Rais Dkt. Mwinyi amteua Maalim Seif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

Haahaa Raha ya wanasiasa vyeo ili wale kuku kwa mrija.Polepole alipatia kwamba maalim seif no miongoni mwa wanasiasa wanakipenda Sana ving'ora na itifaki nimeamini
 
hv wale wabunge wa ACT kutoka zanzibar walienda kuapishwa au wamesusa wakati maalim seif kaenda kula maisha.

akili ya kuambiwa changanya na yako
 
Kibaraka wa wakoloni weusi naona amefika kushangilia ushindi .
 
Usaliti alioufanya Zitto Kabwe ,Maalim Seif na Act Wazalendo sio haba wameamua kujipoteza kwenye siasa Kama Lipumba .
 
Sory mkuu kati ya hao huyo seif ndio yupi[emoji134]
 
Upinzani haupotei Zanzibar kwa ACT kujiunga na SUK. Tokea siku ile Nyerere alipoanza umbea na wizi wa kumega rasili mali za Zanzibar. Mpaka hili lirekebishike ndio upinzani utarudi kwenye level ya normal.

Wacha wajiunge wananchi wapate afueni ya kubakwa na kuteswa na vyombo vya ulinzi vya kitanganyika. Sasa watanganyika na majeshi yao watafute njia nyengine za kufyatua risasi, hii ya siasa ishaondoka kwa miaka 5 ijayo! Hongera sana ACT hapa nadhani mumeleta ukomavu wa hali ya juu sana.
 
Maalim anafuatwa na ile laana ya A Jumbe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…