Natamani amwite rostam amwambie kuwa watanzania hawajapendezwa na uamuzi wake wa kujenga kiwanda cha gesi mombasa ya Kenya! Ule uzalendo anaouhubiri uwe kwa wote na siyo kwa watu wa chini.
Na wabunge waamke kuliona hili kama usaliti wa nchi inayopambana kujijenga kiuchumi. Na ikiwapendeza wamnyang'anye mradi wa gesi ili anayetaka kuwekeza huko alazimishwe kujenga kiwanda ndani ya tanzania ili mapato yanayopatikana yasaidie kutoa ajira kwa wananchi wetu. Na kinyume na haya ni kuhubiri uzalendo uchwara usio na tija!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.