Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

Dikteta ni kiongozi yoyote wa serikali anayeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi walio wengi kupitia mchakato huru na wa haki wa sanduku la kura.

Baraza la Seneti la Marekani halipigi kura za kumchagua Rais, usichanganye seneti na "electoral college".
Niambie nini maana ya udictator ? Kwa hio na marekani lile Baraza la Senate ni udictator ambao kura zao zinaweza kumfanya mtu kuwa Rais au kutokuwa Rais Napo kunaudictator

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dikteta ni kiongozi yoyote wa serikali anayeingia madarakani bila ridhaa ya wananchi walio wengi kupitia mchakato huru na wa haki wa sanduku la kura.

Baraza la Seneti la Marekani halipigi kura za kumchagua Rais, usichanganye seneti na "electoral college".
Kwa nini maamuzi ya marekani lazima yaidhinishwe na watu wachache Wana utofauti gani na uo udictator unaouita wa china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani katika 33 utoe ishirini kusaidia jeshi halafu useme husaidii vita? Kweli us ni magosha,
Wazungu si watu wazuri
 
Ndio Marekani Rais anachaguliwa na wananchi kwa ujumla. Kura za wananchi katika jimbo ndizo zinaamua mshindi atakayepata electoral votes za jimbo.

Mgombea Urais wa Marekani anayeongoza kwa wingi wa kura za wananchi katika jimbo moja anachukua kura zote za electoral college za hilo jimbo zilizowekwa na katiba na mwenzake anahesabika ni 0 kwenye hilo jimbo.
Kwani marekani Rais anachaguliwa na wananchi kwa ujumla?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa Marekani, Joe Biden ameliomba Bunge la Marekani kuidhinisha msaada wa ziada wa dola bilioni 33 kwa lengo la kuisaidia Ukraine wakati huu inapokabiliwa na uvamizi wa Urusi.

Rais Biden amesema kuwa lengo sio kuishambulia Urusi bali kuisaidia Ukraine, ambapo msaada huo unahusisha dola bilioni 20 za msaada wa kijeshi na dola bilioni 8.5 kusaidia uchumi na dola bilioni 3 za msaada wa kibinadamu.

Kiwango hicho ni mara mbili zaidi ya dola bilioni 13.6 zilizopitishwa na Bunge hilo ambazo tayari zimetumiwa kwa kusafirisha shehena za silaha kwa Ukraine katika wiki za hivi karibuni.

Source: BBC

=================

Biden proposes $33bn to help Ukraine in war

President Biden is asking Congress for $33bn (£27bn) in military, economic and humanitarian assistance to support Ukraine - although he insisted that the US was not "attacking Russia".

Mr Biden said it was "critical" for US lawmakers to approve the deal, which he said would help Ukraine defend itself.

The proposal includes more than $20bn in military aid, $8.5bn in economic aid and $3bn in humanitarian aid.

"It's not cheap," Mr Biden said on Thursday.

"But caving to aggression is going to be more costly if we allow it to happen."

Although the US has already announced help for Ukraine, the proposals are a significant ramping up of aid.

President Biden said US military support to Ukraine has so far amounted to 10 anti-tank weapons for every tank that Russia has deployed to Ukraine.

But despite his strong rhetoric, he said the US was not attacking Russia. "We are helping Ukraine defend itself against Russian aggression," he insisted.

On Thursday, a spokesperson for Russia's Foreign Ministry said Western military support for Ukraine threatens "the security of the continent".

President Biden is asking Congress to authorise an enormous sum of money for Ukraine - more than twice as much as the US has already spent on providing military equipment and humanitarian aid.

The US president wants to show he is undeterred by vague threats about the possible use of nuclear weapons, and a warning from Vladimir Putin that there could be retaliatory strikes against countries that intervene in Ukraine.

He shrugged off those comments - saying they show the desperation Russia is feeling about their abject failure to do what they set out to do.

Explaining to Americans why this money is needed - at a time when many are suffering from rising living costs - he said it was not cheap, but doing nothing was more costly.

