Khaa kwa,nini asikate billion kwenda ukrain na Israeli awawekeee umeme wa uhakikaKupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini.
Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa yao kwa Mara ya kwanza, Hali itakayoleta unafuu kwenye maisha Yao.
View attachment 2971700
Matumizi ya alama ya mkato naona bado yana changamoto kwako mkuu.Khaa kwa,nini asikate billion kwenda ukrain na Israeli awawekeee umeme wa uhakika
Si kwamba umeme unakatika hiyo ni kwaajili ya kupunguza matumizi ya umemeKhaa kwa,nini asikate billion kwenda ukrain na Israeli awawekeee umeme wa uhakika
Duh sikuwahi kufikiri kwamba marekani kuna kaya hazina umeme na ni masikiniKupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini.
Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa yao kwa Mara ya kwanza, Hali itakayoleta unafuu kwenye maisha Yao.
View attachment 2971700
Huyu mtu alivyo ahidi kulipia watu student loan, wapo wengi walisema haiwezekani. Lakini kaweza licha ya ugumu anaowekewa. Iwe ni uchaguzi au la lakini naamini atatekeleza kama atakuwa hai.Maji yamemfika shingoni uchaguzi unakuja. Huu ujinga nilifikiri upo Afrika tu.
Unafikiri kwanini anaruhusu wahamiaji haramu, anataka apate kura toka kwaoHuyu mtu alivyo ahidi kulipia watu student loan, wapo wengi walisema haiwezekani. Lakini kaweza licha ya ugumu anaowekewa. Iwe ni uchaguzi au la lakini naamini atatekeleza kama atakuwa hai.
Ni uongo tu, Muhamiaji haramu hawezi kupiga kura, hizo kura anazipataje? Kelele za wapinzani wake kutunga uongo kila siku.Unafikiri kwanini anaruhusu wahamiaji haramu, anataka apate kura toka kwao