Rais Biden aliomba Bunge kuidhinisha dola bilioni 33 kuisaidia Ukraine kukabiliana na uvamizi wa Urusi

Xi kafanya kipi cha kustahili kusifiwa wakati yeye ni miongoni mwa watawala wasio amini ktk uhuru wa watu anaowatawala.

Basically, Xi is nothing but a dictator destined to rule China all the way to his demise. Xi ni bure kabisa.
Unasema Xi Jinping kafanya kipi Cha maana ? Embu nitajie sifa za dictator maana usije ukawa haujui hata maana ya dictator

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Xi kafanya kipi cha kustahili kusifiwa wakati yeye ni miongoni mwa watawala wasio amini ktk uhuru wa watu anaowatawala.

Basically, Xi is nothing but a dictator destined to rule China all the way to his demise. Xi ni bure kabisa.
Binafsi namkubali Sana Mtu aliye organize Belt & Road Initiative inayounganisha 60% ya GDP duniani.
 
Mbona hizo kelel US hasemi kuhusu Saudia? Au kwakuwa ni mshikaji wake? Mbona hazisemi kuhusu Malkia wa Uingereza? Hivi Malkia wa Uingereza si familia yake ni watawala daima milele amina?
China raia wanaikubali serikali yao kuliko raia wa Marekani wanavyoikubali serikali yao.
China kusingekuwa na uhuru wa Afrika wangeenda kukaa Guangzhou hadi wakalowea? Mbona huskii waafrika wamelowea Saudia wala wanaenda na kurudi kama wanavyoenda China?
Shida tumekuwa brainwashed kwamba mfumo wa nchi lazima ufanane na wa kwao. Hata Libya walikuwa wana mfumo wao wa demokrasia uliokuwa una wafavor wao na walikuwa wanaishi vizuri tu mpaka walivyoletewa hiyo demokrasia ya West.
 
Alafu fatilia ripoti ya havard University kuhusu Rais anaye aminika na wanachi wa hizi nchi mbili Kati ya china na marekani uone Jinsi serikali ya marekani chini ya Biden of inavoaminika kwa asilimia chache 40% kwa wamarekani na huyo Xi Jinping unayemwita dictator na serikali yake anaaminika kwa asilimia kubwa95%na wananchi wa china

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hizo kelel US hasemi kuhusu Saudia? Au kwakuwa ni mshikaji wake? Mbona hazisemi kuhusu Malkia wa Uingereza? Hivi Malkia wa Uingereza si familia yake ni watawala daima milele amina?
China raia wanaikubali serikali yao kuliko raia wa Marekani wanavyoikubali serikali yao.
China kusingekuwa na uhuru wa Afrika wangeenda kukaa Guangzhou hadi wakalowea? Mbona huskii waafrika wamelowea Saudia wala wanaenda na kurudi kama wanavyoenda China?
Shida tumekuwa brainwashed kwamba mfumo wa nchi lazima ufanane na wa kwao. Hata Libya walikuwa wana mfumo wao wa demokrasia uliokuwa una wafavor wao na walikuwa wanaishi vizuri tu mpaka walivyoletewa hiyo demokrasia ya West.
Waambie hawa vikaragosi wanadhani nchi haiwezi kuongozwa bila kuiga mifumo ya West

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais wa China hachaguliwi na wananchi kwa ujumla, anateuliwa na kamati maalum ya chama kisha baraza la chama cha kikomunisti kinampigia kura mtu mmoja
Kijana nakuomba usije ukaiweka china level moja na urus,marekani na nchi yoyote ile hapa duniania katika eneo la uongozi china ipo kwenye system ya pekee hapa duniani hakuna nchi yenye kuifanya hivo. CHINA KAWAACHA MBALI WENZAKE TENA SANA TU KWENYE UONGOZI WA NCHI.

NOTE: KWA SYSTEM YA UONGOZI WA CHINA MARAIS WENGI WA MAREKANI WASINGE CHAGULIWA KWA SABABU HAWAJUI NINI MAANA YA UONGOZI.Mfano Biden,Trump

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huo nao ni uongo mtupu China ilikuwa ya pili kwa uchumi mkubwa duniani wakati wa Hu Jintao mwaka 2010
... wanadai ndiye baba wa uchumi wa China; kaipaisha China kiuchumi na sasa ni among the super powers. So, wameamua kumzawadia urais wa maisha.
 
Belt $ Road Initiative imezitumbukiza nchi kadhaa kwenye madeni yasiyolipika.
'Debt trap'
Binafsi namkubali Sana Mtu aliye organize Belt & Road Initiative inayounganisha 60% ya GDP duniani.
 
Ni kweli,
Kuna mitindo tofauti ya kidekteta duniani, mfumo wa udikteta wa China ni wa Chama kimoja cha Kikomunisti(CCP). Katika mfumo huo dikteta anayechaguliwa na chama kuongoza huwa anasikiliza na kuenenda zaidi kwa maoni ya chama na wataalamu kuliko matakwa yake binafsi.
China haipo group moja na rusia na Nk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hizo kelel US hasemi kuhusu Saudia? Au kwakuwa ni mshikaji wake? Mbona hazisemi kuhusu Malkia wa Uingereza? Hivi Malkia wa Uingereza si familia yake ni watawala daima milele amina?
China raia wanaikubali serikali yao kuliko raia wa Marekani wanavyoikubali serikali yao.
China kusingekuwa na uhuru wa Afrika wangeenda kukaa Guangzhou hadi wakalowea? Mbona huskii waafrika wamelowea Saudia wala wanaenda na kurudi kama wanavyoenda China?
Shida tumekuwa brainwashed kwamba mfumo wa nchi lazima ufanane na wa kwao. Hata Libya walikuwa wana mfumo wao wa demokrasia uliokuwa una wafavor wao na walikuwa wanaishi vizuri tu mpaka walivyoletewa hiyo demokrasia ya West.
You're better than this

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli,
Kuna mitindo tofauti ya kidekteta duniani, mfumo wa udikteta wa China ni wa Chama kimoja cha Kikomunisti(CCP). Katika mfumo huo dikteta anayechaguliwa na chama kuongoza huwa anasikiliza na kuenenda zaidi kwa maoni ya chama na wataalamu kuliko matakwa yake binafsi.
Niambie nini maana ya udictator ? Kwa hio na marekani lile Baraza la Senate ni udictator ambao kura zao zinaweza kumfanya mtu kuwa Rais au kutokuwa Rais Napo kunaudictator

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Belt $ Road Initiative imezitumbukiza nchi kadhaa kwenye madeni yasiyolipika.
'Debt trap'
Je ni belt& Road Initiative ndio imewaingiza nchi kwenye madeni yasiyolipika au ni zenyewe kutokuwa na mbinu mbadala ya kulipa madeni kabla ya kujiinclude kwenye belt& Road Initiative

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom