Kanali_
JF-Expert Member
- Nov 18, 2018
- 6,438
- 10,180
Una ubia na Mungu? Basi SAWA.mkuu samia ndio Rais wetu hadi 2035, tukubari tu ilo No way out!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una ubia na Mungu? Basi SAWA.mkuu samia ndio Rais wetu hadi 2035, tukubari tu ilo No way out!
Unasemaje?😂Rais anayelogwa by Makonda
Ujumbe umefika, japo umeufikisha kiuoga mno!
Kwahiyo na wewe Binti Kimoso kakushughulikia?
Kwa hiyo mama nanino katekwaRAIS AU MFALME KUFANYWA MATEKA.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Mnaweza kumlaumu Rais au Mfalme wa watu. Mnaweza kumzodoa Mtawala wa watu. Mnaweza kumchukia Kiongozi wa watu. Maskini! Kumbe mwenzenu ametekwa kitambo! Ni mateka!
Unajua kuna watu wanafikiri ili uwe mateka unatakiwa kufungwa Kamba. Kuteswa Kimwili. Kunyimwa baadhi ya HAKI zako. Nope! Sio lazima hayo ingawaje hayo pia ni sehemu ya mambo ya Mateka.
Kuna utekaji mwingine Murua Kabisa ambao wengi hawaufahamu au tuseme sio Maarufu.
RAIS, mfalme, watawala na viongozi pia wanaweza Kutekwa vizuri Tuu na Wakawa Mateka. Na wasiweze kufanya lolote lile.
Ingawaje kwa Nje wanaonekana kupewa Mamlaka na nguvu Fulani za maamuzi lakini Kwa ndani ukifuatilia hawana nguvu zozote Wala Mamlaka yoyote Ile. Ni MATEKA.
Rais au Mfalme, au Mtawala au kiongozi anaweza kufanywa Mateka Kwa namna MBILI;
1. MFUMO WA UTEKAJI ULIOSUKWA NA WATEKAJI.
2. UDHAMINI
Kudhaminiwa na Genge Fulani la Wahuni.
1. MFUMO WA UTEKAJI ULIOSUKWA NA WATEKAJI
Njia rahisi na inayofanya Kazi kwa ufanisi Kabisa ya kumteka Mfalme au Rais au Mtawala yoyote ni Njia ya MFUMO.
Njia hii ndio rahisi na yenye weledi katika utekelezaji wake.
Njia inategemea mambo Makuu yafuatayo katika kuisuka;
a). Mifumo wa Katiba, Sheria Kanuni na vyombo vya Maamuzi.
Unataka kuanzisha taifa lako au nchi yako. Lakini unajua Kabisa hutaishi Miaka mingi ukiwa na nguvu. Hivyo utawala kwa Miaka isiyozidi 45 ukiwa na nguvu zako Kabisa.
Na unataka hata usipokuwa na nguvu, au hata ukiondoka watoto au kizazi chako kifaidi. Basi itakupasa usuke Katiba, Sheria, mifumo ya utoaji maamuzi itakayomteka Rais, Mfalme, Mtawala ambaye atakuwako baada yako.
Njia hii inaufanisi kwa Sababu hata Akitokea Mfalme au Rais atakayeenda kinyume na wewe Basi ni rahisi kumshughulikia.
Njia hii inatumika kudhibiti Mateka Wasaliti.
b). SUKA VYOMBO VYA DOLA MATEKA ULIVYOVITEKA WEWE KIMFUMO PASIPO VYENYEWE KUJUA VIMETEKWA.
Tayari mfumo wa Sheria ushauweka kudhibiti yeyote isipokuwa wewe na WATEKAJI wenzako.
Hakikisha kwenye mfumo huo havimlindi Moja Kwa Moja vyombo vya Dola. Ili waliopo vyombo vya dola waone wanaishi kwa hisani yako. Kwamba wao ili wawe Salama lazima wakulinde wewe. Na matendo Yao umeyadhamini wewe. Sio Sheria au Katiba ya Nchi.
Hii automatically, itawagombanisha Vyombo vya Dola na Wananchi unaowaongoza. Na hii itakupa advantage ya kuzidi kuwatawala kwa Muda mrefu zaidi.
Kwamba Majemadari ni MATEKA wako
Kwamba Maakida ni MATEKA wako.
Kwamba Makomandoo ni MATEKA wako.
Kwamba Askari na wanajeshi kwa Aina Zao ni MATEKA wako.
Hakuna cha Usalama Wala majasusi wote geuza wawe MATEKA wako. Hivyo ndivyo utakavyoweza Kumfanya Rais au Mfalme yoyote kuwa MATEKA wako kwa Karne nyingi tuu.
Kazi utakuwa umemaliza. Hapo hakuna yeyote atakayeleta ngebe yoyote
Watu wa kawaida wakimuona Rais au Mfalme humtumainia, humlilia shida Zao. Humlilia pale wanapoonewa lakini wenyewe hawatajua Kabisa kwamba Yule wanayemlilia ametekwa. Ni MATEKA.
Hana nguvu zile wanazodhani walimpa au anazo.
2. UDHAMINI
Huwezi kuwa Rais au Mfalme From nowhere. Yaani utoke zako huko Chipumbwe au Kirinjiko uje kuwa Rais au Mfalme kirahisi rahisi tuu. Hiyo ni ndoto au muujiza wa Dunia.
Lazima kuna watu watakushika Mkono. Watakusaidia. Watakuwezesha kuwa Rais au Mfalme.
Watu hao ni wadhamini na maboss wako. Hao ndio watakugeuza MATEKA wako.
Kwa Nje wewe sio MATEKA. Lakini wewe mwenyewe unajijua umetekwa na hao wadhamini wako wanajua kuwa wamekufanya MATEKA wao.
Jambo la muhimu ulijue. Wadhamini wanajua Kabisa, kuna watu ambao sio waaminifu wanaoweza kuwageuka na kuwasaliti hivyo ndio maana huandaa Mpango na mfumo mwingine wa kukudhibiti na kukuweka kwenye Mstari. Ikitokea umekaidi sio ajabu wakakupasua tuu ukapotelea Huko. Kwa shi.ngapi!
Elewa, tayari wenzako wamesuka Mifumo ya kisheria ya kukufanya Mateka wao.
Elewa tayari wenzako wamesuka Mifumo ya kiulinzi na KIUSALAMA ya kukufanya MATEKA wao.
