Ningeomba aanze na TZ kabla ya ColumbiaTrump akimaliza operation ya Colombia aje amalizie tz
Iko kwenye international forum mkuuMbona hii mada umeileta huku jukwaa la kilimo na ufugaji??
Au rais wa Colombia ni mboga mboga?
Na yule wa Panama , Manuel Noriega alisemaga hivyo hivyo wakamnyakua, Duh! Uraisi wa hizio Nchi lazima ulinde mslahi ya USA.Rais wa Colombia Gustavo Petro ameapa kuitetea nchi yake dhidi ya kile alichokiita vitisho kutoka kwa Rais wa Marekani Donald Trump.
Kupitia mtandao wa kijamii, Petro, ambae aliwahi kuwa mpiganaji wa msitumi, ameionya Marekani dhidi ya hatua yoyote ya ukiukaji kwa Colombia, inayofanana na ile iliyofanywa Venezuela mwishoni mwa juma.
Hii inafuatia kauli ya mwishoni mwa juma ya Trump kwamba anaweza kuchukua hatua kama ya Venezuala.