Rais awapongeza Simba SC kwa ushindi dhidi ya Yanga SC April 16/2023

Pia serikali kupitia kwa msemaji wake wametangaza siku ya kesho kama ni siku ya mapumziko kusherehekea ushindi wa club namba 8 kwa ubora Barani Africa SIMBA SPORTS CLUB Kidimbwi fc mkae kwa kutulia [emoji196] [emoji196]
 
Kwenye ngao ya hisani nako alitoa pongeza ama pongezi ni kwenye ligi kuu tu?
 
Mihemko ilimponza mayele maana Ali ahidi kuifunga Simba Leo..lazima wamlaumu Vyura wenzake kawaingiza chaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…