Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Rais Buhari ni mtu mdini ambaye ataizamisha Nigeria, ni suala la muda tu

Waislamu wengi nigeria wapo kaskazini ambako kuna shida sana na ndo eneo maskini sana.
Matajiri wa nigeria asilimia kubwa ni wakristo.
Japo dangote ni muislamu
 
Ni KWELI kwenye Biblia hakuna mahali walipoandika uislam kuwa ni dini. Ila Kuna mahali wameandika Yesu ndiye njia KWELI na Uzima mtu hauwezi kwenda peponi bila kumwamini na kumfuata Yesu.

Njia ya Yesu

Kwanza na kabla ya yote, lazima itambulike kuwa Yesu Kristo, mwana wa Mariamu, alikuwa ni wa mwisho katika orodha ya manabii wa Kiisraeli.

Aliishi kwa mujibu wa Torati, na sheria ya Musa, na aliwafundisha wafuasi zake wafanye hivyo hivyo.

Katika Mathayo 5:17- 18, Yesu ameeleza:

“Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua Torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kuitimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi wala nukta moja ya torati haitaondoka, hata yote yatimie.”

Kwa bahati mbaya, kiasi cha miaka mitano baada ya kuisha kwa uchungaji wa Yesu, Rabbi kijana kwa jina la Sauli wa Tarsus, aliyedai kuwa amemuona Yesu katika maono, alianza kubadilisha njia ya Yesu.

Paulo (jina lake kwa Kirumi) alikuwa na heshima kubwa kwa falsafa ya Kirumi na alizungumza kwa ufahari kwa kuwa na uraia wa Roman.

Imani yake ilikuwa ni kuwa wasio-Wayahudi walioingia Ukristo wasibebeshwe mzigo wa Torati kwa hali yoyote ile.

Mtunzi wa Matendo 13:39 anamnukuu Paulo akisema,

“Na kwa yeye kila amwaminiye huhesabiwa haki katika mambo yale yote asiyoweza kuhesabiwa haki kwa Torati ya Musa.”

Kimsingi ilikuwa ni kwa kupitia juhudi za Paulo ndipo kanisa lilipoanza kufuata mkondo wa tabia za wasio-Wayahudi.

Paulo ameandika barua (nyaraka), nyingi za Agano Jipya zinazokubaliwa na kanisa zikiwa ni kama mafundisho rasmi ya kiitikadi na Kitabu kilichofunuliwa.

Nyaraka hizo hazikuilinda Injili ya Yesu wala hata kuiwakilisha; badala yake yamegeuza mafundisho ya Kristo kuwa ya falsafa ya Kihelleniki (Graeco-Roman).

Differences of the Ministries of Jesus and Paul
Jesus:Paul:
1. Preached the gospel of the kingdom1. Preached the gospel of the grace of God
2. Defined the “kingdom of heaven” as Israel’s prophetic earthly kingdom2. Defined the “kingdom of heaven” as the heavenly position of the body of Christ
3. Presented Himself as the Messiah and King of the Jews (Israel)3. Presented Jesus as the risen Lord, Head of the Church, the body of Christ
4. Preached repentance, water baptism, keeping the Law, forgiving others, and faith in who He was as necessary for salvation4. Preached faith alone in the death, burial, and resurrection of Christ as necessary for salvation
5. Had Jews as His audience (a couple exceptions)5. Had Gentiles as his primary audience
6. Operated under the Mosaic Law6. Operated under grace
 
Waislamu wengi nigeria wapo kaskazini ambako kuna shida sana na ndo eneo maskini sana.
Matajiri wa nigeria asilimia kubwa ni wakristo.
Japo dangote ni muislamu
Kaangalie hiyo list na utajiri wao na urudi tena hapa.
Kwa kuanzia
1. ALIKO DANGOTE - Muslim
2. ABDUL RABIU - Muslim
hao ndio top kwa Nigeria unaweza taja wewe matajiri wanaofuatia mpaka namba 20 na uweke Dini zao hapo.
 
