Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

Term limit iliondolewa tangu mwaka 2018, na Xi akaongezewa nguvu kama za Mao, na ujue tu nguvu ya Xi ni kubwa kuliko nguvu aliyokuwa nayo Hu jintao baada ya mabadiliko ya 2018.View attachment 2204804View attachment 2204805View attachment 2204807
Xi Jinping walicho fanya wachina ni kumuongezea Xi Jinping mihula ya kutawala maana katiba ya China inasema Rais kutawala Mwisho mihula miwili ya miaka mitano ya kwanza na mitano ya pili Ila Xi Jinping watakuwa wanamuongezea mihula na sio kutawala mpaka kufa iyo kitu haipo na mwaka huu ndio wanamuongezea muhula wa tatu subiri china political session 2022 ianze ndio utaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swali la kujiuliza je ni China iliwalazimisha wangie makubaliano yenye mikataba migumu ambayo hailipiki au ni viongozi wao kwa uzembe na ujinga wao wakutokujua Jinsi gani watalipa hio mikopo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By the way Belt & Road Initiative it is the best project in the world right now . wether like or not

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaelewa nini maana ya mataifa ya kiimla alfu china sio nchi ya kiimla kwa sababu hawalishishani uongozi kama Korea kaskazini au Kama ufalme/ malikia wa kiingeleza au saudia Arabia ipe heshima serikali ya wachina iliyochaguliwa na wachina wenyewe kupitia mapinduzi ya 1949

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila jibu nimetoa kwamba hujaliona ama hujataka kulisoma MKUU!!!??
 
Kama US haina usalama kwa nini Wachina takribani 100,000 wameomba hifadhi ya ukimbizi Marekani?
Umeelewa maelezo yangu uliyo yatolea maelezo
Pia watu wangapi wanabaguliwa US watu wangapi wanikimbia US kwanza US hata uhuru wakujieleza nakutoa maoni kama mnavyoaminishwa haupo
US ina mengi sna yakujifunza kwa UCHINA
 
China hata mikutano ya kisiasa hairuhusiwi, kinachoruhusiwa ni vikao vya chama cha Kikomunisti tu.
Watu watalumbana na kuandamania wapi??
Kwamba hujawahi kuona maandamano UCHINA ama unataka kusema nn!!?
Pia umekiri kwamba US kuna uchafu wakisiasa mpaka mabunge kuvamiwa !!!??
 
Hata sisi tunadai tulimchagua Magufuli lakini hakujiziia kuwa dikteta hivyo kuchaguliwa sio hoja maanake hata Hitler alichaguliwa vile vile.
 
Hata sisi tunadai tulimchagua Magufuli lakini hakujiziia kuwa dikteta hivyo kuchaguliwa sio hoja maanake hata Hitler alichaguliwa vile vile.
Kuchaguliwa sio hoja na ndio maana ata Bush(Mr.Iraq war) alichaguliwa, Obama(Mr.Libyan war) alichaguliwa, Trump ( Mr .Iran military general Killer) alichaguliwa, Biden ( Mr . Ukrainian war ) alichaguliwa, Tony Blair (Mr. Iraq war) alichaguliwa , Franco Holland ( Mr. West Africa Conflict/ wars causer ) alichaguliwa. All these are dictators from so called Democracy election according to West

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
You're showing the epic of lunacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…