Sasa! Sasa! Unapotaka kuwasaliti utaanzia wapi?
Askari wanaokulinda wengi wao hasa wale wenye uwezo Mkubwa walishanunuliwa na sio ajabu walisomeshwa na haohao wadhamini wako.
Huwezi kuwajua wote. Tena wengine ni wakali na wenye kujifanya wanauadilifu na wanagombana na ufisadi, uonevu na dhulma lakini kumbe ni drama, geresha na danganyatoto. Ili kuaminisha watu wengi na viongozi ambao wanatamani siku Moja wauondoe mfumo uliopo.
JE utawajuaje?
Ukifikiri mambo kama haya unajikuta unanyong'onyea, unakata tamaa na mwishowe unajisalimisha. Na sasa wewe ni MATEKA.
RAIS AU MFALME asiye na maamuzi.
Mfalme au Rais asiyekuwa upande wa watu wake.
Hahahaha! Inachekesha Sana lakini inasikitisha.
Embu niambie utafanya nini wewe?
Mwishowe Kabisa nawe itabidi ujiunge nao. Uwe Mtekaji ili angalau maisha yako yaende.
Je ni namna gani ya Mfalme au Rais kujikomboa asiwe MATEKA?
Namna gani ya kuvunja mifumo ya utekaji wa watawala utakapokuwa Rais au Mfalme?
Hiyo ni Mada ya siku nyingine.
Acha nipumzike sasa
Robert Heriel
Taikon Master
Kwa Sasa Dar es salaam
Kwa hiyo mama nanino katekwa
Binadamu ni Mnyama Rahisi kumtawala kuliko Wanyama wengine. Ni mfumo tuu.
== Visa na Mikasa ya Jamii: Fanusi ya Ukombozi ==Kiuono na Ufikirifu mifumo, mtu yeyote mwenye usentienti, konsayansi na nuru ya ufahamu hushawishika kimifumo kutokana na akili na utambuzi wake na basi kule kujisikia kwake kwa wakati; ambavyo ikiwa nuru yake ya ufahamu ikiongezeka kushinda hata upofu wake wa kiroho kwa wakati, basi huyu anayonasibu ya 'Kujikwamua na Utumwa wowote wa Kiakili'.
Kwa mintarafu ya hivi ni jukumu na wajibu kwa mtu yeyote--mtu katika kufanyika Utu-Bora wenye Ku-Jua ilivyobora katika utu-binafsi; ambavyo basi kila mtu anauchukua/auchukue mzigo wake mwenyewe katika 'Kujivua Gamba' na ili kuja-kuwa 'Kiumbe Kipya'. Basi ndiyo yawa, kila mtu inampasa kuwa na imani na ujasiri kushinda 'ufikirifu pofu wa kimakundi' kwa namna iwayo yoyote ile iwe ni wa kidini ya kimapokeo/kitaifa/Kijamii; kwa kuwa, katika muktadha wa mazingira fulani ya mtu kujielewa ama kujifahamu, mtu/mwanajamii anaweza kusahau: kimazingira ya kupumbazwa na mashauri ya kidini, mazoea ama nini, kila mtu amezaliwa pekee yake kabisa--wakati anapokufa atakuwa pekee yake kabisa: Maisha ni ujasiri wa kuthubutu kufikiri hata kipekee kabisa pasipo hofu wala mkumbo wa kimafikara.
Kiufundi, ujasiri wa kuthubutu kufikiri hata kipekee kabisa pasipo hofu wala mkumbo wa kimafikara ni moyo mkuu kwa 'nidhamu na shauri' ambavyo 'usafi wa moyo' huitengeneza nafasi kwa 'Roho ya Akili na Utambuzi' -- Roho itengenezayo njia kwa 'Fahamu na Mafahamu'--fahamu na mafahamu yanaweza kuwa na kadiri ile ile ya ujasiri wa kuyashinda 'Mashauri yoyote ya Utaasisi wa Dini'.
Kwa mintarafu ya hivi, Usafi wa Moyo ni mama wa Konsayansi katika kudhamiria jema ama ovu ambavyo nia ya mja mwema daima ni Uungwana na Ukweli; ada ya mja mwema -- wakati huja kunena – kunena kadiri ya shauku na dhamira njema; Uungwana daima kuwa ni vitendo.
Basi ndiyo yawa, kuchagua na kujichagulia ndiyo 'Udini' wa kweli khasa wa mwanajamii yeyote yule – kokote kule ulimwenguni, Duniani ama Sayarini kungine. Na tena, mazingira jamii ni mtaji wa kujiongeza na siyo kifungo ama kuwa mateka wa 'Statusi Kwou'.
Kiufundi, kuchagua na kujichagulia ni ufunguo wa ukuwa ama/na ukuja kuwa ambavyo 'Wakati' ama hata 'Uzima wa Miili' si ukomo wa kiutendaji wa utu ama kudhamiria utu; ambavyo UIMAJINISHI unaweza kumfunza na kumuelimisha upya yeyote yule mwenye nidhamu, nia na mapenzi mema kwa ulimwengu na walimwengu wenye usentienti, konsayansi na Nuru ya Ufahamu.
Kwa mintarafu ya hivi, nasibu ipo kwa kiumbe chochote chenye Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu ku-JUA, Kufahamu na Kuji-fahamu asili ya 'MIMI NDIMI NILIYE'. Basi ndiyo yawa, kuotea nasibu ya UTU na UFUNUO ilivyo 'Mimi Ndimi Niliye' ni mwanzo wa kushinda yote ya SUPASHA, WAKATI, NISHATI na MAADA; ambavyo uweza unafanyika kufumbuka na yote ya mauti ama/na uzima wa miili--kufumbuka na yote haya katika Metafanusi.
Kiufundi, asili khasa ya kufumbuka na yote katika Metafanusi ni 'Usentienti' wenyewe kuwa ni asili ya Isifinati inayozungukia kwadrati zote za Nchi, Upepo, Moto na Maji; ambavyo kila (1) 'kizio cha khabari; na (2) 'kituo cha wakati' kina upacha wa 'hasi' na 'chanya' ya uwepo wake.