Ni KWELI kwenye Biblia hakuna mahali walipoandika uislam kuwa ni dini. Ila Kuna mahali wameandika Yesu ndiye njia KWELI na Uzima mtu hauwezi kwenda peponi bila kumwamini na kumfuata Yesu.

Buhari ametumia miaka yote serkalini kujaribu kuifanya nchi ya nigeria iwe na utamaduni wa mashariki ya kati.

Nigeria inafanya uchaguzi hivi karibuni na kwa makusudi amempa mwislamu mwenzake amrithi ili kukamilisha mpango wao mchafu wa muda mrefu.

Ikumbukwe lile kundi la kigaidi la boko haram linalapigania dini linaungwa mkono na wanasiasa na wanasiasa wanaonyoshewa mkono ni huyu buhari.

Ndio maana alipoingia madarakani boko haram ni km walufutika ila wakati yupo mtangulizi wake Jonathan, Boko Haram ilikaribia kuangusha serikali, wanasiasa hawa wanapokea mapesa kutoka iran na nchi nyingine za kiislam kuwaumiza wasio wasio Waislam.

Kule nigeria kuna majinmbo yenye waislam wengi haya majimbo wakristo wanateswa na kuchinjwa nyumba zao za ibada zinachomwa moto na boko haram ila bwana buhari ni kama haoni.

Hii imepelekea Rais mstaafu wa nchi hiyo olusagani obasanjo kujitenga na huyu mharibifu wa nchi buhari na kuzusha uhasama kati yao.

Huu ni mwanzo tu wa kuanguka kwa nchi ya Nigeria
Nchi ya Nigeria imepasuka na itaendelea kupasuka.
Kwa uandishi wako huu inaonyesha wewe ndio mdini.
 
Buhari ni mdini peter hawezi kushinda,buhari amepandikiza udini mbaya sana ndio maana anashutumiwa kufadhili boko haram
Huyu mgombea Urais anaeitwa PETER ndie anachukua nchi awamu hii huko Nigeria
 
Acha kukariri madesa ya chuo

Nigeria ni nchi na buhari amekuja kuingamiza
Nigeria was never meant to be a country, Nigeria started off as a British company . To understand Nigeria you need to know where it came from.

My point of view ...
Nigeria is still under British rule,Nigeria will never be stable
 
Hao binadamu wanamatatizo ya wenyewe kwa wenyewe mengi sana...
 
Yesu alisema:

1. Katika njia ya Mataifa msiende. (Mathayo 10:5). Lakini Paulo akafundisha:

A. Nimekabidhiwa Injili ya wasiotahiriwa. (Wagalatia 2:7, maandishi ya Paulo).

B. Amewafungulia mataifa mlango wa imani. (Matendo ya Mitume 14:27).

Yesu alisema:

2 Msidhani kuwa nalikuja kuitangua Torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya Torati haitaondoka, hata yote yatimie. Basi mtu yeyote atakayevunja amri moja katika hizi zilizo ndogo, na kuwafundisha watu hivyo, ataitwa mdogo kabisa katika ufalme wa mbinguni; bali mtu atayezitenda na kuzifundisha , huyo ataitwa mkubwa katika ufalme wa mbinguni. Maana nawaambia ya kwamba, Haki yenu isipozidi hiyo haki ya waandishi na Mafarisayo, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni. (Mathayo 5:17-20).

Lakini Paulo anasema:

Sheria ni laana. (Wagalatia 2:16-21, 3:10-13). Warumi 7: yote).

3. Bwana Yesu alisema: Msichukuwe dhahabu, wala fedha, wala mapesa mifukoni mwenu: (Mathayo 10:9)

4 Hivyo Wakristo wale ambao wanakusanya mali ni Madajjali (AntiChrist).

5. Bwana Yesu alisema:

Lakini mimi nawaambia msishindane na mtu mwovu; lakini mtu akupigaye shavu la kuume mgeuzie na la pili. Na mtu atakaye kukushitaki na kuitwaa kanzu yako, mwachie na joho pia. (Mathayo 5:39-40).

Hivyo Wakristo wale ambao wanagombana ni Madajjal (Ant Christ).

