Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron.
Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953.
Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani kwake, kwani hata watoto aliozaa huyu Mama wanazidi umri.