenye standby mode kwahiyo timing ikamfanya Assad awe peke yake kwa sababu watetezi wake wakuu na wenyewe wana vimeo!
Mrusi ana jeshi la kisasa kabisa kweli alishindwa kumpa kampani swahiba wake wa muda mrefu aisee kweli siku ya kufa nyani miti yote huteleza, kuna video fupi ikionyesha waasi wanamchukua waziri mkuu wa Syria bila ata ya buguza wala vibao wala hakuna unyanyasaji lakini ukiangalia vizur wale waasi ni kama wanazuga mbele ya camera tu huko walipoenda nae sahzi atakua ana lia kama mbwa alie kula mfupa ulio mkaba bora assad ka pita kulia kawaachia manyoya hawa Mujaheeden huwa na unyanyasaji wa kiwango cha hovyo ilihali na wao wakipata nafasi wanakua kama waliemuondoa tu mwisho wa siku nchi haikaliki ni vita tu.
 
Iran atakuwa anakula vyuma kutoka syria.. Hezbolla watakuwa wamekatiwa njia ya kupokea vifaa vya jeshi kutoka Iran
 
Haya manguo huwa wanayapenda kuyavaa ila vita ikija kweli wanaingia mitini. Chura Kiziwi naye anajifanya kuyavaa haya. Sijui anamuiga Jiwe.!?
Mkuu we unajua kabisa kombora au risasi haitambui kabisa mavazi ya mtu hawa wanavaa kwa swaga za kwene picha likitokea lakutokea watu mnatafutana alikuepo apa alikuepo apa.....
 
Asad alikuwa anawategemea sana Hezbola, Iran na Urusi

Iran na Hezbola wote wametobwa na Israel,

Urusi ndio hivyo ana fupa lake kule Ukraine,
Urusi kajaribu kurusha vikombora vyake kuwa zima waasi lakini wapi,.

Ila USA nyoko aisee, kamfungulia Urusi na Iran front nyingine ya vita alafu wote wametimua mbio mapema tu.

Urusi na Iran ni mavi matupu. Hivi walikuwa wanalinda nini sasa pale Syria?

Hivi Edogan ni pro Rusia na Iran au pro USA na Israel maana simweliwi. 😂😂
Ni ngumu sana kuielewa siasa ya Mashariki ya kati , Hawa WaSunni na Washika ngumu sana kuwaelewa.
 
Kumbe utakua unashangilia........hautakua katika wale watakao kua wanawakimbiza.....basi ngoja ufanyiwe homework yako kijana
Hahaha ma-ccm ma familia zao tutayaweka kwenye makambi.
Nitakuwa nashangilia sana.

Huko Syria unaambiwa raia wana RAHA sana, wanatamana wangesikia ASSAD amefyekwa yeye na familia yake.

Yani ule uchungu wa kukandamizwa wanatamani achomwe hadharani.
Sasa imagine, unaamka unakuta mi ccm iko selo inanyea ndoo, kuna haja kuwatandika sana ili waelewe kunyanyasa raia siyo poa.
Kumbe utakua unashangilia........hautakua katika wale watakao kua wanawakimbiza.....basi ngoja ufanyiwe homework yako kijana
Nakwambia hiyo siku itafika tu, ccm watakufa kama kuku wa videli.
Mimi nifurahi sana, wananchi tukipata UHURU.
 
20241209_060058.jpg
 
Hahaha ma-ccm ma familia zao tutayaweka kwenye makambi.
Nitakuwa nashangilia sana.

Huko Syria unaambiwa raia wana RAHA sana, wanatamana wangesikia ASSAD amefyekwa yeye na familia yake.

Yani ule uchungu wa kukandamizwa wanatamani achomwe hadharani.
Sasa imagine, unaamka unakuta mi ccm iko selo inanyea ndoo, kuna haja kuwatandika sana ili waelewe kunyanyasa raia siyo poa.

Nakwambia hiyo siku itafika tu, ccm watakufa kama kuku wa videli.
Mimi nifurahi sana, wananchi tukipata UHURU.
Hehe keyboard warrior inawezekana hata upo canada unawaingiza wenzio chaka.....huku tunajuana bwana we
 
View attachment 3172289

Ni magaidi na Al-Julani (katikati) kiongozi wa HTS ana dola milioni 10 kichwani zilitengwa na Marekani kwa yeyote ataetoa taarifa za kukamatwa kwake.
Asaivi wanamwita freedom fighter mkuu juzi alikuwa anahojiwa na Cnn anaulizwa kwann ulikuwa unachinja wazee na watoto Iraq akajibu ni utoto tu kwa sasa nimekuwa lakini Assad wanamwita dictator kutetea nchi yake, kaondoka sasa ngoja tuone itakuwaje😀
 
Kiuhalisia hili la waasi kufanikiwa kwa haraka haraka hapo Syria hata mimi limenishangaza sana, inaonekana dunia inakwenda kasi sana kwenye mambo mengi na kuna vitu vingi mnoo vinaendelea chini kwa chini hapa duniani na hatuvijui.
Hizo ni siasa za kimataifa alikuwa anasaidiwa na Russia na Iran ambazo zote ziko busy na yao. Wametumia fursa ipasavyo
 
Back
Top Bottom