Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ahudhuria Ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa Jukwaa la Uchumi Duniani, Davos, nchini Uswizi

Muisiharamu youote ana amini mabeberu ni miungu kwao
Yesu hakuacha walau mguu wa stuli alizokua anachonga pale galilaya,walau wakuchokonolee kwenye tundu linalokuwasha,utatibu muwasho maana huo mguu utakua na upako!!
 
Kweli matatizo ya Tanzania hayajulikani mpaka yakajadiliwe uswisi?
Na wewe unajiona umetoa bonge la comment! Nyie ndo vijana au wazee ambao hawataki kuchangamana na wenzenu kubadilishana mawazo ya kifikra. Kwahiyo ulitaka yajadiliwe wapi?? Kwani ambavyo yalipokuwa yakijadiliwa hapa Tanzania yaliisha? Matatizo yapo na yataendelea kuwepo, acheni mama afanye kazi yake
 
Watu wana rematism kali hata ac inawasumbua, lakini wakisikia mkutano wa uswis na baridi yote!! Wapi,,, wamooo !! Tuionee huruma miili yetu.
 
Kweli matatizo ya Tanzania hayajulikani mpaka yakajadiliwe uswisi?
Si ya Tanzania tu bali ya Afrika nzima, kama sehemu kubwa ya bajeti yetu(this is since independence) pesa zinatoka huko lazima tuwashawishi ili waendelee kutuwezesha.
Ndiyo Afrika hiyo.
 
Kama jk hawezi kuacha kwenda huko akifikiri nchi inaweza kuendelea kwa kuombaomba. Hizo gathering hazina tija zimeundwa kuifadishia uswizi na nchi tajiri.
Kikweli aliendaga wakati fulani akaishia kuomba na kupewa vyandarua tu.
Wakaja wawekeza na kudanganya watu wakituona wajinga eti kuna dawa inawekwa vyandarua mbu akigusa anakufa hapohapo. Mimi binafsi sikuwahi ona mbu aliyegusa chandarua akafa hata siku moja. Mbaya zaidi wakaendelea kutudanganya eti hiyo dawa ina nguvu yakuua mbu kwa miaka mitano.
Inaudhi sana maana ni yaleyale ya kutuona waafrika wajinga tunasainishwa mikataba hatujui kusoma.
 
Ni kwa namna gani sisi kama taifa tunaweza nufaika na hiyo safari yake huko uswizi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…