Kwa mintarafu ya hivi, isije kushangaza kwa mtu yeyote kuja kung'amua na kutambua kwamba 'kila tukio ama mkondo wakati wa mambo' una 'tukio na mkondo wakati' ulio ni pacha na tena sambamba ambavyo: ikiwa huu tunaouishi tunasema na kudai wakati unasonga mbele, basi kuna ulimwengu ambao wakati unasonga kinyume; na khali ujumuifu wa chanya na hasi daima ni 'Usikitu'. Basi ndiyo yawa, madhahiri yote yaliyo ni 'Kitu' yanashiriki pumzi moja na madhahiri ya 'Ukitu-Hasi' ambavyo 'Usentienti' ni chaji ya ukuwa ama/na kuja-kuwa ilivyo ni uhamonifu wa 'fanusi Isifinati' ya 'Metafanusi'.
Kiufundi, uhamonifu wa 'fanusi Isifinati' ya 'Metafanusi' ni muktadha akilifu wa 'wakati' kuwa ni zao la Usentienti ambavyo akili na utambuzi hujikadirisha ufahamu na mafahamu ya madhahiri; ambavyo madhahiri yote ni pumzi yenye asili moja ya ukuwa ama/na ukuja-kuwa.
Kwa mintarafu ya hivi, uakilifu na utambuzi huvaana na mawimbi ya pumzi ya uzima ambavyo ufinati wa mambo na vina vya tafsiri vinaweza kugeuka ikiwa dhamiri ya uakilifu na uimajinishi vinabadilika pia kwa Sifa na Hadhi mahsusi za Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu.
Basi ndiyo yawa, mambo ya kusafiri kutoka upahala fulani hata pengine; kutobozea vituo wakati vingine na basi 'kusafiri kiwakati' ni uwezekano ambavyo hutegemea na 'mapana ya kujisikia' na 'vina vya tafsiri' kama malango ya fahamu na mafahamu.
== Visa na Mikasa ya Jamii: Ushindi kwa Majaribu ==
Kiuno na Ufikrifu Mifumo, Taamuli na Ufunuo ni uwezekano wakati wote ambavyo hutegemea na rizayati ya Elimu 3.0: ILIMU ilivyo ni metafizikia ya Elimu.
Kwa mintarafu ya hivi, akili na utambuzi daima hufanyakazi kwa konstrakti za kawaida za mafikara/mawazo na ufikirifu lakini hapo hapo ni uwezekano wa kimaarifa na maarifu kwa yale yanayopitiliza kawaida; ambavyo mambo kama vile infaransi za majazo ya pumzi na dhahiri yanaweza 'kuona/kuonwa' na hapo hapo 'kukadirishwa kudra' kwa uimajinishi na 'Kujifahamu'.
Basi ndiyo yawa, mambo kama vile hisia na kumbukumbu yanaweza daima kulitengeneza daraja la kugeuza, kuhuluku, kuhamisha ama hata kupindisha namna fulani za kanuni za kimaumbile. Tena basi, siri ama fumbo la mawezekano haya lipo kwenye ulandanifu wa pumzi na usikronifu wa majira ya fahamu--tuseme kwa kuanzia kwenye mwili wa kiumbe: zao la (1) uimajinishi na (2) pumzi ya uvutaji wa hewa na (3)'mapigo ya moyo'...
Kiufundi, Rizayati ya Elimu 3.0 katika nyakati hizi za 'Mavuno', Karne ya 21 ya Sayansi na Tekinolojia, inakwenda kuwa Utaasisi wa Maarifa na Maarifu kwa watu wote ambao wako na utayari kufumbua siri na mafumbo ya uzima--Uzima wa milele kwa ajili ya kupanga na kupangua 'Miundo Usadikifu, Ufikirifu na Imani' katika mbegu zao za u-JUA-ji na Kujitambua ilivyobora.
Kwa mintarafu ya hivi, sehemu ya mila, desturi na dini kwa mapokeo vinakwenda kupitia mageuzi ambavyo 'Utaasisi wa Dini' unakwenda kujinasibu na 'Vituo vya Utamaduni' -- ambavyo wanajamii watakuwa wakikusanyika kwa ajili ya mafunzo ya mazoezi ya Kihisia, Akili na Roho ili kufungua milango ya fahamu na mafahamu.
Basi ndiyo yawa, mavuno kwa ile dhana khasa ya ukweli wa mambo ni shughuli ya kuijengea jamii uwezo kwa mambo ya Imani na Uwezo ambavyo wale waliyotayari wanakwenda kufaulu kujidhamiria Utu-Bora; na wale wasiotayari watajikuta wanaishi kwenye ulimwengu unaoishia pumzi ya mabatili ya kiimani na mapokeo--mapokeo yanakwenda yakifutika, na basi siku za mbele hakutakuwa na nafasi kwa 'Unaivu wa Kimfumo'...
Kiufundi, Rizayati ya Elimu 3.0 katika nyakati hizi za 'Mavuno', Karne ya 21 ya Sayansi na Tekinolojia, inakwenda kuwa Utaasisi wa Maarifa na Maarifu kwa watu wote ambao wako na utayari kufumbua siri na mafumbo ya uzima--Uzima wa milele kwa ajili ya kupanga na kupangua 'Miundo Usadikifu, Ufikirifu na Imani' katika mbegu zao za u-JUA-ji na Kujitambua ilivyobora.
Kwa mintarafu ya hivi, kile ambacho kwenye khabari za Injili huzungumza ya Yesu kupata kusema ya 'Imani na Punje Hadarali' ndiyo kitovu cha Maarifa na Maarifu ya fizikia na metafizikia ya Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu katika Metafanusi; ambavyo imani ni 'namna ya kujua/kufahamu/maarifa' na tena kwenye uhakika wa mambo na si 'usadikifu pofu wa yasiyo na msingi wa mbegu za u-JUA-ji'.
Basi ndiyo yawa, Imani na Punje hadarali ni simile ya kimetafo kwa kile ambacho katika karne hii ya 21 tunakwenda kukifahamu kama 'Unishati Nukta Sifuri'.
Kiufundi, Rizayati ya Elimu 3.0 katika nyakati hizi za 'Mavuno', Karne ya 21 ya Sayansi na Tekinolojia, inakwenda kuwa Utaasisi wa Maarifa na Maarifu kwa watu wote ambao wako na utayari kufumbua siri na mafumbo ya uzima--Uzima wa milele kwa ajili ya kupanga na kupangua 'Miundo Usadikifu, Ufikirifu na Imani' katika mbegu zao za u-JUA-ji na Kujitambua ilivyobora.
