Nguvu ya Ajabu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 546
- 451
Mkuu hii ni soverign state. Hii sio NGO ambayo kila siku mnawaza misaada. Hapa kuna zaid ya misaada. Sasa hivi impot kubwa ya nchi inatoka china. Wafanyabiashara wengi wanaagiza bidhaa kutoka china ikiwemo Marekani. Kwa hiyo kwenda china na kuimarisha uhusiano na china ni faida kubwa kwa nchi. Kule kuna mpaka wafagizi wa hotel kutoka tz. Sio sawa na Marekani. Hakuna mtanzania anaeweza kuagiza bidhaa kutoka Marekani.This is very Pathetic.
Misaada including ya MCC imezuiliwa with a very Clear reason,uchaguzi wa Zenj na Cyber crime act.
Sasa Magu kwenda China ndio Solutions za hizo items mbili zitakuwa zimepatikana na Fedha za MCC kuachiliwa.
Think Big Mkuu.
Nimekudharau sana na ule uzi wako wa Makonda na Omba Omba.
That show your thinking Capacity
Halafu wale jamaa wa MCC walisha suspend misaada yao. Kwa hiyo sio muhimu kwa sasa. Mambo yote muhimu yakishafanyiwa kazi ndo unaanza ku deal na hao MCC tuone kama wanaweza kurudisha misaada yao au ni porojo zao tu.
Ukiwa na majeruh na mtu mzima halafu na marehem. Unaanza kwanza ku deal na mtu mzima then majeruhi halafu wa mwisho ni marehem.