Rais awapatia Wachezaji wa Taifa Stars Viwanja vya kujenga Dodoma

Rais awapatia Wachezaji wa Taifa Stars Viwanja vya kujenga Dodoma

Baada ya kufurahishwa na ushindi wa jana Mtukufu Rais amewapa zawadi Wachezaji wa Timu ya Taifa Viwanja vya kujenga nyumba jijini Dodoma!

Amefanya vizuri ili kuwatia moyo. Lakini Je viwanja hivyo vilikuwa vimetengwa kwa ajili ya nini? Je huko waendako wakifungwa, watadaiwa wavirudisha?
 
Wangewapatia maeneo tofauti tofauti isije akawapa wote eneo moja na viwanja vinavyofuatana maana sio wote wana nia ya kujenga huko !! La sivyo vitageuka mapori !
Pili akabidhi hata viwanja vi4 serekalini kama Samora Jamhuro dodoma na Mbeya kutoka ccm ili. Viboreshwe na kukuza siloka la Tanzania.
 
Back
Top Bottom