Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake wa usalama iwapo aishambulie Iran kijeshi

Rais Donald Trump aliwauliza washauri wake wa usalama iwapo aishambulie Iran kijeshi

Hizo source nimesha kuwekea hapo kama hauridhiki na maelezo yangu nenda kwenye mitandao yao utazikuta usome ujiridhishe.
Maelezo yako?,Ulichokisoma hakina link??
 
Kwa hiyo interests hizo una ziona ndogo sio?
Hivi unadhani USA akiishambuli Iran washirika wa Marekani katika eneo hilo watabaki salama kweli?
Ukweli ni kwamba kama marekani anamshambulia Iran basi achague moja apige kweli au amfinye ile kutaka kuondoa mazoea

Ilivyo ni kama iran amemkaba koo saudia, the moment anapigwa na marekani basi naye iran anampiga saudia.
 
Ila mkuu Trump saa nyingine hazimtoshi sasa kakaa madarakani miaka nne alikuwa ana subili nn kuchukua hatua? au ali taka kumuachia Baiden kizaazaa?
Duuh maana washauri wake wasinge muwahi na akafanikiwa kutimiza alichokuwa amekusudia mashariki ya kati pangewaka moto sio wa dunia hii aise.
Na ukijaribu kuona maadui wa Marekani wameimarika zaidi chini ya uongozi wa Trump.
Ndo tabia za Marekani kuachiana misala. Rejea vyura wa pwani waliomwua JF Kennedy
 
Lakini kuna tetesi kuwa huenda Israel ikavishambulia vinu hivyo kama matokeo ya uchaguzi wa US yatampa ushindi Biden.Inapanga kuivishambulia kabla ya Biden kuchukua ofisi ya White House 20 jan 2021.
Hawawezi kuishambulia IRAN si US si ISRAEL wal yeyote labda waungane DUNIA nzima.
 
Maelezo yako?,Ulichokisoma hakina link??
Nimesha kuwekea source ya hiyo habari
Kwa hiyo ww kama una hisi nimejitungia ingia kwenye mitandao ya kijamii ya hizo source ukasome ili ujiridhishe.
 
Ushaambiwa shida ni interests za Marekani hapo Middle East, Iran hana ubavu kwa Marekani.
Sasa ni anajua iran atashambulia kambi za marekani, Qatar, UAE, Saudi arabia, Afaghnistan, Iran na pia Syria, kwahiyo cost ya mashambulizi ya Marekani nchini Iran, imezidiwa na hasara itakayopatikana.

Iran pale ni regional power sio ya kuendea pupa
 
Hizo source nimesha kuwekea hapo kama hauridhiki na maelezo yangu nenda kwenye mitandao yao utazikuta usome ujiridhishe.
Yaani kusema tu, source ni BBC, Aljazeera tayari ina sifa ya kuitwa source bila hata kuweka link,au video ya hiyo habari?
 
Yaani kusema tu,source ni BBC, Aljazeera tayari ina sifa ya kuitwa source bila hata kuweka link,au video ya hiyo habari??..
Hii ni habari nimejitungia.
Umerizika sasa?
 
Sasa ni anajua iran atashambulia kambi za marekani,qatar,UAE,saudi arabia,afaghnistan,irag na pia syria,, kwahiyo cost ya mashambulizi ya marekani nchini iran,,imezidiwa na hasara itakayopatikana,,
Iran pale ni regional power sio ya kuendea pupa
Inawezekana iwe hivyo, ingawaje itakuwa ni kujitafutia matatizo zaidi.
 
Back
Top Bottom