Rais Dr. Hussein Mwinyi awasili Cuba kwa mkutano wa G77 na China

anamwakilisha nani? zanziba au tanganyika?
 
anamwakilisha nani? zanziba au tanganyika?
16 September 2023
Havana, Cuba

Picha: Rais Kagame na Rais Dr. Hussein Mwinyi ukumbini Havana, Cuba ambako wameungana na viongozi kutoka kote duniani kwa ajili ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa G77 + China
 
kwahiyo kidogo kidogo zanzibar inaanza kutangazwa kimataifa, na wao walikuwa wanalitaka sana hili kwamba mikutano ya kimataifa wawepo kama nchi. angekuwa rais mbara lingetokea hili au kwasabab nchi tumewapa wao pande zote mbili.
 
kwahiyo kidogo kidogo zanzibar inaanza kutangazwa kimataifa, na wao walikuwa wanalitaka sana hili kwamba mikutano ya kimataifa wawepo kama nchi. angekuwa rais mbara lingetokea hili au kwasabab nchi tumewapa wao pande zote mbili.

Nafikiri ni diplomasia ya kimkakati kwani Zanzibar ina historia ndefu ya mahusiano na wanamapinduzi wa Cuba kabla ya Tanganyika kutambulishwa ktk kundi la wanamapinduzi.

Hivyo 2023 Tanzania kutumia mahusiano hayo ya muda mrefu kati ya makomredi wa Zanzibar na wale wa Cuba ni mkakati mzuri kidiplomasia kuhakikisha mahusiano endelevu ya kihistoria yanadumu

Soma hapa :
Ali Sultan’s reputation had preceded him beyond the borders of Zanzibar. His international contacts included Che Guevara and Raul Castro, younger brother of Fidel, the Cuban revolutionary leader.

He (Comrade Ali Sultan almaarufu: Shetani )once told me of an incident when he hosted Che in Zanzibar in January 1965. Ali first met Che in Cuba in 1962 and then in Geneva in 1964 during the United Nations Conference on Trade and Development (UNCTAD) conference.

When the Argentinian paid a courtesy call at night on President Abeid Karume he found the president anxious, telling him that “your friend Ali Sultan” was plotting against his regime.

Luckily, during the day Che had quizzed Ali about the situation in Zanzibar and he detected no inkling from Ali’s side that he was opposed to Karume. Che duly assured the president of his judgment which placated Karume.

The following morning Che related the incident to Ali who believed that Che’s intervention probably saved his life.

In 1996 while in Cuba for the return of Che’s remains from Bolivia, Ali Sultan was asked by a film crew to reminisce about his time with Che. Ali could not contain himself. He broke down and the recording had to be aborted.

Ali Sultan (second right) in a group photo with the Latin American revolutionary Che Guevara (fourth left). PHOTO | COURTESY OF ALI SULTAN’S FAMILY
 
that is great, hata hivyo, hii haina afya kwa muktadha wa muungano, hapo unaiinua zaidi zenji ambayo imekuwa ikitafuta hiyo nafasi, ukija kujaribu kuinyima hiyo nafasi tena hapatatosha. ni sawa na mtoto anayependa sana pesa na umezoea kumpa, ukija kuacha kumpa hapatatosha na ndio njia ya kutafuta pesa ili akajitegemee mtaani. ukweli mchungu.
 
Siku zote pamoja na udini wako nakuonaga una ajili kidogo kumbe hamna kitu. Nyie vijana wa Leo n hasara Kwa Taifa.
 
16 September 2023
Havana, Cuba



Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato (Mb.) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Jamaica Mhe. Kamina John Smith walipokuta pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77+ China unaofanyika jijini Havana nchini Cuba tarehe 16 Septemba 2023

Naibu Waziri Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Stephen Byabato (Mb.) amekutana na kuzungumza na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara wa Jamaica Mhe. Kamina John Smith pembezoni mwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77+ China unaofanyika jijini Havana nchini Cuba.

Katika mazungumzo yao viongozi hao wameelezea kuridhishwa kwao na hali ya uhusiano wa kidiplomasia uliopo kati ya Tanzania na Jamaica na kuahidi kuendelea kushirikiana zaidi ili kuimarisha uhusiano huo.

Akizungumza katika kikao hicho Mhe. Byabato amemuelezea Mhe. Smith kuwa Tanzania inaridhishwa na uhusiano mzuri uliopo na kuongeza kuwa kuna haja ya kuhakikisha uhusiano huo wa kidplomasia unaimarishwa na kufikia hatua ya juu.

