NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Maelezo yako?,Ulichokisoma hakina link??Hizo source nimesha kuwekea hapo kama hauridhiki na maelezo yangu nenda kwenye mitandao yao utazikuta usome ujiridhishe.
Ukweli ni kwamba kama marekani anamshambulia Iran basi achague moja apige kweli au amfinye ile kutaka kuondoa mazoeaKwa hiyo interests hizo una ziona ndogo sio?
Hivi unadhani USA akiishambuli Iran washirika wa Marekani katika eneo hilo watabaki salama kweli?
Ndo tabia za Marekani kuachiana misala. Rejea vyura wa pwani waliomwua JF KennedyIla mkuu Trump saa nyingine hazimtoshi sasa kakaa madarakani miaka nne alikuwa ana subili nn kuchukua hatua? au ali taka kumuachia Baiden kizaazaa?
Duuh maana washauri wake wasinge muwahi na akafanikiwa kutimiza alichokuwa amekusudia mashariki ya kati pangewaka moto sio wa dunia hii aise.
Na ukijaribu kuona maadui wa Marekani wameimarika zaidi chini ya uongozi wa Trump.
Hawawezi kuishambulia IRAN si US si ISRAEL wal yeyote labda waungane DUNIA nzima.Lakini kuna tetesi kuwa huenda Israel ikavishambulia vinu hivyo kama matokeo ya uchaguzi wa US yatampa ushindi Biden.Inapanga kuivishambulia kabla ya Biden kuchukua ofisi ya White House 20 jan 2021.
Sasa ni anajua iran atashambulia kambi za marekani, Qatar, UAE, Saudi arabia, Afaghnistan, Iran na pia Syria, kwahiyo cost ya mashambulizi ya Marekani nchini Iran, imezidiwa na hasara itakayopatikana.Ushaambiwa shida ni interests za Marekani hapo Middle East, Iran hana ubavu kwa Marekani.
Dah!...karibu sana mkuu.Hawawezi kuishambulia IRAN si US si ISRAEL wal yeyote labda waungane DUNIA nzima.
Amalizane na wataliban kwanzaAngevipiga aisee dunia ingekuwa na amani
Yaani kusema tu, source ni BBC, Aljazeera tayari ina sifa ya kuitwa source bila hata kuweka link,au video ya hiyo habari?Hizo source nimesha kuwekea hapo kama hauridhiki na maelezo yangu nenda kwenye mitandao yao utazikuta usome ujiridhishe.
well...Hii ni habari nimejitungia.
Umerizika sasa?
Inawezekana iwe hivyo, ingawaje itakuwa ni kujitafutia matatizo zaidi.Sasa ni anajua iran atashambulia kambi za marekani,qatar,UAE,saudi arabia,afaghnistan,irag na pia syria,, kwahiyo cost ya mashambulizi ya marekani nchini iran,,imezidiwa na hasara itakayopatikana,,
Iran pale ni regional power sio ya kuendea pupa
Wale walishazoea matatizo..Inawezekana iwe hivyo, ingawaje itakuwa ni kujitafutia matatizo zaidi.