ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
- #41
Yupo mwingine huko Nchi jirani anasifiwa ujinga kama MwendazakeHuyu si ndio yule rais kijana ambaye alijizolea sifa kila kona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo mwingine huko Nchi jirani anasifiwa ujinga kama MwendazakeHuyu si ndio yule rais kijana ambaye alijizolea sifa kila kona?
Ndiyo mawazo ya mtu mpumbavu, maisha yana kanuni na uongozi una kanuni zake pia. Tupe nchi yoyote Africa inayotumia mkono wa chuma na ina maendeleo. Vijana wengi mmekuwa na mawazo ya kuondoa uhai wa watu ilimradi upate kula.Yaani wewe unaingia kuongoza nchi za kiafrika halafu unataka kuleta mambo ya democrasia na vyama vya upinzani, nchi wahisani na wawekezaji unategemea utafika mahali? Yaani ukitaka kuiongoza Afrika ipate maendeleo itabidi utumie mkono wa chuma yaani wewe ujali nchi na watu, wake na maendeleo na usiwe tayari kusikiliza ngonjera zozote zile cha zaidi uwe tayari kuacha legacy no matter what can happen to you, ujitoe sadaka kwa ajili ya watu kama alivyofanya masiha Jesus christ.
Afrika ingepata wazalendo naamini miaka 20 tungekuwa na reli za SGR zinazoliunga bara zima na tungeimarisha usalama na kuwa na free trade na tungeishi kama tupo paradise ila ndio hivyo tena athari za watawala wa kikoloni bado zinatutafuna kuamini we can do nothing without whites, ndo maana dada zetu wanateseka na kudhalilishwa huko ulaya na uarabuni hii ni liana kwa watawala wetu waliopewa mamlaka ya kusimamia rasilimali zetu kwa niana yetu kisha wao wanazitumia vibaya kwa manufaa yao na wale waliowatesa mababu zetu. Naamini wazee wetu huko walipo huwa wanalia sana kuona sisi kwa sisi tunatesana kwa ajili ya kuwafurahisi watesi wao.
Waliopo wamefanya nini cha tofauti kulinganisha na wengine?. Mmefanya maovu mengine hadi mnaogopa kivuli chenu wenyewe. "No body win forever".Ndio maana nawaonya Watanzania wasije kupoteza mda na makelele ya Wapinzani wakidhani Wana pepo wakati ni matapeli tuu wanatafuta madaraka.
Kulinganisha na nani? Wewe kama hujakiona walichofanya bakia kipofu wengine wanavionaWaliopo wamefanya nini cha tofauti kulinganisha na wengine?. Mmefanya maovu mengine hadi mnaogopa kivuli chenu wenyewe. "No body win forever".
"When you think small everything looks big".
Kama wao wamefanya na wengjne watashindwa nini?. Kama tuliongozwa na vichaa kipindi fulani. Tukifanya mabadiliko nchi itapiga hatua kubwa sana. Miaka 63 ya uhuru bado huduma za kijamii ni zero kabisa.Kulinganisha na nani? Wewe kama hujakiona walichofanya bakia kipofu wengine wanaviona
Mmh wait kwanza kwaji hawa wapinzani wa hapa Tanzania walishatuahidi kitu gani..? Mm naonaga wao wanakosoa tu ccm na serikali yao..!Kwa taarifa yenu tuu Wapinzani hata Hawa wa hapa Tanzania Wana maneno meengi yasiyo na msingi na Wala hawana njia za kutatua Changamoto zenu sana sana wanachotafuta ni madaraka tu.
Kwenye kampeni Huwa mnaahidi kitu gani? What is so special kwenu?Mmh wait kwanza kwaji hawa wapinzani wa hapa Tanzania walishatuahidi kitu gani..? Mm naonaga wao wanakosoa tu ccm na serikali yao..!
Ww jamaa jau sana yaani mtu hata mwaka hajamaliza unaongea ujinga kiasi hiki!!Kale kajamaa nilijua tu katachemka. You can'tmake a tigerbout of a cat.
Ogopa mtu ambaye toka aapishwe ajenda aliyonayo ni kukataa red carpet na picha kubandikwa tuMiezi 6 baada ya Rais wa Senegal Basirou Diomaye wa Senegal na Waziri wake Mkuu Ousmane Sonko wameanza kuleta visingizio Kwa Kushindwa Kutimiza Baadhi ya ahadi zao walizodai watazitatua ndani ya siku 100.
Serikali ya bwana Faye inasingia Bunge Kumkwamisha ambalo lina Wabunge wengi wa Upinzani(zamani chama Tawala).👇👇
My Take: Naendelea kuwakumbusha watu kwamba ni mjinga tuu ndio ataamini kwamba Wapinzani ndio watawatatulia shida zao.
