Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Huu ndo mshahara wa raisi wa sasa au tangu JPM?Katiba haitambui hilo, mama kwamwezi analamba mil 56 igawe kwawiki, yeye kila wiki analipwa
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndo mshahara wa raisi wa sasa au tangu JPM?Katiba haitambui hilo, mama kwamwezi analamba mil 56 igawe kwawiki, yeye kila wiki analipwa
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Mie naona Rais atusaidie kubana matumizi, kwa kuondoa vyeo vya hao wasaidizi wake kama hao,ambao siku zote wanashindwa kumsaidia kutatua kero za watumiaji na kusubiri kila kitu Rais mpaka aje atatue. Na ili kusave pesa ya kodi tunaowalipa ya mishahara ya bure wanayolipwa hao mabwana bila tija, ni afadhali pesa hiyo ielekezwe na ikasaidie kujenga matundu ya vyoo vya shule vijijini....Hayo matatizo unayoeleza yanapaswa kutatuliwa na madiwani, wabunge, wakuu wa wilaya na mawaziri. Jaribu kujifunza kazi za Rais ni zipi.
Kero za wananchi hazitakiwi kufika kwa rais moja kwa moja kuna utaratibu wake , ndio maanabkuna madiwani na wabunge, wakuu wa wilaya na mikoa nk. na hii ni ili kuepusha maamuzi ya ukandamizaji na unyanyasaji yasiyo na utu, maana maamuzi na kauli ya rais kwa mtu yeyote yule sio jambo la mchezo ,kusikiliza kero za wananchi ni mambo ya kishetani?
Tatizo mlisha zoeshwa tabia za kishezi na hilo ndilo tatizo mlisha sahahu uongozi mkazoeshwa utawala.Huyu mama SIYO presidential material this country need, Magufuli will always live in our hearts, This country needs divine intervention to rescue it from Corruption and corrupt and power hunger Leaders, This time tumepigwa sana wa Tanzania,Rushwa imerudi kwa speed ya 5G
usilazimishe unalotaka wewe ndiyo liwe; acha mazoea kwa kila mtu ana namna yake ya kufanya jambo hilo hilo.
vipi endapo hao uliowataja hawazitatui?Kero za wananchi hazitakiwi kufika kwa rais moja kwa moja kuna utaratibu wake , ndio maanabkuna madiwani na wabunge, wakuu wa wilaya na mikoa nk. na hii ni ili kuepusha maamuzi ya ukandamizaji na unyanyasaji yasiyo na utu, maana maamuzi na kauli ya rais kwa mtu yeyote yule sio jambo la mchezo ,
wananchi wengi wamejawa na majungu na chuki dhidi ya watumishi wa umma na hilo halina pingamizi hicho ndicho alicho kuwa anakifanya magufuli na wafuasi wake, hatutaki mfumo ule ujirudie! Kero za wananchi zitatatuliwa kwa utaratibu unao takiwa na sio majukwaani kutukana wasaidizi na watendani wa chini mbele ya jamii inayo shangilia na kupiga miluzi ya furaha na kutaka sifa , watu wameumizwa sana wakati wa magufuli tena wengine bila hatia,watu wamedhalilishwa na kutwezwa utu wao, watu wamevunjiwa heshima mbele ya wanao waongoza na familia zao eti kisa tu mwananchi tabulalasa asiye jua utaratibu kalalamika jambo ambalo ni la kitaalamu na sio nguvu au siasa.
Rudini kwenye mifumo ya uongozi na sio mifumo ya utawala na mzilazimishe akili na fahamu zenu zitambue kwamba mnatakiwa kuongozwa na sio kutawaliwa
Waziri Mkuu ndiyo mtendaji mkuu wa Serikali, na yeye akifika sehemu fulani huwa tayari analo jambo lake. Hii ni tafauti na Raisi kusimama njiani tu na kuanza kutoa hukumu. Matukio kama haya mara nyingi yanaleta kudanganywa.Anafanya anayoyaweza tu ndugu yangu, hayo hawezi. Hata mimi niliwaza sana tangu aanze hiyo simama simama nikaona sioni jipya, hata yule makamu wake naye anajaribu bado anafeli anawaambia hiyo ni yako mkuu wa mkoa utashughulikia. Angalau waziri mkuu akisimama unaona kabisa anatembea kwenye hisia za wananchi ndio maana tunampenda.
