Rais Faye wa Senegal aanza visingizio baada ya kushindwa kutimiza ahadi alizotoa baada ya kuapa kuwa Rais. Awashutumu wapinzani kumkwamisha Bungeni

Sisi bongo ndio tuna worst president anaweza kuwa anaongoza dunia nzima. Tusijifariji
 
Ndiyo mawazo ya mtu mpumbavu, maisha yana kanuni na uongozi una kanuni zake pia. Tupe nchi yoyote Africa inayotumia mkono wa chuma na ina maendeleo. Vijana wengi mmekuwa na mawazo ya kuondoa uhai wa watu ilimradi upate kula.
 
Uzuri kule kuna demokrasia.Hivyo ajiandae kung'oka kwenye boksi la kura.
 
Ndio maana nawaonya Watanzania wasije kupoteza mda na makelele ya Wapinzani wakidhani Wana pepo wakati ni matapeli tuu wanatafuta madaraka.
Waliopo wamefanya nini cha tofauti kulinganisha na wengine?. Mmefanya maovu mengine hadi mnaogopa kivuli chenu wenyewe. "No body win forever".
"When you think small everything looks big".
 
Waliopo wamefanya nini cha tofauti kulinganisha na wengine?. Mmefanya maovu mengine hadi mnaogopa kivuli chenu wenyewe. "No body win forever".
"When you think small everything looks big".
Kulinganisha na nani? Wewe kama hujakiona walichofanya bakia kipofu wengine wanaviona
 
Kulinganisha na nani? Wewe kama hujakiona walichofanya bakia kipofu wengine wanaviona
Kama wao wamefanya na wengjne watashindwa nini?. Kama tuliongozwa na vichaa kipindi fulani. Tukifanya mabadiliko nchi itapiga hatua kubwa sana. Miaka 63 ya uhuru bado huduma za kijamii ni zero kabisa.
 
Kwa taarifa yenu tuu Wapinzani hata Hawa wa hapa Tanzania Wana maneno meengi yasiyo na msingi na Wala hawana njia za kutatua Changamoto zenu sana sana wanachotafuta ni madaraka tu.
Mmh wait kwanza kwaji hawa wapinzani wa hapa Tanzania walishatuahidi kitu gani..? Mm naonaga wao wanakosoa tu ccm na serikali yao..!
 
Mmh wait kwanza kwaji hawa wapinzani wa hapa Tanzania walishatuahidi kitu gani..? Mm naonaga wao wanakosoa tu ccm na serikali yao..!
Kwenye kampeni Huwa mnaahidi kitu gani? What is so special kwenu?
 
Ogopa mtu ambaye toka aapishwe ajenda aliyonayo ni kukataa red carpet na picha kubandikwa tu
 
Ww jamaa jau sana yaani mtu hata mwaka hajamaliza unaongea ujinga kiasi hiki!!
Ruto Toka ameingia si nae ni Yale Yale kama hao wengine?

Ni wajinga ndio wanaweza Vu ja miguu Yao kushabikia Wapinzani njaa.
 
hata kwa kumuangalia tu Faye amezubaa mno, ni mnyonge sana ni kama vile hana mipango tena baada ya kukutana na jukumu zito mno alilodhani ni rahisi kabla,

huenda bado haamini kama ndie rais wa nchi...
asipobadilika atachokwa na atachukiwa zaid ya Maki Sali πŸ’
 
Huyo tayari ni Chama tawala, siyo upinzani. Haangaliwi wala kupimwa kama mpinzani bali anaangaliwa na kupimwa kama mtawala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…