Kwa mintarafu ya hivi, kile ambacho ni siri ama fumbo juu ya ‘Mbegu haradali na Imani’ ni UFAHAMU KRISTU; ambavyo imani, katika ukweli wa mambo, huendeshana na pumzi ya Maarifa, Maarifu na Ujuaji wenye kuathiri lolote na chochote chenye kadiri ya Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu--kila kitu katika Ulimwengu wa Madhahiri kina namna fulani ya Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu.
Basi ndiyo yawa, kupitia mafunzo ya Vituo vya Kiutamaduni wanajamii wenye kuchagua na kujichagulia fungu la kupata, kuchagua uzima zaidi wa kimiili na tena uzima milele katika Nuru Manani ya ufahamu, watakuwa wakijenga dhamiri za imani, ujuzi na uweza hata kwa mambo ambayo katika ulimwengu wa leo, 2025, yanaweza kudaiwa ni 'Utendaji wa Kimiujiza'. Tena basi, itakujakufahamika fika "ni kwa vipi kule kusema kwa imani ni nini/jambo gani(?)" -- iwe hata kukadirisha kudra za 'kuhamisha Milima(Mambo ya Telepotia)' na kuamrisha 'Mti Kung'oka(mambo ya Telepotia/kuhamisha mifumo tata ya kiuhai kikhabari na mawasiliano hai)'.
Kiufundi, Rizayati ya Elimu 3.0 katika nyakati hizi za 'Mavuno', Karne ya 21 ya Sayansi na Tekinolojia, inakwenda kuwa Utaasisi wa Maarifa na Maarifu kwa watu wote ambao wako na utayari kufumbua siri na mafumbo ya uzima--Uzima wa milele kwa ajili ya kupanga na kupangua 'Miundo Usadikifu, Ufikirifu na Imani' katika mbegu zao za u-JUA-ji na Kujitambua ilivyobora.
Kwa mintarafu ya hivi, Kwa wale wote wanaotengeneza nafasi katika mioyo yao kwa ajili ya kuuishi UFAHAMU KRISTU; maarifa na maarifu yatafanyika akilini mwao kwa fahamu na mafahamu ya kihata sayansi na tekinolojia kugundua, kuvumbua na hata kuunda vifaa vya kawaida na vyenye kupitiliza kawaida za unishati wa umeme leo hii, 2025--kuelekea umeme wa kimafikara na pumzi za udhamiri wa usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu. Basi ndiyo yawa, maarifa yataongezeka kuhusu 'Unishati Nukta Sifuri' ambavyo finomena na noumena ya SUPASHA, WAKATI na MAADA inakwenda kufahamika kwa kadiri na kudra za Nuru ya Fahamu na Mafahama.
Tena basi, tekinolojia za kesho ya karibu zitachangamana na akili na utambuzi wa kibinadamu kwa kuwa utundu, maarifa na ujuzi wa kuunda vyombo vinavyojiendesha na huku vikiwa na uweza wa kusikilizana kimashauri na maamurisho ya kidhamiri ya kiakili/fikra/neno ama kugusa ama namna zingine zozote za utambuzi wa kimazingira na hata mazingara.
== Utu, Jamii na Msimamo: Ukumbaizi wa Shauri ==
Kiuno na Ufikirifu mifumo, maarifa na maarifu vinaweza kuongozeka katika jamii yote lakini maadili na miiko ni jambo mtambuka; ambavyo hata hatma za mambo ya Nyakati inaweza kutathminiwa kutegemeana na upeo na mapaji ya kiUtu; tekinojia za kiutendaji wa kawaida kiumeme na umeme-mafikara-fahamu zinaweza kuigizwa, kubuniwa vyombo vya utumikivu wa mitambo ya uchukuzi na khabari na hata mengine mengi – mengine mengi kwa watundu wenye dhamira isiyo njema/mbaya.
Tekinojia za kiutendaji wa kawaida kiumeme na umeme-mafikara-fahamu zinaweza kuigizwa, kubuniwa vyombo vya utumikivu wa mitambo ya uchukuzi na khabari yanaweza kushangaza mwanajamii/jamiii isiyoweza kudhania haya yote: Kwa mfano, ni uwezekano wa kitekinojia hata kufufua mwili wowote uliopoteza pumzi ya uhai ndani ya wakati fulani, kulingana na ujuzi na maarifa kitekinojia.
Kwa mintarafu ya hivi, UFAHAMU KRISTU ni usahihi wa kimifumo wenye uweza na kadiri ya kuzingatia maadili na miiko ya kheri na usalama wa vyote vyenye Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu; ambavyo hata mtu wa Ufahamu Kristu anaweza kubuni na kuunda chombo cha wepesi wa kutekeleza majukumu na ustawi lakini ubunifu huo huo ukaigwa na kutumika kutengeneza mambo ya machukizo kwa Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu.
Basi ndiyo yawa, sayansi-tekinolojia-ubunifu si lazima iwe ni UKUU KIAKILI AMA KIROHO--inaweza kuwa ni 'Mtego wa Shetani' na si 'Umalaika'...
Kiufundi, jamii na wanajamii wanawajibika kwa pamoja kuyatengeneza mazingira ya maadili na miiko kwa utamaduni na ustawi wao ambavyo hata mambo ya sayansi-tekinolojia-ubunifu yanapaswa kuchipua katika mazingira ambayo sehemu kubwa ya wanajamii 'wanakokujitambua' kwa khali ya Juu.
Kwa mintarafu ya hivi, tukiwa wenye kudhamiria kheri na kujua ilivyobora, kutengeneza mazingira ya uwepo wa vituo vya utamaduni kila mahala pa 'makundi ya wanajamii katika makazi' ni bidishi jipya la umuhimu mkuu--vile wenye kuzungumza kwa kiingereza wangalisema kana "New Social and Security Imperative"; ambavyo usalama wa jamii si jambo la muundo fulani kitaasisi unaokomea kwenye mambo ya kimazingatio ya tawala za 'Mambo ya Nchi' bali usalama na msimamo wa kijamii kimwili, akili na Kiroho.
Basi ndiyo yawa, siku za mbele kwa hapa Tanzania kutakwepo na Vituo vya Utamaduni kote nchini; vingine vitakuwa ni vya kipekee sana ambavyo ni wale wenye sifa maalum sana ndiyo wataojikuta wakiwa ni sehemu ya dhamira zake za uwepo, utendaji, nidhamu na uwajibikaji kwa utu-binafsi na jamii yote kwa ujumla--Tanzania, Afrika, Dunia, Sayari kwa Masayari na Manyota.
