Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Nukuu yako tu ya mathayo 28:19 imekukataa.
Warumi 1:15-17. Mwamini Yesu uende mbinguni acha kuufanya moyo wako kuwa mgumu.
 
We jamaa post zako nyingi unaweka na data, big up sana. Kweli Tinubu ameshinda na huyo Atiku amekuwa wa Pili, uliyesema hatoshinda ni kweli kawa wa 3. Kongole sana mkuu.
 
Ccm inakutesa umeshindwa kuiondoa madarakani,unashadadia mambo ya Naigeria
 
AK47 sio silaha ya kimarekani, ni ya Russia.
Wanajitambulisha km waislam ambao wanatumia silaha za kimarekan,magar ya kijapan na pikipik za kichina.

Wakijisikia hamu ya kugonga wanavamia shule na kuteka mabint wabichiiiiiiii ili kukidh haja zao.
 
Kwani Marekani tu ndio wanauza silaha??
Buhari alikuwa na mpango wa kulitokomeza kabisa kundi la boko Haram, alienda marekani kuomba auziwe silaha akakataliwa.
Mtoa mada hujui haya mambo unaongozwa na chuki za kidini
 
Kwani Marekani tu ndio wanauza silaha??
Inategemea na aina ya silaha walizokuwa wakihitaji. Ila Kama kweli marekani wanapinga ugaidi wasingekataa ombi la Nigeria.
 
Population kubwa ya Nigeria ni wakristo, hilo anajidanganya
Na ndo waliosoma,na ndo wako majimbo yenye maendeleo,na ndo wengi Wana uwezo!
Majimbo masikini na yasiyo na maendeleo ndo wako hao wenzetu
 
Yaan mtanzania anachukia kwa wanaigeria kumchagua muislam kuwa rais wao...kwl chuki uliyonayo juu ya uislam na waislam ni kubwa mnoo....
 
Na ndo waliosoma,na ndo wako majimbo yenye maendeleo,na ndo wengi Wana uwezo!
Majimbo masikini na yasiyo na maendeleo ndo wako hao wenzetu
Unajidanganya sana, tena sana sana na sana tena. Hujawahi kufika hata Tunduma au Namanga ujifanye kuyajua ya huko?.
 
Dua lako la kuku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…