An additional plan to allow US authorities to not just freeze but liquidate the assets of Russian oligarchs is bold - and it has raised concerns among civil liberties groups in America. But it is likely to gain bipartisan support in Congress.

Yet it will not begin to cover cost of the additional sums of money the White House wants to spend supporting Ukraine's war efforts.

Kumbe bbc!!! Basi sawa
 
If you believe a country can become the second largest economy in just two years.
He was vice president from 2008, two years before China ascended to the second position.
Uchumi hauwezi kukuzwa miaka miwili Ila unaweza kuendelezwa kwa miaka mingi ndio maana unaona xi Jinping after being a vice president akashinda urais then wanapanga kumuongezea third term

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ni kwamba Marekani wananchi hupiga kura kumchagua Rais kisha wawakilishi wa wale wengi walioshinda katika kila jimbo wanaidhinisha ushindi kwa sababu Marekani ni United "States", China wananchi wake wa kawaida hawapigi kura kabisa kumchagua Rais wao, hata viongozi wengine wa ngazi za chini huchaguliwa na "wajumbe" chini ya udhibiti wa mkali chama cha Kikomunisti.
Kwa nini maamuzi ya marekani lazima yaidhinishwe na watu wachache Wana utofauti gani na uo udictator unaouita wa china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uchumi hauwezi kukuzwa miaka miwili Ila unaweza kuendelezwa kwa miaka mingi ndio maana unaona xi Jinping after being a vice president akashinda urais then wanapanga kumuongezea third term

Sent using Jamii Forums mobile app
Unamkumbuka Franklin Delano Roosevelt Rais wa marekani aliyeongezewa muda after two term za miaka jumla nane wakamuongezea mingine minne same as China did to Xi Jinping

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tofauti ni kwamba Marekani wananchi hupiga kura kumchagua Rais kisha wawakilishi wa wale wengi walioshinda katika kila jimbo wanaidhinisha ushindi kwa sababu Marekani ni United "States", China wananchi wake wa kawaida hawapigi kura kabisa kumchagua Rais wao, hata viongozi wengine wa ngazi za chini huchaguliwa na "wajumbe" chini ya udhibiti wa mkali chama cha Kikomunisti.
Do you remember Trump circumstances against the U.S.A election 2020 . election was scam

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba ya Marekani ilikuwa haijaweka ukomo wa vipindi viwili vya urais hadi mwaka 1947 bunge la Marekani lilipofanya hivyo. Marais wote waliopita walikuwa wanaishia vipindi viwili kama utamaduni tu ukizingatia Rais wao wa kwanza alitumikia vipindi viwili tu.
Unamkumbuka Franklin Delano Roosevelt Rais wa marekani aliyeongezewa muda after two term za miaka jumla nane wakamuongezea mingine minne same as China did to Xi Jinping

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katiba ya Marekani ilikuwa haijaweka ukomo wa vipindi viwili vya urais hadi mwaka 1947 bunge la Marekani lilipofanya hivyo. Marais wote waliopita walikuwa wanaishia vipindi viwili kama utamaduni tu ukizingatia Rais wao wa kwanza alitumikia vipindi viwili tu.
Unafahamu ni process gani walitumia mpaka kumuongezea muda au unadhani walimuongezea muda Kama utamaduni tu bila kuvunja Baadhi ya vifungu vya sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuongezewa muda, aligombea ndani ya chama chake cha Democrat akashinda kwa muhula wa tatu na wa nne baada ya kuwashinda wagombea wa Republicans kitaifa pia katika mihula yote ya 3 na 4.
Unafahamu ni process gani walitumia mpaka kumuongezea muda au unadhani walimuongezea muda Kama utamaduni tu bila kuvunja Baadhi ya vifungu vya sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inaitwa "representative democracy" na sio kwamba ni kamilifu au haina dosari ila ni demokrasia. China haina demokrasia kabisa.
Aya sawa endelea kuamiani china haina demokrasia huku ikiwa na multipartism za kutosha na misingi ya demokrasia wakifuata kutokana na na namna wachina walivyo .Modern democracy socialism with Chinese characteristics ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom