Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Hao wenyewe mnaowaita mitume na manabii walikua wanawalazimisha watu kwa nguvu kuamini mapokeo yao.Kwa mfano dini za kikirsto na kiislamu ukiwa mfuasi hautakiwi kuhoji na ukihoji wanasema unafanya kufuru.Kwa pande zote zilikuwa zinalazimishwa. Kuna nyingine kuhusu "Spain Inquistion" ulitendeka umafia kwa waislamu na wayahudi.
Pia, kuna mgogoro mkubwa kati ya "Catholics" na "Protestants" ndani ya North Ireland hadi leo. Taarifa hizi huwa haziwekwi kwenye vichwa vya habari vikubwa.