Kiufundi, Usahihi wa Kimfumo si 'jambo la kuteua ama kuacha kitu fulani' kwa kuwa masuala ya kijamii na changamoto zozote ni mseto wa sifa na hadhi ya kiakili na utambuzi za wanajamii wenye kisomoni; ambavyo ikiwa jamii yenyewe haina kujua ilivyobora kwa kheri ya mapana ya ustawi wake na utamaduni basi hili daima linaponza uwepo wa mifumo mibovu ya tawala ya nchi na mambo yake.
Kwa mintarafu ya hivi, kile ambacho ukumbukumbu jamii huishi kujidumisha kana unchi-dola ni udhamirifu wa Usahihi wa Kimfumo ambavyo ikiwa wale wote wanaojinasibu na mawezekano haya ya kujisuka na kujifuma 'hawana macho ya kutambua/utambuzi/fahamu/mafahamu' ya kimwili, akili na kiroho wakifanyacho ni shughuli nusu nusu isiyo na tumaini la kweli kwa hatma bora za maendeleo ya jamii -- jamii na ustawi wake.
Basi ndiyo yawa, UFAHAMU KRISTU ni hatma ya wale wote wenye nasibu ya kujua ilivyobora: kujiongeza, kusahihisha na kujisahihisha kimifumo--kokote kule iwe hapa Duniani ama hata Nje ya Dunia; kwa kuwa karne hii ya 21 tunakwenda kujua na kuwajibika na kufahamu ya kwamba kuna watu, mashirikiano, machangamano na udhamirifu wa furaha hata nje ya Sayari yetu ya hii ya Dunia.
Kiufundi, kujua na kuwajibika na kufahamu ya kwamba kuna watu, mashirikiano, machangamano na udhamirifu wa furaha hata nje ya Sayari yetu ya hii ya Dunia ndiko kunakotutaka tuwe na nidhamu na bidii ya kujisuka na kujifuma kiutamaduni, maendeleo na ustawi kwa ile namna inayohakikishia 'ulinzi na usalama' kwa jamii zetu na mazingira yote ya kiustawi--pia na Mazingara yake.
Kwa mintarafu ya hivi, kile ambacho hapa nchini Tanzania kinadhamiriwa kitaifa na kiunchi-dola kama 'HEKIMA, UMOJA NA AMANI' ni siri na fumbo la utayari wa kuyamudu yote ya masuala ya kijamii na changamoto zake kama Shauri kuu la Usalama na Mustakabali wa Taifa--taifa katika UHURU NA UMOJA.
Basi ndiyo yawa, siku za mbele kidogo: kwa Ukweli na Ujuzi na Uhakika wa Maarifa, kote Duniani wajamii 'watajipanga na kujipangua' ili waweze kuendana na maingiliano ya kimaisha, kujitafuta na udhamirifu wa furaha/udhamirifu wa kutekana kimaendeleo ya sayansi-tekinolojia-ubunifu na wanajamii wa sura, sifa na hadhi mbalimbali kutoka hata nje ya Sayari yetu ya Dunia; ambavyo udhamirifu wa kutekana kimaendeleo ya sayansi-tekinolojia-ubunifu, iwe miongoni mwetu sisi kwa sisi Dunia ama vinginevyo pia, ni kitisho kwa jamii yeyote.
Tena basi, kwa hapa Tanzania, hata jitihada zetu za kujiendeleza kisayansi-tekinolojia-ubunifu kitapelekea ile sehemu fulani ambayo kwa leo, 2025, ni mkoa wa Singida kuja kuwa ndiyo ukanda kitovu wa komandi yetu ya 'Mambo ya Kutobozea Mbingu na Nchi'--Komandi Supasha; mambo ya kama ule undani khasa wa kusudi la kuwa na “SpaceCom” kule Amerika.
== Utu, Jamii na Msimamo: Usaliti na Majaribu ==
Kiuono na Ufikirifu Mifumo, Muona ni Muona ni nidhamu ya kiakili na utambuzi kwa sifa na hadhi ambavyo fahamu na mafahamu yanajumuisha mazingira na mazingara ya jambo/mambo.
Kwa mintarafu ya hivi, unje-ndani wa akili na utambuzi ni muktadha wa Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu ambavyo 'Mawaa' ni adui aliyendani yako na basi adui wa nje ni muakisiko wa adui aliye ndani ambavyo 'kujichunga na kujimaliza dhidi ya kiakili ya matamanio ya kiuzima wa miili na haja zake' huleta usafi wa kuweza kumaizi chochote kile chenye asili ya matamani na haja ya kiumbe chenye usentienti, konsayansi na Nuru ya Ufahamu iwe ni mwanajamii/taifa/nchi-dola/Jeshi n.k.
Basi ndiyo yawa, hata wanajamii wanaweza kuishi na wanajamii wenzao wenye 'uchafu' wa kimatamani na Haja na wao wasijue kwa kuwa hata wao wenyewe ni wahanga adha hizo hizo. Tena basi, matamani yaliyosafi kabisa ni 'Uungu'; (1) haja ni kile cha katikati ya 'Uongo na Ukweli' wa udhamirifu wa kuishi na furaha, (2) matamani 'yasiyosafi' ni mbegu za 'magugu ya UTU'...
Kiufundi, mazingira na mazingara ni fanusi ya fizikia na metafizikia ya mambo ambavyo ulimwengu wote mzima ni mazingira yaliyodhahiri kwa mazingara yasiyodhahiri ama kusitirika; ambavyo mazingara bado ni muktadha akilifu wa mawimbi pumzi ya miili ya uzima.
Kwa mintarafu ya hivi, mambo ya wazima na wafu ni muktadha akilifu wa fahamu na mafahamu ya 'Uzima wa Kimiili' ambavyo yaliyositirika hufanya mazingara kwa yale yaliyodhahiri--umbalamwezi wa fahamu na ku-JUA katika Uwakati/Majira/Vituo vya wakati.
Basi ndiyo yawa, Ulimwengu wote ni Bahari ya Njozi-- (1) njozi hai kwenye Usentienti, konsayansi na Nuru ya Ufahamu na (2) Njozi-Matriksi kwa maakisiko ya matamani na haja za kimiili ya uzima. Tena basi, kuishi Duniani ama kokote kwenye 'uyabisi wa kisayari' ni sehemu tu ya mazingira na mazingara ya uweza, nguvu na utukufu wa kimiili ya fahamu na mafahamu ambavyo daima ni uwezekano kwa viumbe vya unasaba tofauti kuwa wigo wa akili, utambuzi na mafahamu.
