Thecoder
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 1,590
- 4,244
- Thread starter
- #61
Itakua anataka aprove kwamba yeye bado ananguvu ila kile kichwa chake sasa hivi ndio kina muaibisha, kumbukumbu zinapotea hadi anasahau watu.Hivi kwa nini anakomaa tu kwa umri ule jamani kuna watu duniani nimeamini wanapenda shida .Hela anazo umri ule ulikuwa wa kutulia nyumbani kutakii duniani huko .Kula maisha stress free
Ingekuwa Afrika wangezomea hadi basi kama walivyozomea Mugabe kuwa kazeeka atoke