Rais Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady)

Umesimulia kama unafukuzwa
 
Macron sio mjinga

Kuna story nilipewa akiwa na umri wa kubalehe alishawah itumia pisi nauli halafu haikutokea

Toka SIKU hyo aliapa kutodate na slay queen so akawa anajirusha na wamama wakubwa

Mwishowe Brigitte akapata bahat

So wadada endeleen Kula nauli huku watu wazma wakiolewa
 
Huyu Kijana ana matatizo gani hasa?
 
nikimwangalia huyu maza na kujua kuwa huwa anamvulia nguo huyu jamaa, nakubaliana na dhana kwamba wanawake ni viumbe hatari sana katika hii sayari ya dunia. huwezi uwa serious. this president will fake happiness ila kuna siku ukweli utajulikana tu kwamba hapo hata yeye hakubaliani nalo. hata uso wake unaonekana.
 
Watu wazima, wazee hawanaga stress mkiwa kwenye mahusiano

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…