- Thread starter
- #21
wewe itakua unamapepoUna roho mbaya sana na hii inaonesha uafrika ni ushetani. We unafurahia mtu kutumbuliwa. Yaani jpm alivyokuwa sheitwani basi riho ile aliwaambukiza na wewe na smai unataka aige ushetani huo, never!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wewe itakua unamapepoUna roho mbaya sana na hii inaonesha uafrika ni ushetani. We unafurahia mtu kutumbuliwa. Yaani jpm alivyokuwa sheitwani basi riho ile aliwaambukiza na wewe na smai unataka aige ushetani huo, never!!
Hatarikutumbuliwa
Amekosa kazi za kufanya Ikulu? Maana kutwa kiguu na njia. Watu wa kufanya hiyo Royal Tour wako wengi tu na ingekuwa na tija.Anapromote utalii kupitia royal tour na kuwakinga wananchi na vifo vya corona kupitia uhamasishaji wa chanjo na kuvaa barakoa. Nikumbushe majina ya Mawaziri wa utalli JMT na SMZ tafadhali.
Mbona hajawahi kumtaja Mungu hata mara moja??Mheshimia Rais wetu anafanya kazi nzuri sana tuzidi kumuombea Mungu amfanikishe yale aliyodhamiria kuyafanya ktk nchi hii nyie mnao laumu kila jambo fanyeni kazi mama ndiye Raisi wetu Mungu wa mbinguni amemuweka ikulu kwa makusudi ataongoza atakuja mwingine jukumu letu ni kumuomba Mungu amjalie hekima na busara na afya njema ili atimize maono yake.mkilaumu laumu hamjengi nali mnajidhalilisja wenyewe
Viongozi wakali TzTatizo mlizoeshwa tabia chafu na ya kishenzi kufokeana hadharani kama watoto wadogo na mliipenda tabia hiyo kwa sababu ujinga tu.
Anatuchomesha mahindi,mzee magu alikuwa kipaumbele chake ni matatizo ya raia wa kawaida.Anatuchomesha jua tu halafu hakuna la maana
kusikiliza kero za wananchi ni mambo ya kishetani?Acha kuchochea mambo ya kishetani ambayo tumeanza kuyasahau.
kusikiliza kero za wananchi pia ni jukumu la RaisHayo matatizo unayoeleza yanapaswa kutatuliwa na madiwani, wabunge, wakuu wa wilaya na mawaziri. Jaribu kujifunza kazi za Rais ni zipi.