Kiufundi, uwezekano kwa viumbe vya unasaba tofauti kuwa na wigo wa akili, utambuzi na mafahamu tofauti tofauti ndicho asili ya kudra za kiusentienti, konsayansi na Nuru ya Ufahamu za kiumbe fulani ambavyo, kwa mfano, mwanadamu anaona ya Dunia na hana uweza wa kuona mazingara ya 'wafu' na kumbe wafu nao wananamna ya kuona ya mazingira yao na ya Dunia kuwa 'Mazingara Kwao'.
Kwa mintarafu ya hivi, mwanadamu kuona ya wafu na ya wale walio kwenye mazingara ya mwanadamu kuona ya wanadamu ni mambo yenye asili ya umawimbi wa pumzi ya miili ya uzima na tena fizikia na metafizikia ya matamani na haja za kimiili.
Basi ndiyo yawa, kwa dhamira ya kumawimbi pumzi kujitawala matamani na haya uwezo upo daima wa Mwanadamu kuona hata yaliyo katika mazingara na kinyume chake ni sahihi pia kwamba kwa matamani na haja hata wafu wanaweza kushiriki mafungamano fulani ya kiakili, miili na roho na wanadamu--wanadamu wenye kuishi na mazuri ama mabaya ya udhamiri wa usentienti, konsayansi na Nuru ya Ufahamu.
Kiufundi, kuishi na mazuri ama mabaya ya udhamiri wa usentienti, konsayansi na Nuru ya Ufahamu ni jambo lile lile lenye asili ya maadili na miiko ambavyo maisha ya wanajamii ni muingiliano wa maisha ya 'wanajamii wengine' kimazingara; ambavyo hata kwa mawazo, uimajinishi na mazoea, kiumbe chochote huwa kinaishi kwa mashawishi ya kheri yake ama mikosi/bahati mbaya.
Kwa mintarafu ya hivi, usafi wa moyo ndiyo namna pekee kiumbe chochote chenye usentienti kinaweza kujijengea uweza wa kuhisi na kutambua hata yale yanayoingia moyoni na akili mwake na khali hayana asili na dhamira iliyo kipekee ya utu wake na utashi wa uadilifu wa Kiroho.
Basi ndiyo yawa, kuutakasa moyo ni usafi wa mazingira na mazingara ambavyo mwanajamii yeyote anaweza pia kujikinga na vishawishi na majaribu ya kimazingara na mazingara. Tena basi, asili ya ushawishi inaweza kuwa pia ni 'Shambulizi la Kisakia’, mambo ya umeme-mafikara, ambavyo uhasimu wa 'maslahi ama mapenzi' kati ya wawili ama zaidi wenye kuhitilafiana kimazingira ama mazingara.
== Utu, Jamii na Msimamo: Ukesha Macho ==
Kiuono na Ufikirifu Mifumo, mapana ya jamii yanajumuisha pia mazingira na mazingara ya kimiili ya uzima ambavyo jambo lile lile la bidishi jipya la umuhimu mkuu, wenye kuzungumza kwa kiingereza wangalisema kana "New Social and Security Imperative", linahusika; ambavyo kwa sasa 2025, sehemu kubwa ya wanajamii Duniani hawajui ama kutambua daima wanaishi na 'Mashetani' ama 'Mamalaika' wasiowaona kwa macho na khali wapo nao kwa kiukaribu kabisa wakati wowote kutegemeana na usafi/uchafu wa mioyo yao na tena kule kukosa uadilifu fulani wa Kiroho.
Kwa mintarafu ya shauri hili, HEKIMA ni UHURU pale tu utendaji wa kijamii za wanadamu unapozinduka na kutengeneza 'Hesabu' ya uwajibikaji kwa mambo ya Mazingira na Mazingara; ambavyo nasibu yoyote yenye kuwezekana kuficha ama kuyafunika ya yale yote ya kuyafahamu vema ya ‘fizikia na metafizikia ya miili yenye uzima’ ni 'mkakati ya maisha na uisho' yenye sifa na hadhi ya mbinu za uzandiki.
Basi ndiyo yawa, kila jamii ama kikundi cha wanajamii, wakati wowote na popote, wanawajibika wao wenyewe na hesabu za Utimamu, Umakini na Kujielewa kwa fahamu na mafahamu yao; ambavyo hakuna mtu anayeweza kuchunga mgongo wa wenzake pasi wake pia kuchungwa...
Kiufundi, mambo ya kuchunga mgongo wa mwingine pasi wako pia kuchungwa ni utendaji dosari kwa kuwa daima hili huleta mwanya wa kushawishika ama/na kuhujumika mbele ya yeyote mwenye uweza na utundu kutenda kimazingira na mazingara.
Kwa mintarafu ya hivi, wanajamii wote wanaweza kutawaliwa kimfumo na matriksi kwa ujuzi na utendaji wa kuwaendesha kiakili kutoka visogoni mwao; ambavyo wao wenyewe wanakuwa kana wameridhia kutogeuka nyuma na kuwa macho pande zote.
Basi ndiyo yawa, kule Amerika hata alama kwa 'Usifa-Akili wa Kidola', mikakati ya maisha na uisho ya jamii ya Waamerika, hutumia nembo yenye kichwa cha Tai, Ngao na Dira ya Mielekeo ya Pande Zote za Dunia; ambavyo Ukati ni Asili ya Ukitovu na Uduara/Utufe wa 'Wakati na Supasha'. Tena basi, 'Karafuu na Pamba' ni muktadha akilifu wa jambo hili hili la 'Wakati na Supasha'...
Kiufundi, Jamii iliyo na mbegu ya Utu Bora kwa Msingi wa Katiba na Maelekezo Mengine inayonasibu ya 'Kushuka ama Kupanda', kiwakati na Supasha, kulingana na 'Mifumo Hai ama Mfu' ya Kiuono na Mashauri-Taifa/Nchi ambavyo; Ujumuifu wa kule Kujisahau ama Kujikumbuka--kujisahau ama kujikumbuka kiwito wa Uraia wema, unakadirisha daistopia nchi-taifa kwa unamna yake wenye kufuatana ilivyo ni utabia wa kishirika wenye adha za mmomonyoko wa maadili na siasa zisizo safi.
