Tony Laurent
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 5,606
- 7,032
π€π€Pichani Ni Raisi wa Ufaransa Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady), Brigitte Macron.
Hawa wawili wanapishana kwa miaka 25. Mama amezaliwa 1953.
Macron ndiye mdogo kabisa nyumbani kwake, kwani hata watoto aliozaa huyu Mama wanazidi umri.
View attachment 1994909
Hahaaa,huenda kibibi ni noma kunako kwa bed hadi dogo kadataKwenye kupeana raha nina uhakika Rais anavuta picha ya mchepuko na sio mkewe
Hapo Ndiyo Utaujua Ule "Bia Tamu"nikimwangalia huyu maza na kujua kuwa huwa anamvulia nguo huyu jamaa, nakubaliana na dhana kwamba wanawake ni viumbe hatari sana katika hii sayari ya dunia. huwezi uwa serious. this president will fake happiness ila kuna siku ukweli utajulikana tu kwamba hapo hata yeye hakubaliani nalo. hata uso wake unaonekana.
Ukutane na mama la kikasai mixer manyema au mama la kimombasa na Malindi, mama la kitanga + Zanzibara au uvuke kwa wangazija kule siku lazima zikuishie duniani hapa....
[emoji16][emoji16]Niliwahi piga bibi kizee nikiwa tungi
Huyo Bi amemruhusu Macron awe na michepuko ila yeye anachotaka atambulike kama 1st lady tu ndiyo hamu ya huyo Bibi. Lakini Macron yupo huru kula videmu vikali kadri anavyotaka. Shida ya bb ni kuitwa 1st lady basiYani ameacha watoto wakali jijini Paree/Paris amekwenda kuoa bibi kizee kweli uchawi upo mpaka uzunguni!!
Alafu kutom.........bibi kizee kuna kinyaa flani hv.......!!!?
duuh aisee
hapa bongo inaweza kuwa hivyo, ila sio kwa wazungu. mzungu fanya yote lakini usimchiti hata kama hukumkuta bikra.Huyo Bi amemruhusu Macron awe na michepuko ila yeye anachotaka atambulike kama 1st lady tu ndiyo hamu ya huyo Bibi. Lakini Macron yupo huru kula videmu vikali kadri anavyotaka. Shida ya bb ni kuitwa 1st lady basi
Halima naona mdogo sanaHuyo First Lady na Halima Mdee nani mkubwa kiumri?
Mimi najiuliza, kama Macron asingemuoa huyo mwanamke bado angeweza kuwa Rais wa France?Dah Hivi bado najiuliza hivi kweli unaweza fanya hivi ukiwa sawa kabisa?
Kumbe wee ni MEEEKwenye kupeana raha nina uhakika Rais anavuta picha ya mchepuko na sio mkewe
YaaapKumbe wee ni MEEE
Anamsugua mashavu vizuriWazungu ni wachawi sana hata Sumbawanga na Pemba hawawezi. Macron ana miaka 43, mtoto wa tatu na WA mwisho wa mkewe toka ndoa ya kwanza ana miaka 45.