Nawaambiaga mara nyingi kwamba Wanasiasa wote ni matapeli na siasa ni kazi kama kazi zingine so unapotumia Rasilimali zako hadi.kuandamana kulala risasi uwe unapima kama unachopigania utanufaika
Kwa taarifa yenu tuu Wapinzani hata Hawa wa hapa Tanzania Wana maneno meengi yasiyo na msingi na Wala hawana njia za kutatua Changamoto zenu sana sana wanachotafuta ni madaraka tu.
Imetokea Ghana, Malawi, Kenya, Senegal,Zambia na nk, and won't be different Kwa Tanzania.
Kumbuka ukiitiwa fursa jua wewe ndio fursa. SSH Anatosha na chenji inabaki.
==========
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, anaonekana kupata ugumu kutumiza baadhi ya ahadi zake wakati wa Kampeni, miezi sita baada ya kuchaguliwa kuongoza taifa hilo la Afrika magharibi.
Serikali ya Faye ikiongozwa na waziri wake mkuu, Ousamne Sonko imeendelea kutuhumu bunge la taifa kwa kuwa kizingiti kwa sera za serikali yao, kwani idadi kubwa ya wabunge ni wa upinzani, Sonko akikataa kuwasilisha sera za serikali bungeni kwa misingi kwamba bunge hilo halitambui cheo chake.
Rais Faye amekuwa mstari wa mbele kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa washirika, akiwa mpatanishi kati ya muungano wa Ecowas na matifa ya Mali, Niger na Burkina Faso ambayo yalitangaza kuijiondoa katika muungano huo.
Hata hivyo wakosowaji wake wanadai ni hiyo mbinu ya kuepuka majukumu yake nyumbani katika hilo ambalo linashuhudia uhaba wa juu wa ukosefu wa ajira kwa vijana na deni la taifa.
Serikali ya Faye pia inatuhumiwa kwa kukosa kuizngatia usawa wa kijinsia katika teuzi mbalimbali za serikali.
Raia wengi wa Senegal aidha wanadai taifa lao halijasonga mbele tangu kufanyika kwa uchaguzi, wakati huu waziri mkuu Osmane Sonko akidai huenda bunge likavunjwa na rais Faye ili kutoa nafasi ya uchaguzi mpya wa wabunge.
Pia soma:Ushauri: Rais Mteule wa Senegal BD Faye Asikubali kuwa Kivuli na Kuendeshwa na Sonko.Kuna Watu Lazima Waishie Kuwa Ngazi
Ruto Toka ameingia si nae ni Yale Yale kama hao wengine?Ww jamaa jau sana yaani mtu hata mwaka hajamaliza unaongea ujinga kiasi hiki!!
Ruto alikuwa mpinzani??Ruto Toka ameingia si nae ni Yale Yale kama hao wengine?
Hamtutoi kwenye reliWapinzani mara zote Huwa ni visingizio fc, maneno hayajengi gorofa
Nyie Mko mtaroni sio kwenye reliHamtutoi kwenye reli
NdioRuto alikuwa mpinzani??
Wa nani?Ndio
hata kwa kumuangalia tu Faye amezubaa mno, ni mnyonge sana ni kama vile hana mipango tena baada ya kukutana na jukumu zito mno alilodhani ni rahisi kabla,Miezi 6 baada ya Rais wa Senegal Basirou Diomaye wa Senegal na Waziri wake Mkuu Ousmane Sonko wameanza kuleta visingizio Kwa Kushindwa Kutimiza Baadhi ya ahadi zao walizodai watazitatua ndani ya siku 100.
Serikali ya bwana Faye inasingia Bunge Kumkwamisha ambalo lina Wabunge wengi wa Upinzani(zamani chama Tawala).👇👇
My Take: Naendelea kuwakumbusha watu kwamba ni mjinga tuu ndio ataamini kwamba Wapinzani ndio watawatatulia shida zao.
Nawaambiaga mara nyingi kwamba Wanasiasa wote ni matapeli na siasa ni kazi kama kazi zingine so unapotumia Rasilimali zako hadi.kuandamana kulala risasi uwe unapima kama unachopigania utanufaika
Kwa taarifa yenu tuu Wapinzani hata Hawa wa hapa Tanzania Wana maneno meengi yasiyo na msingi na Wala hawana njia za kutatua Changamoto zenu sana sana wanachotafuta ni madaraka tu.
Imetokea Ghana, Malawi, Kenya, Senegal,Zambia na nk, and won't be different Kwa Tanzania.
Kumbuka ukiitiwa fursa jua wewe ndio fursa. SSH Anatosha na chenji inabaki.
==========
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, anaonekana kupata ugumu kutumiza baadhi ya ahadi zake wakati wa Kampeni, miezi sita baada ya kuchaguliwa kuongoza taifa hilo la Afrika magharibi.
