Rais Biden aweka rekodi mpya ya kupata dislikes nyingi, Youtube wakamatwa wakizipunguza, comments zazimwa

Rais Biden aweka rekodi mpya ya kupata dislikes nyingi, Youtube wakamatwa wakizipunguza, comments zazimwa

Tuliwaambia watu JB ni puppet kama yule puppet wenu aliyetimkia Belgium, wanabaki kukodoa hata hawaelewi kitu!??? Trump kafanyiwa hujuma kwa sababu alikuwa anairudisha US kwenye mstari wa world hyperpower na kujiepusha na vurugu na vita. Sasa hawa mabourgeoisie wanakosa soko la biashara yao chafu. Ndiyo kisa cha kumwondoa DT
Inawezekana kweli Trump walimfanyia hujuma , jamaa alikuwa sawa
 
View attachment 1699247
View attachment 1699243

Katika muhula huu, Rais Biden ameweka rekodi yake mpya ya aina yake isiyo na mpinzani kwa kuifanya channel ya youtube ya Ikulu ya Marekani kupata dislikes nyingi kutoka kwa wananchi pale kila video inapopandishwa tangu aingie madarakani.

Mbaya zaidi ni kwamba Youtube walichunguzwa na kugundulika wanazipunguza hizi dislikes kama inavyoonekana katika hii picha katika moja ya video za White House, Tathmini zinaonyesha kwamba ni zaidi ya dislikes 130,000 kiujumla katika channel ya white house.

View attachment 1699218

Wamarekani bado wameendelea na utamaduni huu wa kuonyesha hisia zao za kukerwa na uongozi wa Biden kwa kwenda ku dislike video za White house huku White house ikijiliza wako wapi watu wengi waliopiga kura kwa rais kukabiliana na hili tatizo kwa kuongeza wingi wa likes uwe mkubwa kuliko dislikes

Kwa siku hii ya leo muda huu hizi ni video zinazopandishwa na kupata dislike s mfululizo
View attachment 1699233

View attachment 1699224
View attachment 1699225
View attachment 1699227View attachment 1699228View attachment 1699229
Hao wote wanao "dislike" ni wafausi na wapambe wa MSHINDWA TRUMP! Hawana cha kufanya ila hilo ili kuridhisha nafsi zao ZILIZOSHINDWA!
 
Alishindwa ku handle corona wapi bana 😀 😀 , thats was politics tu,hata angekuwa nani hakuna kitu angefanya tofauti ni DT,Corona lazima ingeingia USA tu na ni lazima wangekufa sana tu,unajua kwa nini?,USA ndio nchi inaongoza kwa watu kuwa na afya mbovu duniani,karibia 100M US citizens ni obese, Drug addicts,Umasikini uliokithiri hasa sehem za watu weusi,n.k.Yaani hata leo ukitokea ugonjwa mpya,bado USA ni weak target na watakufa sana tu,hii hata taasisi zao za afya wanaluijua sema hawasemi wazi sababu wanaogopa backlash kutoka kwa media na angry politicians...Corona ilitumika kama sababu ya kuwapa wananchi hasira ili wasimchague Trump,maana waliona hakuna namna yyte wangeweza kumshinda Trump bila kuitumia corona.Ukitaka kujua hilo angalia hata sasa hivi babu Joe Biden hana hata plan yyote ku handle corona said ya kuwaambia watu wavae mask.
biden kakuta corona imeshatamalaki una mjudge vipi? kakuta hali imeshakuwa mbaya watu kibao wameshafariki.
trump alikuwa kwenye position ya kuzuia au kupunguza idadi ya maambukizi kama angechukua hatua mapema.

and kwenye hili is not politics.

Trump alionywa na vyombo vya usalama month before corona haijaingia US.
but kama kawaida yake aka ignore?

guess what alifanya? kawageukia wachina na kuanza kusema huo ugonjwa ni wa wachina. na kuanza kurushiana maneno na nchi za china.

unataka kuniambia bibie jacinda adern alieweza kuimudu corona kwa kiasi kikubwa kwa kutuma resources ndogo? kamshinda trump?

unatak kuniambia australia waliweza kuimudu corona kuliko US yenye resources nyingi under trump?

hizo nchi mbili hazina resources nyingi sana. but waliweza ku minimize damage ya corona nchini mwao.
US undertrump walidhani covid ni joke wakati iko china. hawakuchukua hatua ...wameanza ku react ikiwa imeshaingia.
ni uzembe wa trump admistration.. alichelewa ku act in time.
 