Kwa mintarafu ya hivi, jamii ama taifa lolote linaweza kutengemaa kutoka kwenye mabovu ya kimfumo ikiwa kunakuwepo na idadi muafaka ya wanajamii wenye mwangaza na watendaji walio na mwangaza kwa kuwa ni unaivu kabisa kudhani mambo kama vile mifumo ya siasa inaweza kuleta mageuzi ya kweli ya kijamii--HILI HALIWEZEKANI, wanajamii wanalohitaji ya kujua ilivyobora kuwa mifumo yote ya kisiasa bado si nyenzo kamilifu za kimaendeleo ya kweli ya UTU, UTAMADUNI na USTAWI WA JAMII.
Basi ndiyo yawa, bidii ya Maarifa na Maarifu, katika wingi kabisa wa mioyo na akili za Wanajamii, ndiyo itakayoangazia maisha na mifumo ya wanajamii kwa mageuzi ya kweli na ya kudumu.
Kiufundi, maadili na miiko ni jambo mtambuka kwa taasisi zote za kheri ya ustawi wa kijamii kokote kule Duniani ama nje ya sayari yetu ya Dunia ambavyo hata makundi ya jamii na wanajamii wenye wastani wa kadiri na kudra za Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu huwa na mapana tofauti tofauti ya Uthamani kwa Sura za Miundo na Utendaji wa Mifumo yake ya Kiutamaduni na Ustawi.
Kwa mintarafu ya haya, ni Usahihi wa Kimfumo pekee unaweza kutangamananisha mahusiano na maelewano ya jamii zenye kufanana na zile zisizo fanana kimahitaji, matamani na haja; ambavyo diplomasia ni upatanishi unaodhamiria kudhibiti uadui na makandokando mengine ya kutolandana kimaslahi ama 'nia njema'. Basi ndiyo yawa, Liberiti Yunivasali ni 'Mkuki wa Jaala' ilivyo ni Jamii na Ulinzi katika 'Uhuru na Umoja'.
Tena basi, kwa hapa Tanzania Chama cha Mapinduzi ni Taasisi iliyoasisiwa na 'Wenye Hekima' kwa ajili ya taifa changa linaloazimia kuja kuwa madhubuti kwa ajili ya shauri la 'Uhuru wa Ndani' wa wanajamii ambao wanayo nasibu ya kufanyika watetezi, walinzi na waaminifu kwa diplomasia za kimfumo na 'Maendeleo ya UTU--Tanzania, Afrika na Dunia…
== Shauri kuu la Nyakati : Inuka Kuangaza Uhuru! ==
Kiuono na Ufikirifu Mifumo, udhamirifu wa shauri la kwamba: Aina zote za dhuluma, vitisho, ubaguzi, rushwa, uonevu au upendeleo zinaondolewa nchini' lina sifa na hadhi ya (1) Kituo cha Wakati, na (2) Vizio vya Khabari; ambavyo kiini cha Mbegu ya u-JUA-ji kuhusiana na 'Liberiti Yunivasali' linataasishwa katika unchi-taifa.
Kwa mintarafu ya hivi, kuna fizikia na metafizikia ya mambo yote kijamii inayopitiliza 'vina vya tafsiri' kwa sheria na taratibu za kijamii/Taifa/Nchi-Dola/Jeshi n.k ambavyo 'KUTENDEANA KUNA UWAJIBIKAJI WAKE' hata katika upande unaopitiliza 'Mazingira' ya Jamii.
Basi ndiyo yawa, mwanajamii yeyote anapaswa kujua vema, kukiuka maadili na miiko kuna 'hesabu' yake pahala--kama si katika mazingira basi ipo kwenye 'mazingara'... Tena basi, kila mtu anakutana na hesabu yake 'kwa makosa makubwa juu ya uhai wa (m)wanadamu--kupatiliziwa hata mara Kumi(10)' ya alichokifanya Duniani kwa kiburi na upofu wa kushawishika vibaya... Kwa kuwa vipi ikiwa Daima Mataifa yote ni mwingiliano wa wanajamii wengine, walio na miili ya nyama -- miili ya nyama kama vile watu ama Simba/Chui/Felina, wenye uwezo wa kutenda katika ulimwengu wa 'wazima na wafu' kwa wakati mmoja(?)
Kiufundi, mazingira na mazingara ni jambo jumuishi kiasi kwamba shauri la dhuluma, vitisho, ubaguzi, rushwa, uonevu au upendeleo haliishi kwa 'maslahi ya kibinadamu pekee yake'; isije kushangaza wanajamii kuja kufahamu kuna wanadamu wanaishi kama wanadamu lakini ubinadamu wao ni utundu tu kuzaliwa kama wanadamu na kuishi kama wanadamu--wapo wanaolijua hili wazi wazi na kujijua; na kuna ambao hawajifahamu kuwa ni hivi.
Kwa mintarafu ya Shauri hili, usentienti-konsayansi-nuru ya ufahamu vina thamani kwa wanadamu, wanyama, mimea na sayari yote ambavyo Wanajamii wote wanawajibu wa kutambua na kujitambua hatma za maisha na matendo yao isiwe dhuluma kwa wanyama, misitu, viumbe hai vya majini-ardhini na virukavyo juu.
Basi ndiyo yawa, heradri ya Tanzania kuwa na Ualama-lugha-picha ya 'Usentienti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu' kama 'Adamu na Hawa wenye kushika pembe za Ndovu na kuegama mikono kwenye Ngao ya Ustawi' na Kenya kuwa ualama-lugha-picha kama 'Simba Wawili wenye Kushika Mikuki ya Ulinzi na Uaminifu na pia kushika Ngao ya Azimio la Pambazuko la Kazi' huenda ni shauri lililoanzia kwa 'Washirika wa namna Mbili' za Utu na Ukuwa kama (1) Wanadamu (Wapleyadesi) na Wengine , (2) 'Felina wa Nyika na Supasha' (Jeshi la Urma) kwa kuwa eneo hili la Maziwa Makuu si tu ni 'Tanganyika' ya fahari za wanadamu wasio na uangalizi wa kimazingira na mazingara... Eneo la Maziwa Makuu ni 'Tunu ya Thamani' kwa Usentieti, Konsayansi na Nuru ya Ufahamu mbali kuzidi chochote watu wataifa yake watadhani kufahamu kwa dhana/madhanifu/madhamirifu ya 'Intelijensia na Mikakati' --kwa hivi leo, 2025...
