Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Zitto kamaliza kazi yake anaingia bungeni kama mbunge wa kuteuliwa na Rais.
 
Kuna wale masikio ya kufa hayasikii dawa.
 
Sasa kama mlikuwa hamataki kuteseka, kwanini kuwasumbua ccm wakati wanawapa raha?
Kwani sheikh kama wewe uko jela utagoma kula au utajinyonga? Au utapokea chakula na kuvuta muda mbele?
 
Lazima tutazame priority ziko wapi, kwa sasa kugoma au kuandamana haina tija yoyote. Ni kheri kuelekeza nguvu za wazanzibari kwenye umoja na kusonga mbele ivo ivo hata kama wengine wamekatika miguu au kupoteza maisha.

Sioni ulazima wa watu wetu kuteseka kwa miaka 5 bila ya sababu za msingi. Kwa mtazamo wangu mfupi naona kujiunga kunaleta uwezekeno wa kuja na suluhusho za kidiplomasia. The best would be mapanga ya 72, lakini kwa bahati mbaya hayapo.
 
Wawili hawa nawajua vyema sana. Mmoja ni kaka yangu na mmoja ni kama mtoto wangu. Maalim Seif Sharrif Hamad nilimkuta UDSM. Akaniacha miaka kadhaa pale yeye akimaliza mapema. Maalim, kama ilivyokuwa kwangu na kwa Zitto, alikula shavu la kiserikali mara tu baada ya kumaliza Chuo Kikuu. Taratibu tamu kama zabibu zilikamilishwa wakati wa masomo yetu. Na si sisi tu, wengi tu nawajua na wamepita njia hizo.

Kuanzia hapo kwenye kula shavu la kiserikali, Maalim Seif na Zitto hawakuwahi na hawatakuwa wapinzani. Hawana tofauti yoyote na mtani wangu Benard Membe. Kila walifanyalo kwenye maigizo na mwamvuli wa upinzani ni ubatili mtupu. Hivi hamzioni tofauti zao na wengineo? Maalim Seif alikuwa Waziri Kiongozi kule Visiwani na Makamu wa Pili wa Rais. Amerejea tena kwenye Umakamu. Kwanini yeye tu? Yeye ni mtiifu kwa mfumo.

Mnajua kwanini Zitto, pamoja na kutishia na kutangaza mara kwa mara akiwa CHADEMA, hagombei Urais? Hataki kujiharibia. Hataki kugombana na wazazi na walezi wake. Ndiyo maana anajiweka mbali na Urais na kuzuga kama vile anamuunga mkono mgombea mwingine wa upinzani. Nchi ina mambo sana hii. Kitendo cha Zitto na Maalim Seif kukubali kuingia kwenye Serikali ya Umoja wa Kitaifa kule Zanzibar, kwangu mimi, hakinishangazi. Nawajua nje ndani hawakuwahi kuwa wapinzani.

Mwaka 2020 hakukuwa na uchaguzi, kulikuwa na uchafuzi!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
Kwa hiyo Maalim yuko jela? Huu mfano ni irrelevant.
Tuko kwenye ukoloni mweusi wa Tanganyika ambao sioni tofuati na kuwa jela, naona mzee akili yako imechoka kufikiri au?
 
Bora kama umejifunza hilo,vijana wengi mishipa huwa inawavimba humu bila sababu ya msingi......wanapiga miayo wakati wanaowapigania wanakula keki ya taifa....
Wanasiasa nimewavulia kofia leo! Siku nyingine mkipigana siamulii. Nitakamata jembe na kuelekea shambani. Ningefanya hili wakati wa kampeni, leo hii labda ningekuwa navuna.
 
Mbona hukutuambia haya kabla
Asingeweza kumjaji mtu bila kuthibitisha

Yeye anasema anawajua na kwa matokeo na hali ilivyo leo ndio anasema
Maana tayari mambo yote aliyoyaona yamedhihiri!
 
Tuko kwenye ukoloni mweusi wa Tanganyika ambao sioni tofuati na kuwa jela, naona mzee akili yako imechoka kufikiri au ?

Duuu, huo mstari wako wa mwisho nilijua ndio itakuwa hitimisho lako. Kazi kweli kweli.
 
NILIWAHIBKUSEMA VIJANA WA UPINZANI WENGI NI MBOGA SABA WAMEVIMBIWA MAPIZZA NA MABUGGER πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ HALAFU WANAKAA. KWENYE KIBORD WANADAI DEMOCRACY HAHAH HAYA SASA SEIF RAIS HUKO MDEEE MBUNGE HUKO SWALII ......HIYO ICC INANAHUKUMU NANI NA NINI

ASANTE SANA CCM TUPIGE KAZI UPINZANI UPO ASILIMIA 2% TENA MTANDAON
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…