6. Yesu pia alikataza kuitwa Kristo: Ndipo alipowakataza wanafunzi wake wasimwambie mtu yeyote kwamba yeye ndiye Kristo. (Mathayo 16:20). Hivyo Wakristo ambao wanatangaza kwamba Yesu ndiye Kristo ni Madajjal (Ant Christ).

7. Kwa maana nalikuja kumfitini mtu na babaye, na binti na mamaye, na mkwe na mkwe mtu. (Mathayo 10:35, Luka 14:26, 12:51, 5:2)

Hivyo Wakristo ambao wanapenda amani wala hawatumii upanga ni Madajjal (Anti Christ)

Acha upotoshaji
 
Umepatia , zawadi yako hii

SWALI: Je! Bwana Yesu alitumwa kwa Waisraeli tu peke yao au kwa watu wote wa mataifa..Maana yeye mwenyewe alisema katika Mathayo 10:5, kwamba wasihubiri kwa watu wa Mataifa.

JIBU: Tusome..

Mathayo 10:5 “Hao Thenashara Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, Katika njia ya Mataifa msiende, wala katika mji wo wote wa Wasamaria msiingie.

6 Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli”

Mt 15:24 SUV
Akajibu, akasema, Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli
Asante. Naomba usome Mathayo hiyo hiyo 22:1-14.

Halafu nisaidie hapo Yesu alikuwa na maana gani? Au alikuwa anazungumza kuhusu Nini? Kumbuka kwenye Biblia hakuna kukariri huku ni ufahamu wa kiroho zaidi.

Halafu Soma Yohana Mt. 1:10-14.

Alikuwako ulimwenguni hata kwa yeye ulimwengu ukipata kuwako, Wala ulimwengu haukumtambua. Alikuja kwake Wala waliowake hawakumpokea. Bali wate waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu.(Endele)

Je unaelewa Nini juu ya mistari hiyo hapo juu??? Kumbuka huku hatukariri baba.
 
Unataka kuniambia kuwa hizi aya ni uwongo au bwana yesu hakusema maneno haya ???

Yohana 1 :10-14

10 Neno alikuwepo ulimwenguni, lakini japokuwa aliumba ulimwengu, watu wa ulimwengu hawakumtambua! 11 Alikuja nyumbani kwake, lakini watu wake hawakumpokea! 12 Bali wote waliompokea na kumwamini aliwapa haki ya kufanywa watoto wa Mungu. 13 Hawa hawakuwa watoto wa Mungu kwa kuzaliwa kwa njia ya asili, wala kwa mapenzi au mipango ya watu bali wamezaliwa na Mungu mwenyewe.

14 Neno akawa mwanadamu akaishi kati yetu akiwa amejaa utu kufu na kweli. Tuliona utukufu wake, utukufu wa Mwana pekee wa Baba.

Hayo si maneno ya Bwana Yesu

Unamjua huyo anayesema maneno hayo ????
 
Asante. Naomba usome Mathayo hiyo hiyo 22:1-14.

Halafu nisaidie hapo Yesu alikuwa na maana gani? Au alikuwa anazungumza kuhusu Nini? Kumbuka kwenye Biblia hakuna kukariri huku ni ufahamu wa kiroho zaidi.

Halafu Soma Yohana Mt. 1:10-14.

Alikuwako ulimwenguni hata kwa yeye ulimwengu ukipata kuwako, Wala ulimwengu haukumtambua. Alikuja kwake Wala waliowake hawakumpokea. Bali wate waliompokea aliwapa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu.(Endele)

Je unaelewa Nini juu ya mistari hiyo hapo juu??? Kumbuka huku hatukariri baba.

Mwenyewe Bwana yesu alijua mipaka ya utume wake.

Kwa hiyo alisema:

1. Sikutumwa ila kwa kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli. (Mathayo 15:24).

2. Wakati mwanamke mmoja asiyekuwa mwana wa Israeli alipokuja kwa Yesu Kristo kuomba baraka zake, Yesu akakataa na zaidi ya kukataa aliwatusi wasiokuwa Waisraeli. “Akasema si vyema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia m’mbwa.” (Mathayo 15:26, Marko 7:27).

