Ndiyo habari ya MUJINI hiyo Mkuu. Lugola mkata viuno akaona isiwe shida mbona nami nayajua maovu ya huyu? Nami nitayatumia ili kujilinda kwa kuweka kila kitu hadharani. Sasa Lugoya wanamgwaya hakuna wa kumgusa. Mujini raha hahahahahahah nilikuwa namuona mjinga mjinga tu kumbe ana akili zake lol!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.