JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Nasikia Uhuru wa kuabudu dini tofauti na Uislamu kwa baadhi ya nchi za Kiislamu haupo. Ukibadili dini ni kama umejitangazia kifo.Kwani Italy ni nchi ya kikristo? Kueneza kwa nguvu maana yake ndiyo nini? Hao wazungu wanaosilimu huko ulaya wanakuwa wameshikiwa mapanga?
Tatizo hii dini yenu imejaa unafiki mnachosema sio mnachokiaminisha.
View attachment 2525793