Rais Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady)

Rais Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady)

Umesimulia kama unafukuzwa
Macron alipewa za kiutuuzima akaona hawa wapinduka sarakasi matatizo tu...
Mambo ya kitandani kuna wakati yanabaki siri..

ukutane na lingazija mixer lizanzibara limekulia Tanga hata likiwa na 50yrs na wewe una 20yrs lazima uanzishe lawama na ndugu zako tu....

Humu mwanaume gani asiyependa burudani, sasa huwezi jua utafia wapi kimahaba, sio mahaba haya vilingeni tunazungumzia yale nafsi yako mwenyeweeee imeamua hapa acha nife....Abdallah anahudumiwa vizuri toka juu mpaka chini, golori nazo zinapata hudula nzuri lazima unase kidondani tu... Vijana tembeeni muone..
 
Macron sio mjinga

Kuna story nilipewa akiwa na umri wa kubalehe alishawah itumia pisi nauli halafu haikutokea

Toka SIKU hyo aliapa kutodate na slay queen so akawa anajirusha na wamama wakubwa

Mwishowe Brigitte akapata bahat

So wadada endeleen Kula nauli huku watu wazma wakiolewa
 
Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron.

Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953.

Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani kwake, kwani hata watoto aliozaa huyu Mama wanazidi umri.

View attachment 1994909
Huyu Kijana ana matatizo gani hasa?
 
Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron.

Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953.

Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani kwake, kwani hata watoto aliozaa huyu Mama wanazidi umri.

View attachment 1994909
nikimwangalia huyu maza na kujua kuwa huwa anamvulia nguo huyu jamaa, nakubaliana na dhana kwamba wanawake ni viumbe hatari sana katika hii sayari ya dunia. huwezi uwa serious. this president will fake happiness ila kuna siku ukweli utajulikana tu kwamba hapo hata yeye hakubaliani nalo. hata uso wake unaonekana.
 
Watu wazima, wazee hawanaga stress mkiwa kwenye mahusiano

Ova
 
Back
Top Bottom