Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe


Kwani Magufuli alikuwa anajua kuongea na wananchi? Au watu walikuwa wanaandaliwa kwenye safari zake kuigiza kuwa wanawakilisha kero? Hayo maeneo yote yana wabunge tena wa ccm. kwanini wasipeleke hayo matatizo ya wananchi, kuliko kusubiri rais aje afanye usanii wa kujifanya anatafuta kero? Nenda sehemu nyingi alizopita Magufuli na kutumia mtindo huu unaoigwa na Samia, uone kama zile ahadi za kitapeli alizoahidi kama zimetekelezwa.
 
Natamani jiwe huko aliko achomwe moto achapwe viboko apate mateso ya kila namna mpaka abadilike na kuwa mwema kisha arudishwe tena duniani na awe Rais tena
 
Bado anajifunza;

HOW TO BECOME A PRESIDENT"
 
Yani hapa hata Ccm wenyewe wanaona wamepigwa wna wanapigwa parefu hatuna Kiongozi pale twendeni.
 
JPM alikua sehemu kubwa ya tatizo la nchi hii na CCM, paka leo SSH ni victim wa uongozi wake. Mtu yoyote anae jua utawala demokurasia na utawala wa sharia hawezi kumiga au kumkumbuka Magu.
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi mkumbuka yule mtu.
 
Natamani jiwe huko aliko achomwe moto achapwe viboko apate mateso ya kila namna mpaka abadilike na kuwa mwema kisha arudishwe tena duniani na awe Rais tena
Ingekuwa kila siku ukiamka unamlaani shetani kama ulivyomlaani hapo Jiwe basi nina hakika usingekuwa na dhambi hata moja, maana ungekuwa mbali na vitimbi vya shetani na ungechukia dhambi yani kwa kifupi ungekuwa kama malaika.
 
Hata kama unajua kuzungumza kusimama barabarani ni kuleta kero na usumbufu..., mbona kuna njia nyingi za kuzungumza na raia ? Redio, TV n.k..

Na kwa wale waliopo mbali kuna wawakilishi na wasaidizi wa Rais, peleka kero huko na mwisho zitafika kwake
 
Mtu yeyote mwenye akili timamu hawezi mkumbuka yule mtu.
Alikuwa na watoto mke pamoja na ndugu, sasa hao watu wakimkumbuka utasema hawana akili timamu?

Halafu hata hivyo sijui ni nani sasa atabaki na akili timamu, kwa sababu haipiti siku bila Magufuli kutajwa kwa wanaomchukia na wanaompenda na hiyo maana yake watu wanamkumbuka sana tu.
 
Hapo nilivuka mstari kidogo, ila nilitaka kumaanisha maamuzi yake
 
A

Aisee!
 
Happy tumepigwa,binafsi simkubali kabisa huyu mama.
 
Mtu kama hawajibiki ni sahihi kabisa kutumbuliwa, there is no other way out, wala hakuna usheitwani hapo, kama huwezi kufanya kazi ni bora uwaachie wanaoweza kuifanya hiyo kazi,
Nani mwenye mandate ya kujua huyu hafanyi kazi sawa sawa. Is it the pesident and his/ her wishes? What about kama amemuonea ama kwa chuki za wivu wa kimapenzi au la! Mfano yule DED wa kisarawe aliyetumbuliwa kisa anakula demu wa jpm (jokate)? Kutumbuliwa siyo wishes za rais bali tume maalumu ya utumishi au mahakama. HatuweI kuruhusu kutumbua tumbua mana nai bias ambazo jpm alikuwa akizifanya kwa mtu asiyempenda ama kwa apperance au hamtaki tu
 
Hapo nilivuka mstari kidogo, ila nilitaka kumaanisha maamuzi yake
Bado umevuka mstari, unajua tonatofautiana mitazamo kwamba wewe unaweza kuona maamuzi yote ya Jiwe hayakufaa ila mwengine akaona yapo yaliyofaa na yasiofaa.
 
Mkurugenzi kateuliwa huku akiwa na tuhuma ya wizi wa mabati!!!!!!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…