Ok nmekuelewa mkuu, sorry if i appeared to quote you negatively.

Anaeongoza nahisi itakuwa ni hii japo hawa ni tofauti, wana likes nyingi kuliko dislikes

View attachment 1699260
Mkuu mtu kuwa na dislikes nyingi kuliko likes katika kila video siyo jambo la kawaida, huyo uliyomuonyesha hapo juu itakuwa ni video yake mmoja tu ndiyo ina hiyo issue. Lakini kwa White House kuwa hivyo katika kila video, kuna leta picha mbaya.
 
Hao wote wanao "dislike" ni wafausi na wapambe wa MSHINDWA TRUMP! Hawana cha kufanya ila hilo ili kuridhisha nafsi zao ZILIZOSHINDWA!
Una habari kwamba mostly wafuasi wa JB ni virtual!??? They are tired of him already. The people who didn't vote for Trump were not voting for Biden either; they were simply voting Trump out. And they were not many of them.
 
angekuwa sawa.. asingekua voted out. alipewa chance apeleke ushahidi vile alisema anao.
lakin hakupeleka. kosa la nani
What are you talking about, even!??? Don't be so deluded by unreliable sources & media. The evidences brought foward were overwhelming, but the responsible authorities had their eyes, ears and mind fixed in the opposite direction already.
 
Una habari kwamba mostly wafuasi wa JB ni virtual!??? They are tired of him already. The people who didn't vote for Trump were not voting for Biden either; they were simply voting Trump out. And they were not many of them.
Hilo ni la kawaida kwenye chaguzi zote! Sio wote waliojiandikisha wanapiga kura na siyo wote wasiopiga kura hawawataki candidates, hizo ni "ghost votes" zikiwa na malengo mbalimbali! Lakini in this case, Wamarekani wamefanikiwa kumung'oa DJ Ikulu ya White house na kuashiria "amani na utlivu" huko kwao na duniani kwa ujumla AU SIYO!?
 
Kama maana ya ^kumng'oa^ ni kumpindua, basi, Yes. Wamefanikiwa. But US Constitution & Democracy are at the very precipice na crossroads of irredeemable deterioration.The whole world has been, as it were, set on an unquenchable political fire.
 
What are you talking about, even!??? Don't be so deluded by unreliable sources & media. The evidences brought foward were overwhelming, but the responsible authorities had their eyes, ears and mind fixed in the opposite direction already.
oh realy? and your news source is realiable? right?
authorities made decision by evidence.. aint no fixed mind there.. you reap what you sow. nothing else.
 
oh realy? and your news source is realiable? right?
authorities made decision by evidence.. aint no fixed mind there.. you reap what you sow. nothing else.
I cannot even once be surprised by the nature of your premature answers. I guess you have a long way to go. Good luck.
 
biden kakuta corona imeshatamalaki una mjudge vipi? kakuta hali imeshakuwa mbaya watu kibao wameshafariki.
trump alikuwa kwenye position ya kuzuia au kupunguza idadi ya maambukizi kama angechukua hatua mapema.

and kwenye hili is not politics.

Trump alionywa na vyombo vya usalama month before corona haijaingia US.
but kama kawaida yake aka ignore?

guess what alifanya? kawageukia wachina na kuanza kusema huo ugonjwa ni wa wachina. na kuanza kurushiana maneno na nchi za china.

unataka kuniambia bibie jacinda adern alieweza kuimudu corona kwa kiasi kikubwa kwa kutuma resources ndogo? kamshinda trump?

unatak kuniambia australia waliweza kuimudu corona kuliko US yenye resources nyingi under trump?

hizo nchi mbili hazina resources nyingi sana. but waliweza ku minimize damage ya corona nchini mwao.
US undertrump walidhani covid ni joke wakati iko china. hawakuchukua hatua ...wameanza ku react ikiwa imeshaingia.
ni uzembe wa trump admistration.. alichelewa ku act in time.
Trump alianza kufunga mipaka anzia mwezi december, alizuia watu kuingia baada ya covid kuingia Europe na China, unakumbuka Liberals walimwambia nini?, Ni mbaguzi sababu alizuaia watu kutoka China kuingia USA, Hadi bibi Pelosi alienda mitaa ya China town akiwaambia wachina kwamba Trump anafanya ubaguzi so wako salama. Nachosema ni kwamba chochote Trump angefanya hata mapema vipi lazima kungekuwa na Backlash kutoka kwa leftist politicians.

