Rais Emmnuel Macron akiwa na Mkewe kipenzi (First Lady)

Itoshe kusema kwamba maisha yana siri nzito/kubwa sana ktk ulimwengu wa mafanikio ya level tajwa.....
 

[emoji1][emoji1][emoji1] tutaachaje kwa mfano
 
Samaki alisha oza sasa mnashangaa nini ?Imma alisha oza kwa huyo bibi kitambo since yupo xulw.
 
Wameanza kufanana,ndo maana alivyokutana na rais wa croation aliinjoy sana,hahahahaaaa eti yeye ndo mdogo nyumban kwake
 
Mangazija yana maufundu mengi nini mkuu ?
 
Yataka moyo kwa kweli.
Labda jamaa kimoja chali, kaamua kujisalimisha kwa bimkubwa.
Siunajua wazee pumzi ndogo! Moja linawatosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…