GODZILLA
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 5,909
- 10,542
Hahahahaa watanganyika kwa kulishana propaganda hamjambo!Biden amewekwa kwa mkakati wa kutekeleza mipango michafu ya ikulu ya malekani,ambayo Trump aliipa kisogo.kaingia ikulu tayari kaingiza mashoga ikulu,hiyo ni trela ,atafanya madudu huyu mzee wamarekani hawataamini.
Wewe mmatumbi wa buza huko mambo ya marekani yanakuwasha namna hii?
Kuandika kwenyewe hujui unajitutumua kama dume la chura!