GODZILLA JF-Expert Member Joined Dec 26, 2014 Posts 5,909 Reaction score 10,542 Feb 12, 2021 #41 chazachaza said: Biden amewekwa kwa mkakati wa kutekeleza mipango michafu ya ikulu ya malekani,ambayo Trump aliipa kisogo.kaingia ikulu tayari kaingiza mashoga ikulu,hiyo ni trela ,atafanya madudu huyu mzee wamarekani hawataamini. Click to expand... Hahahahaa watanganyika kwa kulishana propaganda hamjambo! Wewe mmatumbi wa buza huko mambo ya marekani yanakuwasha namna hii? Kuandika kwenyewe hujui unajitutumua kama dume la chura!
chazachaza said: Biden amewekwa kwa mkakati wa kutekeleza mipango michafu ya ikulu ya malekani,ambayo Trump aliipa kisogo.kaingia ikulu tayari kaingiza mashoga ikulu,hiyo ni trela ,atafanya madudu huyu mzee wamarekani hawataamini. Click to expand... Hahahahaa watanganyika kwa kulishana propaganda hamjambo! Wewe mmatumbi wa buza huko mambo ya marekani yanakuwasha namna hii? Kuandika kwenyewe hujui unajitutumua kama dume la chura!
msabillah JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 4,764 Reaction score 3,192 Feb 13, 2021 #42 Jasmoni Tegga said: Mitanotena Click to expand... Mitatu tena
Jasmoni Tegga JF-Expert Member Joined Oct 28, 2020 Posts 12,624 Reaction score 24,751 Feb 13, 2021 #43 GODZILLA said: Hahahahaa watanganyika kwa kulishana propaganda hamjambo! Wewe mmatumbi wa buza huko mambo ya marekani yanakuwasha namna hii? Kuandika kwenyewe hujui unajitutumua kama dume la chura! Click to expand... Aiseee heshima haina bei na wala hainunuliwi, sawa!??? Huyo jamaa unamtukania nini, kimfano!??? Hayo madini aliyofurumua unaweza wewe Mrangi wa Kondoa!??? Mbona tunajua wewe kazi yako kucheza na mijoka kutwa kuchwa ila hatusemi!???
GODZILLA said: Hahahahaa watanganyika kwa kulishana propaganda hamjambo! Wewe mmatumbi wa buza huko mambo ya marekani yanakuwasha namna hii? Kuandika kwenyewe hujui unajitutumua kama dume la chura! Click to expand... Aiseee heshima haina bei na wala hainunuliwi, sawa!??? Huyo jamaa unamtukania nini, kimfano!??? Hayo madini aliyofurumua unaweza wewe Mrangi wa Kondoa!??? Mbona tunajua wewe kazi yako kucheza na mijoka kutwa kuchwa ila hatusemi!???