Kiufundi, kuna wanajamii wanaishi kuishia kuwa watumishi na watendaji wa kawaida ama wenye nyadhifa kwa kheri ya moja kwa moja ama kheri isiyo ya moja kwa moja; ambavyo wanaishi kutumikia taasisi na mifumo kwa 'manufaa ya nyakati' juu maendeleo na ustawi wa wanajamii, mazingira na machaguo ya kitaasisi.
Kwa mintarafu ya hivi, wanajamii wanakamilisha na watendaji wengine wa kimaamuzi-jamii katika kusuka na kufuma hatma ya taifa na Mataifa hapa Duniani na kupita; ambavyo kode za UFAHAMU KRISTU ni 'kianzio' cha mtaji wa Utu bora juu ya WAKATI-JAMII-MACHAGUO YA KITAASISI-WAKATI kwa kadiri ya kudra za mashauri ya UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI. Basi ndiyo yawa, katika maisha na uisho kila mtu/mwanajamii anavuna/atavuna alichokipanda wakati mmoja hata mwingine, mazingira haya ama mengine, na tena basi katika 'mazingira' ama 'Mazingara'.
Kiufundi, dhamira ya kufanya masahihisho yoyote ya kimfumo katika jamii fulani inayozorota; na kukidhi uwezo wa kakidirisha hili, inaweza kumtengenezea kinga mtu yeyote hata kwa jambo lolote lenye nasibu ya ugharimu wa maisha ama mkosi; ambavyo wanajamii wanaweza kuona kule Amerika Mzee Trump alinusurika Risasi--risasi iliyoonekana kama kuishia kumpunyua tu Sikio kama ni 'Bahati Sana'; na kumbe wapo watu wenye uwezo wa kutenda kimazingira na mazingara hata kuchepusha mikondo wakati ya madhahiri.
Kwa mintarafu ya hivi, isije kushangaza kuja kufahamu ipo nasibu ya watu--watu tunaoweza kuwa tunaishi nao kama 'Wanadamu' na kumbe si wanadamu wa asili ya Duniani hii, japo twafanana kwa kila kitu--hata tukifuatilia 'Historia' zao si ajabu kupata hata vielelezo vya kutosha kuwa walizaliwa huku ama kule hapahapa Duniani; wanadamu wenye kukamia 'jambo hili ama lile' kwa kheri ama vipi hapa Duniani.
Basi ndiyo yawa, Mradi wa STARGATE, Lango la Unishati Khabari wa Makadiri na Kudra za Kinyota, unatengeneza njia ya kuja kuyafahamu ya 'Mazingira na Mazingara' kwa tekinolojia za Kimetafizika--Ungamuzi wa Kikwantumu na Unishati Nukta Sifuri; ambavyo wengi wa watu tunaoishi kwa kuja kuwaona ni matajiri kupindukia; kuna "wanaojuana vizuri" Kote Duniani na wanalao jambo…
== Wito na Wajibu kwa Jamii : Hekima ni Uhuru! ==
Wanajamii wote Duniani hawanabudi kukata shauri kujua ilivyobora kuhusiana na kila kitu kuhusu maendeleo, utamaduni na ustawi wote.
Wanajamii wote Duniani hawanabudi kukata shauri kusahihisha na kujisahihisha kimifumo kwa manufaa ya yao wenyewe, watoto na mustakabali wa maisha hapa Duniani.
Wanajamii wote Duniani hawanabudi kukata shauri kujisamehe na kusameheana kwa makosa yoyote yaliyotendeka na yanayotendeka kutokana kutojua ilivyobora juu ya 'UTU na UFUNUO'. Kwa kuwa hata kule kutegemea fikra na mashauri ya wengine tunaoweza kuwalaumu ya kwamba 'waliona vibaya' mashauri ya kheri za mapana ya jamii ni 'kutotimiza wajibu' wa akili, utambuzi na kujiongeza.
Kwa hapa Tanzania, alichozungumza Mwalimu Nyerere siku ya Uzinduzi wa Chama cha Mapinduzi, mwaka 1977; kilikuwa na asili ya wosia kwa jamii kuhusu daistopia ya Mashauri ya Ujamii na Mambo yake ya Hatma za Ufanyaji-Maamuzi kwa Siasa za Wengi.
Khotuba ya Mwalimu Nyerere kuhusu ukibaraka wa wanajamii kwa watu wenye madaraka lilikuwa ni angalizo la nasibu ya mmomonyoko wa maadili ya taifa/jamii ambavyo 'Uhuru' pasipo uwajibikaji kwa fahamu na mafahamu hugeuka ni umateka kwa mafundi wa ujasiria-mali mifumo--Kule Amerika, 1945, Muingereza mmoja alilidadavua hili vizuri kwa fasihi andishi ya kisa-riwaya kifahamikacho kama 'Animal Farm: Shamba la Wanyama'...
Ujamaa, Usoshalisti ama Ukomunisti si mambo ya kuja kwa ilani ama maelekezo ya wachache kwenda kwa wengi; Ni sura, hadhi na utendaji wa kijamii unaotegemea u-homojinesi wa hali ya juu kwa kuyaishi mashauri ya UHURU-UDUGU-HAKI-AMANI...
Ni jambo linayoitaka jamii zote za wanadamu kuwa ni wenye kuwaza na kuwazua sana na tena vya kutosha ili waweze kujipanga na kujipangilia kwa kheri na mapenzi mema badala ya kuwa watu waliogawanyika kwa hadaa za kazi, utumishi, biashara na mambo mengine yanafanya watu wasifikirie kujifunza nje ya kada zao za kiutendaji wa kijamii...
Kama ambavyo Wandugu zetu kutoka Pleyadesi( hawa wanajua yote yaliyozungumzwa kwenye mnyororo wa mashauri haya na wanafuatilia mapelekeo yake kwa hatma za fahamu na mafahamu ya jamii ya wenye kuzungumza Kiswahili) wanavyosema: “Wanajamii wa Dunia tunahitaji ujuzi na uweza kufikiri mengi na kufahamu mengi kwa fremukazi mahsusi--fremukazi 'tunayoweza kupatiana'...”; kupatiana na basi kuitengeneza nguzo ya 'kuibomoa matriksi' ya 'Mafikara yaliyogawanywa kimafungu khabari-visomo' ilivyo ni 'Mkosi' kwa maendeleo ya kweli ya Watu na Maendeleo...
View: https://www.youtube.com/watch?v=4ogUqkXqVWA