Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Mashine ya kuchakata pumba!Sijasikia KAULI yake yoyote ILA Nimesikia yule MBUNGE wa Tatu kuwa na elimu Ndogo Bungeni akilindima.
JE raia ameisha KUJUA Hana mvuto tena so anaogopa KUONGEA mbele ya HADHARA?
Aisee Hipoppotumus ni zaidi ya machine ya kuchakata pumba.Mashine ya kuchakata pumba!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu.Ni nani huyo?
Yeye mwenyewe hajiheshimu nnai atamuheshimuHebu mweshimuni mama wa watu
Kutoongea na hadhara ni mradi wa kimkakati.Sijasikia KAULI yake yoyote ILA Nimesikia yule MBUNGE wa Tatu kuwa na elimu Ndogo Bungeni akilindima.
JE raia ameisha KUJUA Hana mvuto tena so anaogopa KUONGEA mbele ya HADHARA?
Yes. Hipoppotumus kajigeuza na kulazimisha kuwa Rais na amiri jeshi mkuu.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na amiri jeshi mkuu.
CCM hovyo.Sijasikia KAULI yake yoyote ILA Nimesikia yule MBUNGE wa Tatu kuwa na elimu Ndogo Bungeni akilindima.
JE raia ameisha KUJUA Hana mvuto tena so anaogopa KUONGEA mbele ya HADHARA?
Hana mvuto kwa nani, kwako auSijasikia KAULI yake yoyote ILA Nimesikia yule MBUNGE wa Tatu kuwa na elimu Ndogo Bungeni akilindima.
JE raia ameisha KUJUA Hana mvuto tena so anaogopa KUONGEA mbele ya HADHARA?