DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 41,728
- 103,997
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Twitter (x), Rais wa mmarekani JOE BIDEN amesema serikali yake inakusudia kupitisha dola bil. 7 kwa ajili ya kugharamia Sola 900,000 kwa ajili ya kaya maskini.
Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa yao kwa Mara ya kwanza, Hali itakayoleta unafuu kwenye maisha Yao.
Amesema kwenye program hiyo mpya itawawezesha wamarekani wa kipato cha chini kumiliki Sola kwenye mapaa yao kwa Mara ya kwanza, Hali itakayoleta unafuu kwenye maisha Yao.