Serikali ya Faye ikiongozwa na waziri wake mkuu, Ousamne Sonko imeendelea kutuhumu bunge la taifa kwa kuwa kizingiti kwa sera za serikali yao, kwani idadi kubwa ya wabunge ni wa upinzani, Sonko akikataa kuwasilisha sera za serikali bungeni kwa misingi kwamba bunge hilo halitambui cheo chake.
Rais Faye amekuwa mstari wa mbele kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa washirika, akiwa mpatanishi kati ya muungano wa Ecowas na matifa ya Mali, Niger na Burkina Faso ambayo yalitangaza kuijiondoa katika muungano huo.
Hata hivyo wakosowaji wake wanadai ni hiyo mbinu ya kuepuka majukumu yake nyumbani katika hilo ambalo linashuhudia uhaba wa juu wa ukosefu wa ajira kwa vijana na deni la taifa.
Serikali ya Faye pia inatuhumiwa kwa kukosa kuizngatia usawa wa kijinsia katika teuzi mbalimbali za serikali.
Raia wengi wa Senegal aidha wanadai taifa lao halijasonga mbele tangu kufanyika kwa uchaguzi, wakati huu waziri mkuu Osmane Sonko akidai huenda bunge likavunjwa na rais Faye ili kutoa nafasi ya uchaguzi mpya wa wabunge.
Pia soma:Ushauri: Rais Mteule wa Senegal BD Faye Asikubali kuwa Kivuli na Kuendeshwa na Sonko.Kuna Watu Lazima Waishie Kuwa Ngazi
Huyo tayari ni Chama tawala, siyo upinzani. Haangaliwi wala kupimwa kama mpinzani bali anaangaliwa na kupimwa kama mtawalaMiezi 6 baada ya Rais wa Senegal Basirou Diomaye wa Senegal na Waziri wake Mkuu Ousmane Sonko wameanza kuleta visingizio Kwa Kushindwa Kutimiza Baadhi ya ahadi zao walizodai watazitatua ndani ya siku 100.
Serikali ya bwana Faye inasingia Bunge Kumkwamisha ambalo lina Wabunge wengi wa Upinzani(zamani chama Tawala).👇👇
My Take: Naendelea kuwakumbusha watu kwamba ni mjinga tuu ndio ataamini kwamba Wapinzani ndio watawatatulia shida zao.
Nawaambiaga mara nyingi kwamba Wanasiasa wote ni matapeli na siasa ni kazi kama kazi zingine so unapotumia Rasilimali zako hadi.kuandamana kulala risasi uwe unapima kama unachopigania utanufaika
Kwa taarifa yenu tuu Wapinzani hata Hawa wa hapa Tanzania Wana maneno meengi yasiyo na msingi na Wala hawana njia za kutatua Changamoto zenu sana sana wanachotafuta ni madaraka tu.
Imetokea Ghana, Malawi, Kenya, Senegal,Zambia na nk, and won't be different Kwa Tanzania.
Kumbuka ukiitiwa fursa jua wewe ndio fursa. SSH Anatosha na chenji inabaki.
==========
Rais wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, anaonekana kupata ugumu kutumiza baadhi ya ahadi zake wakati wa Kampeni, miezi sita baada ya kuchaguliwa kuongoza taifa hilo la Afrika magharibi.
Serikali ya Faye ikiongozwa na waziri wake mkuu, Ousamne Sonko imeendelea kutuhumu bunge la taifa kwa kuwa kizingiti kwa sera za serikali yao, kwani idadi kubwa ya wabunge ni wa upinzani, Sonko akikataa kuwasilisha sera za serikali bungeni kwa misingi kwamba bunge hilo halitambui cheo chake.
Rais Faye amekuwa mstari wa mbele kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na mataifa washirika, akiwa mpatanishi kati ya muungano wa Ecowas na matifa ya Mali, Niger na Burkina Faso ambayo yalitangaza kuijiondoa katika muungano huo.
Hata hivyo wakosowaji wake wanadai ni hiyo mbinu ya kuepuka majukumu yake nyumbani katika hilo ambalo linashuhudia uhaba wa juu wa ukosefu wa ajira kwa vijana na deni la taifa.
Serikali ya Faye pia inatuhumiwa kwa kukosa kuizngatia usawa wa kijinsia katika teuzi mbalimbali za serikali.
Raia wengi wa Senegal aidha wanadai taifa lao halijasonga mbele tangu kufanyika kwa uchaguzi, wakati huu waziri mkuu Osmane Sonko akidai huenda bunge likavunjwa na rais Faye ili kutoa nafasi ya uchaguzi mpya wa wabunge.
Pia soma:Ushauri: Rais Mteule wa Senegal BD Faye Asikubali kuwa Kivuli na Kuendeshwa na Sonko.Kuna Watu Lazima Waishie Kuwa Ngazi
SawaNyie Mko mtaroni sio kwenye reli