Hivi kwa nini anakomaa tu kwa umri ule jamani kuna watu duniani nimeamini wanapenda shida .Hela anazo umri ule ulikuwa wa kutulia nyumbani kutakii duniani huko .Kula maisha stress free
Ingekuwa Afrika wangezomea hadi basi kama walivyozomea Mugabe kuwa kazeeka atoke