CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
We jamaa huna akili marais Wa kuchaguliwa wa NIGERIA ni wanne tu kama ndio hivyo.Acha ujinga na upumbavu. Unataja watu waliochukua nchi kwa mapinduzi ya kijeshi! Wanajeshi wanapopindua huwa wanazingatia hilo!? Weka "CARD" ili network isome.
1. OBASANJO
2. OMAR YAR'DUA (Alifia madarakani Makamu wake G. JONATHAN akamalizia muhula)
3. G. JONATHAN na hii ni kutokana na NGUVU ya mamlaka aliyoachiwa na YAR'DUA na ulipofika uchaguzi wa kipindi chake cha pili alipigwa CHINI.
4. MUHAMMADU BUHARI
Huyu mpaka ni mwaka wa 8 ndio anamaliza muda wake mwaka huu.
Kwa nilivyoona mwaka jana tu hapo, P. OBI anapendwa na vijana hasa hawa wa mitandaoni, akisaidiwa zaidi na watu kama P SQUARE kwenye kampeni zake na hii ni kutokana na kutoka kabila moja la IGBO.
Kwa hali ya NIGERIA na kwa siasa zao, nampa nafasi BABU TINUBU au ATIKU ABUBAKAR.
We jamaa ni kilaza, na hakuna huo utaratibu wa kupokeza eti akitoka muislam basi aje mkristo, ingekuwa hivyo WAGOMBEA WOTE WA URAIS WANGEKUWA WAKRISTO NA WAGOMBEA WENZA WAO WANGEKUWA WAISLAM.