Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

Hakuongezewa muda, aligombea ndani ya chama chake cha Democrat akashinda kwa muhula wa tatu na wa nne baada ya kuwashinda wagombea wa Republicans kitaifa pia katika mihula yote ya 3 na 4.
Do you think democracy is a single favor coca cola in all part of the world can taste the same?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demokrasia ina misingi yake ambayo lazima ionekane popote inapodaiwa kutekelezwa, baadhi ya misingi hiyo ni
1.Uchaguzi huru na wa haki wa wananchi wote watu wazima.
2.Uhuru wa habari na vyombo vya habari.
3.Mihimili mitatu yenye kuchekiana "checks and balances"
4.Uhuru wa kukusanyika
5.Uhuru wa kuabudu
6.Uchumi wa soko huria

Vyote hivo china wantekeleza kwa namna yao ya kipekee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... sasa ndio shughuli ya kikubwa imeanza. Kwa mfanano wa mpambano wa heavyweight, siku 60 zilizopita ilikuwa mipambano ya utangulizi. Mabondia wa ukweli wako vyumbani wanajiandaa; muda wowote watapanda ulingoni.
Siku 60 zilizopita ndo zilitakiwa zimalize mchezo, kushindwa maliza mchezo hapo maana yake marathon
 
Kijana nakuomba usije ukaiweka china level moja na urus,marekani na nchi yoyote ile hapa duniania katika eneo la uongozi china ipo kwenye system ya pekee hapa duniani hakuna nchi yenye kuifanya hivo. CHINA KAWAACHA MBALI WENZAKE TENA SANA TU KWENYE UONGOZI WA NCHI.

NOTE: KWA SYSTEM YA UONGOZI WA CHINA MARAIS WENGI WA MAREKANI WASINGE CHAGULIWA KWA SABABU HAWAJUI NINI MAANA YA UONGOZI.Mfano Biden,Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
Lione kubwa jinga
 
CHINA ni BORA kuliko US kwenye angle ya uongozi
Hivi hawa wanafahamu ni kwa namna gani mpaka mtu anakuwa kiongozi katika nchi ya china na mpima kwa vigezo gani na anachunguzwaje na kuwa kiongozi?. Hivi hawa wanafahamu kuhusu political buro ya uchina wanaochaguliwa kwa vigezo vipi?.Hivi hawa wanafahamu kuwa Xi Jinping kabla ya kuwa raisi wa China amekuwa katika ngazi mbalimbali za uongozi kwa miaka takribani 40 ndipo kuwa Rais wa China.wanadhani china ukiwa na influence yoyote tu Kama Donarld Trump au Kanye West unakuwa Rais wa china hayo waya ache marekani Ila sio china.

HEBU WAWASOME HAWA WATU KWANZA NDIPO WAJE KUIZUNGUMZIA CHINA
FB_IMG_1650533974936.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio gharama ya demokrasia, hata mwendawazimu kama Trump anaweza kuchaguliwa ikiwa wengi wanamkubali. Lakini bado demokrasia ndio mfumo mzuri kuliko mfumo mwingine wowote wa kupata viongozi hasa ukiwa na taasisi imara ambazo hazitegemei maamuzi ya mtu mmoja.
Hivi hawa wanafahamu ni kwa namna gani mpaka mtu anakuwa kiongozi katika nchi ya china na mpima kwa vigezo gani na anachunguzwaje na kuwa kiongozi?. Hivi hawa wanafahamu kuhusu political buro ya uchina wanaochaguliwa kwa vigezo vipi?.Hivi hawa wanafahamu kuwa Xi Jinping kabla ya kuwa raisi wa China amekuwa katika ngazi mbalimbali za uongozi kwa miaka takribani 40 ndipo kuwa Rais wa China.wanadhani china ukiwa na influence yoyote tu Kama Donarld Trump au Kanye West unakuwa Rais wa china hayo waya ache marekani Ila sio china.

HEBU WAWASOME HAWA WATU KWANZA NDIPO WAJE KUIZUNGUMZIA CHINAView attachment 2204710

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ndio gharama ya demokrasia, hata mwendawazimu kama Trump anaweza kuchaguliwa ikiwa wengi wanamkubali. Lakini bado demokrasia ndio mfumo mzuri kuliko mfumo mwingine wowote wa kupata viongozi hasa ukiwa na taasisi imara ambazo hazitegemei maamuzi ya mtu mmoja.
Maamuzi Kama ya mchekeshaji kujiunga NATO au sio au maamuzi Kama ya Trump kuwawekea sanction s wachina kwenye biashara kupelekea baadhi ya wafanya biashara wa kimarekani kuathirika au sio? Na Biden kuondoa hizo sanctions

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuzi Kama ya mchekeshaji kujiunga NATO au sio au maamuzi Kama ya Trump kuwawekea sanction s wachina kwenye biashara kupelekea baadhi ya wafanya biashara wa kimarekani kuathirika au sio? Na Biden kuondoa hizo sanctions

Sent using Jamii Forums mobile app
All in all demokrasia ni nzuri ikitumika katika usahihi Ila ni mbaya isipotumika katika usahihi ni Kama ujamaa tuu una faida na hasara zake usipo tumika katika usahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hili la Xi ni Rais wa china Hadi kifo nalo hulijui?!
Hakuna io kitu Ila Xi Jinping anategemea kuongezewa Third term(muhula wa tatu) Mwaka huu baada ya kutawala kwa awamu mbili maana Mwaka huu china Wana Two political session ,na sio kutawala mpaka kifo swali je akifikia katika hali ya umri mrefu na udhoofu wa hali ya mwili Kama Biden unafikiri atakuwa na uwezo wa kutawala? jibu ni hapana china hawawezi fanya upumbavu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza Unachanganya mambo mengi sana na pia usijiingize kwenye kejeli za watu wenye akili ndogo kufikiri comedians ni wata hovyo au wa kiwango cha chini, fahamu kwanza wachekeshaji ni watu wenye uwezo mkubwa sana wa akili kuliko wanasiasa wengi, kuwafanya watu wacheke sio kazi rahisi.

Pili, fahamu Zelenskyy hajawahi kusema anataka kujiunga na NATO, hata angetaka asingeweza bila bunge la Ukraine kupitisha na Zelenskyy hana control ya bunge nchini kwake.

Tatu, Marekani haijawahi kuiwekea China vikwazo "sanctions" wewe utakuwa unazungumia "tarrifs" za biashara ambazo kila nchi duniani huwa inaziweka dhidi ya washindani wake, kinachobadilika huwa ni viwango na aina ya bidhaa.

Kuna mambo mengi huyajui kuhusu siasa na uchumi nje ya nchi yako ila unataka kujifanya unayafahamu vizuri sana, ni vyema ungejifunza kwanza kabla ya kuandika.

Back
Top Bottom