Acha umburula na uzwazwa, mauma mkubwaWatavipiga bei tu Dodoma si sehemu ya kuishi wallah kuna jua kali vibaya mno wenye ualbino nadhani wanayeyuka
Swali la mtego.Mkongwe peter tino nae kaambulia milion 5, alipewa nafasi ya kusema kiasi anachotaka, akasema chochote tu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kufurahishwa na ushindi wa jana Mtukufu Rais amewapa zawadi Wachezaji wa Timu ya Taifa Viwanja vya kujenga nyumba jijini Dodoma!
Mh!!!!!!! Kuna ndoa zitavunjwa na AFCON mwaka huu.Karibuni sana mjenge huku natamani niwe Jirani wa John Bocco niwe dada yake wa hiari
Ndoa haivunjiki wala nini kwani kumkubali mtu kuna shida?Mh!!!!!!! Kuna ndoa zitavunjwa na AFCON mwaka huu.
Ndio kuna shida.Ndoa haivunjiki wala nini kwani kumkubali mtu kuna shida?
Atakuwa ashaiona hii coment yakoKaribuni sana mjenge huku natamani niwe Jirani wa John Bocco niwe dada yake wa hiari
Nasubiri mrejesho
Huo wivu sasaNdio kuna shida.
Ni kweli na wivu ndio SHIDA YENYEWE.Huo wivu sasa