Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Samahani....hivi jiwe anajua kuendesha gari? Maana sijawahi kuona hata kapicharais kenyata ndiyo alikuwa dreva wake sikuhiyo?
Samahani....hivi jiwe anajua kuendesha gari? Maana sijawahi kuona hata kapicha
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani inauma knoma,sisi maneno tuu bila vitendoDah.. Inauma ila tutafanyaje tz tupotupo tu.
Imependeza kwa kweliHongera Kenya kwa kufanikiwa kuunganisha gari la Mfaransa.
Sidhani kama alikuwa anaendesha may be alikuwa amekaa tuurais kenyata ndiyo alikuwa dreva wake sikuhiyo?
HahahhahaSamahani....hivi jiwe anajua kuendesha gari? Maana sijawahi kuona hata kapicha
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23]Lakini kumbukeni kuwa wachina nao wapo shingoni mwao wanawadai na wanataka kuichukua bandari ya mombasa, chekeleeni lakini mtakuja jikuta tayari mmekuwa koloni la moja kwa moja la nchi flani ya ulaya ama asia.