Rais awapongeza Simba SC kwa ushindi dhidi ya Yanga SC April 16/2023

Rais awapongeza Simba SC kwa ushindi dhidi ya Yanga SC April 16/2023

1681676573343.png
 
Mama Samiaaaa.
Jamani tumpe mitano tena Mama yetu Samia.
Toka nizaliwe tarehe 9 mwezi wa 02 mwaka 1950 sijaona Raisi mzuri kama mama Samia.

Hana timu anapenda michezo tu basi.
Simba na Yanga zote ni zake.

Mitano tena mama mimi na familia yangu tutakupa kura. Sisi ni matajiri hatufanyi kwa fadhila.
 
Kwenye ngao ya hisani nako alitoa pongeza ama pongezi ni kwenye ligi kuu tu?
ligi kuu ina nguvu bingwa na mshindi wa pili wanaenda champion na mshindi wa tatu na wa nne wanenda shirikisho ila ndio kanuni inavyosema SIMBA haifungwi na timu mbovu iliyokuwa inashiriki kombe la loser wakati cc tupo champion kumfunga yanga ni maamuzi tu tukiamua tunakupiga tunavyotaka au jana hukuona 😁😁😁
 
Back
Top Bottom