mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,401
Kokolo la matajiri na waalikwa maskiniPicha mbalimbali za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali kwenye ufunguzi wa Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (World Economic Forum) uliofanyika katika Ukumbi wa Congress, Davos nchini Uswizi Januari 17, 2023.
View attachment 2484857
View attachment 2484858
View attachment 2484863