Joe Biden toka kipindi cha kampeni alisema very clearly kwamba ana plan ya ku tackle corona akichaguliwa, so ilibidi aonyeshe hiyo plan yake ni ipi, haijalishi corona imeenea au la. Akikaa hivi alivyo hana tofauti na Trump.

Tukirudi kwenye suasa la marekani taifa kubwa kushindwa kupambana na corona,.. Hapa sijui kama ulielewa point yangu,kwamba kilichowaua wamarekani kwa wingi wala sio eti walishindwa kuchukua tahadhari mapema No, walikufa kwa sababu wanaongoza kwa kuwa na afya mbovu sana duniani, wanakula vyakula vya hovyo, kuna homeless wengi mtaani, drug adicts wengi sana pia,watu wengi ni Obese na wana magonjwa ya moyo. Ukinitajia Australia nitakuuliza je lifestyle yao ni kama ya wamarekani??., Mazingira yao ni kama ya wamarekani?, Siasa yao ni kama ya marekani?, Maana siasa pia marekani imechangia watu kufa sana, kila state ilikuwa ina plan yake ku deal na Covid, federal government ilitoa vifaa na fedha tu ila plans na bilaws zote walifanya States.

Marekani wana pesa lakini wana siasa ya hovyo sana hasa katika utendaji na maamuzi,wengine wanapanga na kutekeleza wao hadi wabishane kwanza ndio watende...
 
I cannot even once be surprised by the nature of your premature answers. I guess you have a long way to go. Good luck.
personal attacks doesnt makes you look smart. little challenge and you shift the course. oh i see
 
Kizazi cha "likes and dislikes".
Binafsi naona taarifa hizo zina walakini sana - inaelekea kundi linalo muunga mkono Trump ndilo linaleta habari hizi za kuchonga ili Biden aonekane hakushinda chaguzi za Uraisi - kikundi hicho ndicho kiliratibu maadamano karibu na Bunge, watu wakajeruhiwa na wengine kupoteza maisha - kisa? Kwa nini Trump alishindwa Urais, wanadai Biden aliiba kura,ndio walivyo.
 
Wanapoteza mda, dunia isha msahau Trump na wanasonga mbele na mambo muhimu.
 
Biden amewekwa kwa mkakati wa kutekeleza mipango michafu ya ikulu ya malekani,ambayo Trump aliipa kisogo.kaingia ikulu tayari kaingiza mashoga ikulu,hiyo ni trela ,atafanya madudu huyu mzee wamarekani hawataamini.
 
Inawezekana kweli Trump walimfanyia hujuma , jamaa alikuwa sawa
hadi polisi wake walitumika kumhujum, polisi walipangwa kutekeleza mauaji kwa wamarekani weusi kimkakati, lengo lilikuwa ni kum-brand ni mbaguzi, na yeye bila kujiongeza akaingia mkenge.
 
hadi polisi wake walitumika kumhujum,polis walipangwa kutekeleza mauaji kwa wamarekani weusi kimkakati,lengo lilikuwa ni kum bland ni mbaguzi,na yy bila kujiongeza akaingia mkenge.
Taja mfano wa mtu mweusi alieuliwa
 
Taja mfano wa mtu mweusi alieuliwa
inaonekana ulikuwa nje ya sayari ya dunia, au ulikuwa chaka nn mkuu, umeingia town majuzi. yale maandamano ya mwaka Jana kabla ya uchagu wa Marekani, ambayo yalitapakaa karibia Marekani yote juu ya polis kuua watu weusi, mpaka Australia waliunga mkono maandamano, Italia, nk.
 
hadi polisi wake walitumika kumhujum,polis walipangwa kutekeleza mauaji kwa wamarekani weusi kimkakati,lengo lilikuwa ni kum bland ni mbaguzi,na yy bila kujiongeza akaingia mkenge.
Trump alishakuwa branded racist na ma liberals toka wakati wa kampeni 2015, Suala la mauaji ya Floyd alichokifanya Trump na misimamo yke ni sawa kabisa, Hamuwezi kuchoma biashara za watu na kuharibu miji kisa mtu mmoja kauawa, lazima kama rais u condemn pande zote... Sioni kibaya alichokifanya Trump, sema tu ukishaonekana mmbaya hkuna zuri utalofanya watu waelewe...
 
Back
Top Bottom