Rais Dr. Samia Suluhu Amezindua Mpango Mahususi wa Kitaifa kuhusu Nishati (National Energy Compact)

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Mpango Mahususi wa Kitaifa kuhusu Nishati (National Energy Compact) uliozinduliwa leo unalenga kuwiwezesha Tanzania kuunganisha umeme kwa kaya milioni 8.3 zaidi ifikapo mwaka 2030.
Screenshot_20250128_222708_LinkedIn.jpg

Rais Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Afrika kuhusu Nishati uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Juluis Nyerere.

Tanzania ilikuwa mwenyeji wa mkutano huo uliohudhuriwa na Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Burundi, Botswana, Congo, Comoros, Djibouti, Ethiopia, Gabon, Ghana, Guinea Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Libya, Madagascar, Malawi, Mauritania, Nigeria, Sierra Leone, Somalia na Zambia.

Vile vile, mkutano huo umehudhuriwa pia na Wawakilishi wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wakuu wa Mashirika ya Fedha ya Kimataifa, Mashirika ya Kimataifa, Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia kwa lengo la kuongeza kasi ya usambazaji umeme barani Afrika ili kuwaunganisha watu milioni 300 na umeme katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Rais Dkt. Samia amesema kuwa kwa kutoa kipaumbele katika upatikanaji wa nishati ya umeme, mkutano huo ulioandaliwa kwa ushirikiano na Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika utawezesha kuletwa mageuzi ya kiuchumi, kukua kwa viwanda, kupunguza umaskini na kuimarisha ustawisho wa watu.

Mkutano huo umefanikiwa kupata ahadi za ufadhili wa Dola za Marekani Bilioni 40 kutoka Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika kwa ajili ya kuwezesha usambazaji wa umeme barani Afrika. Aidha, jumla ya nchi za Afrika 12 zimeingia kwenye Mpango Mahususi wa Kitaifa kuhusu Nishati.

Rais Dkt. Samia amesema kuwa kupitia Mpango Mahususi kuhusu Nishati, Tanzania inakusudia kuviita mitaji na uwekezaji zaidi itakayowezesha kuongeza uzalishaji wa umeme nchini na kukamilisha kuunganisha Mtandao wa Umeme wa Tanzania na nchi jirani ili kuwezesha biashara ya kuuzwa na kununuliwa nishati hiyo.

Mpango huo utawezesha Serikali kukamilisha usambazaji umeme katika Vitongoji vyote 64,359 nchini ifikapo 2030. Vilevile, Mpango huo utawapandisha kiwango cha unganishaji wa umeme kutoka 46% ya sasa hadi kufikia 75%.

Vilevile, Rais Dkt. Samia ambaye amekuwa kinara wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ameweka bayana kuwa Mpango huo wa Nishati pia utaisaidia kuongeza upatikanaji wa nishati safi ya kupikia, ikiwemo gesi asilia na majiko banifu.

614454557.jpg

1069826683.jpg
 
Shukran nilitaka kuona tu hiyo title ya document ‘Tanzania Energy Compact’ waliyo-submit kwenye huo mkutano nikaitafute.

From scanning yale-yale tu kwa ujumla wake yaliyomo kwenye TANESCO master plan, sio kwamba kuna immediate projects to accelerate electricity access.

Anyway not disappointed kwa sababu sikutegemea jipya wala ubunifu kutoka serikali ya Tanzania.

Linganisha na ya Nigeria (ni 25 pages), yetu 50 pages. Wao wapo clear and precise; sio maneno mingi sana hata hakuna clear immediate objectives.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Mpango Mahususi wa Kitaifa kuhusu Nishati (National Energy Compact) uliozinduliwa leo unalenga kuwiwezesha Tanzania kuunganisha umeme kwa kaya milioni 8.3 zaidi ifikapo mwaka 2030.
View attachment 3217051
Rais Dkt. Samia ameyasema hayo wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Afrika kuhusu Nishati uliofanyika leo katika Ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Juluis Nyerere.

Tanzania ilikuwa mwenyeji wa mkutano huo uliohudhuriwa na Wakuu wa Nchi na Serikali kutoka Burundi, Botswana, Congo, Comoros, Djibouti, Ethiopia, Gabon, Ghana, Guinea Bissau, Kenya, Lesotho, Liberia, Libya, Madagascar, Malawi, Mauritania, Nigeria, Sierra Leone, Somalia na Zambia.

Vile vile, mkutano huo umehudhuriwa pia na Wawakilishi wa Wakuu wa Nchi na Serikali Wakuu wa Mashirika ya Fedha ya Kimataifa, Mashirika ya Kimataifa, Sekta Binafsi na Asasi za Kiraia kwa lengo la kuongeza kasi ya usambazaji umeme barani Afrika ili kuwaunganisha watu milioni 300 na umeme katika kipindi cha miaka mitano ijayo.

Rais Dkt. Samia amesema kuwa kwa kutoa kipaumbele katika upatikanaji wa nishati ya umeme, mkutano huo ulioandaliwa kwa ushirikiano na Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika utawezesha kuletwa mageuzi ya kiuchumi, kukua kwa viwanda, kupunguza umaskini na kuimarisha ustawisho wa watu.

Mkutano huo umefanikiwa kupata ahadi za ufadhili wa Dola za Marekani Bilioni 40 kutoka Benki ya Dunia na Benki ya Maendeleo ya Afrika kwa ajili ya kuwezesha usambazaji wa umeme barani Afrika. Aidha, jumla ya nchi za Afrika 12 zimeingia kwenye Mpango Mahususi wa Kitaifa kuhusu Nishati.

Rais Dkt. Samia amesema kuwa kupitia Mpango Mahususi kuhusu Nishati, Tanzania inakusudia kuviita mitaji na uwekezaji zaidi itakayowezesha kuongeza uzalishaji wa umeme nchini na kukamilisha kuunganisha Mtandao wa Umeme wa Tanzania na nchi jirani ili kuwezesha biashara ya kuuzwa na kununuliwa nishati hiyo.

Mpango huo utawezesha Serikali kukamilisha usambazaji umeme katika Vitongoji vyote 64,359 nchini ifikapo 2030. Vilevile, Mpango huo utawapandisha kiwango cha unganishaji wa umeme kutoka 46% ya sasa hadi kufikia 75%.

Vilevile, Rais Dkt. Samia ambaye amekuwa kinara wa matumizi ya nishati safi ya kupikia ameweka bayana kuwa Mpango huo wa Nishati pia utaisaidia kuongeza upatikanaji wa nishati safi ya kupikia, ikiwemo gesi asilia na majiko banifu.

View attachment 3217049

View attachment 3217050
Good job Madame president. Ukifanya vizuri lazima tukupongeze.Ukibofoa tutakwambia umekosea mheshimiwa rais.
 
Okay chawa tumekusikia na daktari wako feki asiye na hata stashahada wala cheti.
 
Huo umeme mlisema karibu asilimia 60 wamepata umeme. leo mnasema asilimia 46, so which is which? Tuambieni ukweli tujue ni asilimia ngapi ya watanzania wanatumia umeme? Msije kuendelea kutudanganya kama mlivyosema kuhusu internet kuwa asilimia 89 wana internet kumbe ni uongo.
 
Back
Top Bottom