Marekani na Yuropa wakisikia hivi, lazima warejeshe hela walizosusa kuzitoa.Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
sisi ni wajamaa lazima tushirikiane na wajamaa wenzetu.Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
Kwani viongozi wakuu WA nchi hii China wameanza kwenda Leo? Rais wao alianza kuzuru nchi gani hapa Africa? Wachina wana mikataba mingapi na sisi? Hivi kwanini watanzania tuna uwezo mdogo/finyu/duni Sana WA reasoning kiasi hiki?Marekani na Yuropa wakisikia hivi, lazima warejeshe hela walizosusa kuzitoa.
Hawatakubali kuona mchina anapata influence kubwa namna hii ukanda huu.
Na ukitaka kupata influence kwa masikini, we mwaga mihela, utapendwajeee
Tanzania ni nchi ya kijamaa kumbe?sisi ni wajamaa lazima tushirikiane na wajamaa wenzetu.
ok,.. naona ile MCC kutunyima hela wachina wataziba pengo.Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
Tanzania ni nchi ya kijamaa kumbe?
Ya heshima inafuta ile original aliyonayo?Akishapewa shahada ya heshima ya kichina, basi tena, atakuwa fake kama bidhaa za kichina. Yale yale
Inapumbaza na kukufanya usiwakatalie lolote watakalokwambia.Ya heshima inafuta ile original aliyonayo?
Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
thanks for your ideasInafaa, ni vyema.
All in all, safari zake ziwe na tija kwa maendeleo ya Taifa letu...
Mungu amtangulie, arudi salama na aje kupambana na matatzo tuliyonayo.... Hasa ufisadi...