Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Nami nakuunga mkono. Yaani jana tumesimama kumsubiri pale Igoma akielekea Kisesa tumeishia kukataa tamaa na tulichosikia na kuona kutoka kwake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli kuna style inaoyoashiria kiongozi makini na anayefaa na style nyingine hasiyefaa!!Atasame anayo staili yake ya uongozi hawezi kumuiga JPM Hayati. Ukiwauliza wananchi shida zao nyingine zitakuhitaji uchukue maanuzi ya papo kwa papo kama kumtumbua muhusika. Je anauo uthubutu wa kufanya hivyo? Alishasema uongozi wake si wa kutumia miguvu! Tumsaidie kwa kuendelea kumuweka kwenye maombi Mh Rais.
Kamfufue au mfate ChettleHuyu mama SIYO presidential material this country need, Magufuli will always live in our hearts, This country needs divine intervention to rescue it from Corruption and corrupt and power hunger Leaders, This time tumepigwa sana wa Tanzania,Rushwa imerudi kwa speed ya 5G
Yaah..kwanini usitumbuliwe kama ni mwizi na huwajibiki katika nafasi yako.Una roho mbaya sana na hii inaonesha uafrika ni ushetani. We unafurahia mtu kutumbuliwa. Yaani jpm alivyokuwa sheitwani basi riho ile aliwaambukiza na wewe na smai unataka aige ushetani huo, never!!
sawa dadaWanaume mnasimama kabisa kumlilia shida mama awatatulie?? Huo ni udadapoa kwanza hii tabia ya kumsimamisha hainaga maana nikukosa kazi fateni taratibu kudai mnachodai
mshamba bibiakoMlishazoeshwa tabia za kishamba za kufokea watu hadharani na kuwafukuza kazi bila utaratibu. Washamba bado mpo wengi mnaodhani kufokafoka ndio uongozi
Ikikupendeza asubuhi hii nikaribishe nikalale na dadako au mkeo au ma.....ko! Ikikupendeza lakini alafu baada ya miezi mitatu utatupa mrejesho hapa ili nikutoe ngebe zakosawa dada
Wewe mweyewe hujui kuandika.Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.
Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.
Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,
Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.
Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.
siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,
Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu
Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
And then nchi ikahitaji divine intervantion ili kuondokana na udhalimu na udikteta na SSH akapata nafasi.Huyu mama SIYO presidential material this country need, Magufuli will always live in our hearts, This country needs divine intervention to rescue it from Corruption and corrupt and power hunger Leaders, This time tumepigwa sana wa Tanzania,Rushwa imerudi kwa speed ya 5G
usilazimishe unalotaka wewe ndiyo liwe; acha mazoea kwa kila mtu ana namna yake ya kufanya jambo hilo hilo.
Samia ni dhaifu,acha kujificha kwenye mazoea,tangia amepata urais ameisha tatua shida hipi?Labda kufungulia alishababu na Mafisadi, sasahivi rushwa imerudi kwa mwendo wa 5gusilazimishe unalotaka wewe ndiyo liwe; acha mazoea kwa kila mtu ana namna yake ya kufanya jambo hilo hilo.