Rais hajui kuzungumza na wananchi, ziara za njiani zisitishwe

Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.

Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.

Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,

Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.

Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.

siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,

Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu

Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
Yule ni chief hangaya tafuteni raisi wa kutatua matatizo ya wananchi
 
Samia ni dhaifu,acha kujificha kwenye mazoea,tangia amepata urais ameisha tatua shida hipi?Labda kufungulia alishababu na Mafisadi, sasahivi rushwa imerudi kwa mwendo wa 5g
Aliyekuwa anatatua shida kama hizo alizimaliza au hata kuzipunguza?

Ifike mahala tukubaliane tuu kwamba mfumo wa uongozi na uwajibikaji wa Tzn ni mbovu Sana haiwezekani kila kitu kitegemee Rais.

Rais akimfuta Kazi DED leo kwa uzembe nk huyo jamaa anendelea eti kuwa mtumishi wa umma hii haikubaliki.

Mwisho tuweke mechanism ya kuchagua viongozi wa mikoa waongoze mamlaka za serikali za mitaa ,tusiwe tunategemea Rais aje kutatua kero za madarasa,vyoo, mipango miji na upuuzi mwingine kama huo.

Kwa sasa wanaoitwa Wasaidizi wa Serikali ni mzigo hakuna ufanisi kuanzia uongozi wa kisiasa hadi Utumishi wa umma.

Kiufupi hii nchi ni ngumu Sana lazima tukubali kuibadili tuweke nguvu mikoani kwenye mamlaka ya serikali za mitaa.
 
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.

Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.

Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,

Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.

Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.

siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,

Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu

Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
huyu nNDUgey nae vipi anajua kuongea kweli?

Shida sio rais akisimama njiani hajui afanye nini, shida ni mfumo mbovu uliokubuhu ndani ya nchi yenu miaka nenda miaka rudi, shida za wananchi hazitatuliwi kwa kuwauliza watu barabarani kwenye gari lenye tobo juu ili utoe shingo na kipaza sauti eti halafu uulize apa muna shida gani.,

Ingekuwa muna akili angalau mungewauliza jirani zenu apo Kenya Uhuru Kenyata anayafanya kama hayo kutoa shingo kwenye gari na kuwauliza wananchi kama mumeshiba au muna njaa? hakuna nchi ata moja zilizoendelea na uko ulaya wanafanya maigizo kama hayo

Tanzania kuna mambo mengi mabaya ata ufunguzi wa miradi mbali mbali Kenya wamekuacheni kwa mbali sana barabara wanajenga na miradi mikubwa wanafanya lakini hawataki sifa za kwenye Televishine kila siku leo tumefanya hichi kesho tunafanya hichi.,

Kiongozi wa nchi akitimiza wajibu wake vilivyo maendeleo yataonekana tu bila kutoa shingo kwenye gari la wazi., Mambo yakiwa mazuri automatically mtu mwenye kipato cha chini kabisa ataweza kula milo yake mitatu kwa siku bila ya taabu.,

Lakini angalia shingo mnatoa kwenye gari lakini sasa ni miaka takriban 60 nchi iko pale pale munajenga uchumi munajenga uchumi hali imezidi kuwa mbaya kwa wananchi wenu, sasa mlo wa chakula ni taabu tupu.
 
Amekosa hamasa kabisa kipindi kile cha JPM ulikua unasikia raha kumfuatilia jinsi anavyotatua changamoto za wanyonge njiani
 
Hakikisheni mnakaa mbali naye kwa mita 50 vinginevyo hachelewi kuwaambia mtoe tozo hapo hapo. Bibi huyu anatakiwa akalee wajukuu make biashara ya uraisi kwake ni sawa na mbuzi kupelekwa club
 
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.

Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.

Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,

Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.

Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.

siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,

Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu

Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
We kweli kilaza, mkishaongea changamoto zenu huwa zinaandikwa na wasaidizi wa Rais, then zitafanyiwa kazi, tatizo mshazoea yule mwendazake aliekuwa anagawa maburungutu ya hela njiani, mama mtoto wa mjini sio limbukeni wakugawa fedha ovyohovyo
 
Hakikisheni mnakaa mbali naye kwa mita 50 vinginevyo hachelewi kuwaambia mtoe tozo hapo hapo. Bibi huyu anatakiwa akalee wajukuu make biashara ya uraisi kwake ni sawa na mbuzi kupelekwa club
Sukuma gang mna chuki na Samia , na ndio yupo Hadi 2045 , hameni Nchi Kama vipi
 
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.

Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.

Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,

Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.

Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.

siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,

Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu

Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
Naamini ziara ya RT haikuwa ya kukurupuka hivyo ilitakiwa angalau kwanza kujua kwa kina changamoto ya maeneo ambayo angepita na hivyo kutoa utatuzi/ahadi ya angalau baadhi ya changamoto hizo. Hii ingekuwa ni sawa na kuua ndege wawili kwa jiwe moja maana hata kama kuna ziara za baadae mara nyingi muda huwa hautoshi na ni vyema nafasi ikipatikana ikatumika ipasavyo.
 
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.

Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.

Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,

Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.

Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.

siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,

Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu

Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
Kimsingi kuzungumza na watu ukiwa unapita tu upo ndani ya gari mimi sioni kama ni njia nzuri kwa rais kuwafikia wananchi.
Rais anapaswa kupanga ziara zake vizuri na kuzungumza akiwa jukwaani kwa heshima na taadhima tuache mambo ya kuhutubia wananchi huku ukila mahindi ya kuchoma.
 
Mimi naunga mkono Raisi anavyofanya. Huwezi kupita tu na kusalimia na ukaanza kufanya ahadi ambazo hazipo kwenye mipingalio. Hii inasababisha pesa kutoka kwenye miradi ya kimkakati na kwenda kwenye miradi ya kusifiwa na kisifa. Raisi Samia amekuwa mkweli na anataka taratibu zifuatwe badala ya kutoa ahadi kwa ushabiki kama Hayati. Ilifikia hata mikoa inatangazwa bila vigezo. Unasema barabara kilimeta moja sasa kwanini haiko kwenye mpango wa mji kama ni muhimu! kuna mlolongo mkubwa wa viongozi wa tamisemi wanashughulikia miradi ni kwanini huyu mwombaji hajawasiliana na hii ofisi. Tujue Tanzania ina pesa ndogo kuliko matatizo juzi tu ilibidi wakopeshwe kwa kupungua kwa utalii kutokana na Covid 19 leo mnataka Raisi atoe ahadi nje na mipango ili tu awafurahishwe watu bila kujua hizo pesa zitatoka kwenye mradi ambao ni muhimu zaidi. Na jiulize akizunguka Tanzania nzima ni ahadi ngapi atatoa ambazo hazitekelezeki! huu utaratibu wa ahadi sio mzuri. Shida zote zipelekwe na watendaji na wabunge halafu kuna wataalamu wa waajiriwa wa kushughulikia haya sio Raisi. Tozo inamuhusu kwasababu ni ofisi yake imehusika kuweka hizo tozo lakini masoko, stendi, barabara ziko tayari kwenye mipango.

Watanzania ni walalamishi sana. Utawaletea chanjo watasema zitawauwa bila ushahidi wowote, utawawekea wataalamu wenyewe wataamini wazushi na matapeli, utaweka utaratibu wa kutangaza nchi ili upate wageni na pesa za maendeleo wananchi hao hao watakuita muigizaji wakati huohuo wanakuomba pesa za barabara!. Watanzania wanaunga mikono machinga kuuza vitu bila kodi halafu wanashangaa tozo sasa mlitaka kodi alipe nani?? . Hivyo Magufuli aliweka picha mabayo sio ya kweli maendeleo yanahitaji mpangilio na huwezi kuwa Raisi wa kutoa ahadi ovyo kila mahali bila kujua pesa ambayo haina mpangilio inatoka sehemu nyingine.

Tukiandika vitu tuwe tunafikiria kwa mapana lakini tuna vijana wengi sana wadogo ambao upeo wao bado sio mkubwa
 
Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.

Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.

Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,

Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.

Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.

siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,

Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu

Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
Uko sahihi kabisa
 
Chief Hangaya ni mzinguaji
 
tutaelewa tu! tumeungana wizara nne lakini anatawala tanganyika yote wakati Wazanzibar wanajitawala
 
Kimsingi kuzungumza na watu ukiwa unapita tu upo ndani ya gari mimi sioni kama ni njia nzuri kwa rais kuwafikia wananchi.
Rais anapaswa kupanga ziara zake vizuri na kuzungumza akiwa jukwaani kwa heshima na taadhima tuache mambo ya kuhutubia wananchi huku ukila mahindi ya kuchoma.
Rais Kuzungumza na wananchi Mara kwa Mara kunaongeza uwajibikaji kwa watendaji wa chini
Hamasa ya watendaji wa chini maDC, maRC havikuja kwa bahati mbaya
Rais ukipoa na watendaji wako wanapoa
 
Back
Top Bottom