Amemuhakikishia utayari wa Serikali ya Tanzania kuanzisha Tume ya Kudumu ya Pamoja (JPC) na Jamaica katika maeneo yatakayozinufaisha pande zote mbili.

Pia amemuelezea nia ya Tanzania kupanua wigo wa maeneo ya ushirikiano na kuingiza sekta za uchumi wa buluu, biashara na uwekezaji.

Akizungumza katika kikao hicho Mhe. Smith alisema pamoja na uhusiano mzuri uliopo kati yake na Tanzania, Jamaica inaiomba Tanzania kuiunga mkono katika nafasi mbili inazogombea kimataifa katika Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia masuala ya Bahari (IMO) na Kamati ya Urithi wa Dunia iliyo chini ya UNESCO.

Source : ForeignTanzania at 11:03 PM
 

Kamandate Fidel Castro akijibu na kufafanua mambo mwaka 1959 alipohojiwa na kuzungumza kwa Kiingereza ktk interview hii mwanzo mwisho


View: https://m.youtube.com/watch?v=QC0lYdqQ4wA
 
Cuba Ni nyumbani
 
25 January 2024
Dar es Salaam, Tanzania

CUBA Y TANZANIA FIRMARON HOY DOS MEMORANDOS

View: https://m.youtube.com/watch?v=Dp3Zrw4xkgQ
Cuba y Tanzania firmaron hoy dos memorandos de entendimiento para el desarrollo de la agricultura y la certificación de medicamentos y equipos médicos, este último, entres las agencias reguladoras de ambas naciones. La rúbrica tuvo lugar en el contexto de la agenda oficial que desarrolla el vicepresidente cubano Salvador Valdés Mesa en la República Unida de Tanzania. Más información en www.canalcaribe.icrt.cu

Cuba and Tanzania signed today two memorandums of understanding for the development of agriculture and the certification of medicines and medical equipment, that will bind between the regulatory agencies of both nations. The signing took place in the context of the official agenda developed by Cuban Vice President Salvador Valdés Mesa in the United Republic of Tanzania
 
25 January 2024

Mashirikiano ya sekta ya kitabibu, wasifiwa kwa madaktari wa Cuba wanaofanya kazi Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=gqTakCwzBiw
Hayo yamedhihirika katika ziara ya makamu wa rais wa Cuba mheshimiwa Salvador Valdés Mesa nchini Tanzania wakati wakitoa mifano ya shughuli za kitabibu wanazofanya sehemu kadhaa ikiwemo Kibaha mkoani Pwani Tanzania.
 
25 January 2024
Dar es Salaam, Tanzania

Makamu wa rais wa Cuba Mh. Salvador Valdés Mesa nchini Tanzania mwezi January 2024

Inició vicepresidente de Cuba, Salvador Valdés visita oficial a Tanzania


View: https://m.youtube.com/watch?v=CAznWAhumPY
Ziara hiyo ya kihistoria ni muendelezo wa mashirikiano yaliyoanza miaka mingi iliyopita na kuthibitisha ukomavu wa urafiki wa nchi hizi mbili .. tangu ulipoasisiwa na Fidel Castro na Julius Nyerere ...

#Cuba y la República Unida de #Tanzania refuerzan sus históricas relaciones diplomáticas, con la llegada del Vicepresidente Salvador Valdés Mesa a esa nación africana, en visita oficial, este martes
 
VYUO VIKUU VYA HAVANA CUBA NA UDSM DAR ES SALAAM KUBADILISHANA WANAFUNZI NA WAHADHIRI


View: https://m.youtube.com/watch?v=p9J2AY5RqSA
Hiyo itasaidia kubadilishana uzoefu, utaalamu na pia lugha kwa wanafunzi na wahadhiri wa vyuo hivyo tajwa vya Universidad de la Habana na UDSM chuo kikuu cha Dar es Salam 8za nchi mbili rafiki , hilo limebainika katika ziara ya makamu wa rais wa Cuba mheshimiwa Salvador Valdés Mesa nchini Tanzania
 
Jinsi nchi ya South Africa inavyo changamkia nafasi za masomo ya udaktari na mengineyo nchini Cuba, wanafunzi watoa ushuhuda

View: https://m.youtube.com/watch?v=u5qy0f9PKGE
Last week Dr Aaron Motsoaledi, accompanied by Deputy Minister of Health, Dr Joe Phaahla and Gauteng MEC of Health Dr Gwen Ramokgopa welcomed back Cuban-trained medical students who are returning into the country.The 260 fifth-year medical students returned for their final sixth-year studies and reintegration into the South African health system. The training of the students is one of the national strategies developed by the ministry to strengthen the public health sector.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…