nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
vipi atahutubia kwa kiswahili?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment kama mtu aliyeenda shule..
Acha unazi, hili ni jambo serious, kufanikiwa kwake wewe, kama umeoa / kuolewa + Wazazi wako watanufaika pia.... Comment kwa kutumia kichwa / akili
Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
***Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
Bado kuna makubaliano ya ushirikiano ya kusaini baada ya yale tuliyosaini katika utawala uliopita? Au yale yatafutwa!Kwa mujibu wa duru muhim ndani ya Wizara ya Mambo ya Nje, Mheshimiwa Rais anatarajiwa kufanya ziara rasmi nchini China baadae mwezi huu.
Katika ziara hiyo Pamoja na matukio mengine Mhe Raisi atashiriki mazungumzo na kusaini makubaliano mbalimbali juu ushirikiano wa China na Tanzania katika nyanja mbalimbali za kiuchumi, kijamii na kisiasa.
Kadhalika Mheshimiwa atatunukiwa Shahada ya juu ya heshma toka chuo kikuu kimojawapo mashuhuri Jijini Beijing.
Mkuu kwa serikali hii mikataba itafika hadi chumbani kwako na utapata muda mzuri wa kuijadili na mwenza wako mkipenda mtajadili mkiwa mmelala,mmekaa,mmesimama,n.k. Mshindwe nyie tu.Tunataka mikataba ya uwazi na ipelekwe Bungeni
ok,.. naona ile MCC kutunyima hela wachina wataziba pengo.
yes hii kitu ndio tunasubiriAtuletee ma trekta tulime...na sio yale ma powertiller
...Haswaaaa!Akitoka huko apitie na Japan ili tuboreshe barabara za majiji hususan kujenga njia za juu na ikiwezekana Uwanja wa Ndege wa Mwanza
Binafsi naunga mkono sana kwa ziara hii ya China kwenda kuweka mambo sawa ikiwamo mikataba tata ya Bandari ya Bagamoyo (kama ni kweli) laikini pia kutafuta fedha kufufua TAZARA na kujenga reli ya Kati ya SG.
Akitoka huko apitie na Japan ili tuboreshe barabara za majiji hususan kujenga njia za juu na ikiwezekana Uwanja wa Ndege wa Mwanza
...Unaongelea kampuni la kiChina au China, ambayo ni nchi. Kuna tofauti kubwa hapo!China kuanzia mwaka jana uchumi wao siyo mzuri. Wameshindwa kuendeleza miradi ya Liganga na mchuchuma kutokana na kukosa hela. Serikali inafikiria kuinyang'anya miradi hiyo kutoka kwa wachina ili itangazwe upya, na makampuni yenye uwezo hasa toka Ulaya yaweze kuendeleza miradi hiyo mikubwa kwa manufaa ya Taifa.
Marekani na Yuropa wakisikia hivi, lazima warejeshe hela walizosusa kuzitoa.
Hawatakubali kuona mchina anapata influence kubwa namna hii ukanda huu.
Na ukitaka kupata influence kwa masikini, we mwaga mihela, utapendwajeee