3. Hao thenashara (kumi na mbili) Yesu aliwatuma, akawaagiza, akisema, katika njia ya mataifa msiende, wala katika mji wowote wa Wasamaria msiingie. Afadhali shikeni njia kuwaendea kondoo waliopotea wa nyumba ya Israeli.
(Mathayo 10:5-6).

4. Baadhi ya Wakristo mnadhani kwamba wakati Waisraeli wote wamefikishiwa ujumbe, kisha makabila mengine pia yahubiriwe.
Lakini dhana hii si sahihi bali ni kinyume cha mafundisho ya Bwana Yesu.

Yeye amesema kwamba:

“Lakini watakapo wafukuza katika mji huu, kimbilieni mwingine; kwa maana ni kweli nawambia, hamtaimaliza miji ya Israeli hata ajapo mwana wa Adamu. (Mathayo 10:23).

5. Bwana Petro mwanafunzi wa Yesu Kristo aliwahubiri wasiokuwa Waisraeli. Wanafunzi wengine, baada ya kupata habari hii walimpinga Bwana Petro kwa kosa lake. Biblia inasema kwamba:

“Basi mitume na ndugu waliokuwako katika Uyahudi wakapata habari ya kwamba watu wa mataifa nao wamelipokea neno la Mungu. Na Petro alipopanda kwenda Yerusalemu, wale walio wa tohara wakashindana naye, wakisema, uliingia kwa watu wasiotahiriwa ukala nao. “ (Matendo 11:1-3).

6. Aya za Biblia zifuatazo zinaeleza kwamba Bwana Yesu alikuwa mfalme na mtawala wa Mayahudi. (Mathayo 2:6, 27:29, 27:42, Yohana 1:49. 7.

Bwana Paulo ambaye ni mpinzani na mhalifu (anti Christ) wa Bwana Yesu, baada ya kuchukia alianza mahubiri nje ya Wasiraeli.

Biblia inasema kwamba:

“Hata Sila na Timotheo walipoteremka kutoka Makedonia, Paulo akasongwa sana na bila neno, aliwashuhudia Wayahudi ya kwamba Yesu ni Kristo ,walipopingana naye na kumtukana Mungu akakung'uta mavazi yake, akawaambia, damu yenu na iwe juu ya vichwa vyenu, mimi ni safi; tangu sasa ninakwenda kwa watu wa mataifa. (Matendo 18:5-6).

Baadhi ya Wakristo mnayo shauku ya kugonganisha aya za Biblia. mnasema kwamba Bwana Yesu aliagiza kwamba

“Basi enendeni, mkawafanye mataifa yote kuwa wanafunzi.” (Mathayo 28:19).

1. Najibu kwamba aya hii inapinga maagizo yote ya Bwana Yesu yaliyotajwa juu. Kwahiyo haiwezi kuwa agizo la Yesu wala aya ya Injili.

2. Ya pili aya hii imeandikwa mwishoni mwa Injili ya Mathayo, na nitathibitisha baadaye kidogo kwamba aya za mwanzo na za mwisho za kila kitabu ni za kuongezwa baadaye. Aya zile siyo aya sahihi za Biblia.

3. Ya tatu katika aya 28:19 ya Mathayo neno mataifa limetumika kwa maana ya mataifa ya Israeli.
Kama Biblia inavyosema kwamba:

“Siku zile amri ilitoka kwa Kaisari Augusto ya kwamba iandikwe orodha ya majina ya watu wote wa ulimwengu. (Luka 2:1).

Kaisari Augusto alikuwa mtawala wa Roma tu. Hakuwa na mamlaka yoyote nje ya nchi yake juu ya ulimwengu.

Katika aya hii amri iliyotolewa kwa ajili ya ulimwengu na ya nchi ya Roma tu iliyokuwa chini ya utawala wa Kaisari wala siyo ulimwengu wote.

Hivyo ndivyo inavyoeleweka kauli ya Bwana Yesu aliposema: “Enendeni mkawafanye mataifa yote (ya Waisraeli) kuwa wanafunzi. (Mathayo 28:19).
 
Back
Top Bottom