Hao wengine wanapoteza muda bora wasingekuwa wanasimama. Waziri mkuu akisimama mahali unaona kabisa anafanya jambo la uhakika na anaondoka eneo hilo. Hao wengine hawajui kucheza mziki wa wananchi kwakweli
wewe ulishaacha kula rushwa toka lini?Samia ni dhaifu,acha kujificha kwenye mazoea,tangia amepata urais ameisha tatua shida hipi?Labda kufungulia alishababu na Mafisadi, sasahivi rushwa imerudi kwa mwendo wa 5g
Mwaka 2024 utaona wanazikumbuka mbinu alizotumia hayati Magu.Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.
Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.
Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,
Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.
Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.
siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,
Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu
Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
😀😀😀😀Mwaka 2024 utaona wanazikumbuka mbinu alizotumia hayati Magu.
Kutakuwa na copy ya mambo mengi sana.
JPM alikua sehemu kubwa ya tatizo la nchi hii na CCM, paka leo SSH ni victim wa uongozi wake. Mtu yoyote anae jua utawala demokurasia na utawala wa sharia hawezi kumiga au kumkumbuka Magu.Mwaka 2024 utaona wanazikumbuka mbinu alizotumia hayati Magu.
Kutakuwa na copy ya mambo mengi sana.
Rais hayuko kwenye ziara za kusikiliza kero,na hata afanyaje kero haziwezi kuishaNaongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.
Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.
Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,
Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.
Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.
siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,
Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu
Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
Binafsi huwa nauliza kwa nini vitu vidogo kama hivyo vinahitaji Rais?Naongea ukweli kutoka moyoni CCM mtanisamehe, Rais wetu hajui kuzungumza na raia barabarani, ni vyema ziara ya njiani zikanseliwe.
Rais hatatui changamoto unasimama njiani unaanza kuwaambia kurekodi filamu na tozo hiyo haisadii, wala sisi hatukusimamishi ili utwambie mambo ya filamu, sisi tunakusimamisha kukueleza kero na shida zetu tulizonazo eneo husika.
Ukisimama njiani tafadhali uliza wananchi wa pale wana shida gani, muite mkuu wa mkoa aeleze ataitatua lini au kwanini kashindwa kuitatua hilo ndio lengo la wananchi kusimama njiani,
Wananchi wanachangamoto sugu ambazo wakuu wa mikoa hawajawai kufanyia ziara, masoko yana shida, ushuru usio na tija, Rais simama omba hata Raia mmoja aelezee matatizo ya pale, muite mkuu wa mkoa umuhoji, Mweshmiwa Rais labda kwa taarifa tu ni kwamba hao wakuu wa mikoa hawafanyagi ziara wananchi hawajui wapate wapi msaada.
Nimeona leo hata pale Kwenye maonyesho wamekuomba ujenzi wa lami ya kilomita moja toka uwanjani hadi makumbusho ya bujora lakini hukuwajibu kitu.
siku nyingine tutakua hatuji maana kero zetu wakuu wa wilaya zimewashinda, mkuu wa mkoa kashindwa hata wewe Rais tunayekutegemea husemi chochote si bora vyavziara uviache tu tujikalie majumbani kwetu,
Naomba ziara za njiani zife ni kupotezea muda wananchi tu
Kama haiwezekani kusikiliza kero za wananchi eneo husika usiwe unasimama barabarani, kuumishana njaa tu
PM,VP, Mawaziri wapo kila siku Ziarani kwa nini wasiulizwe hao hadi kusubiria Rais?basi haina haja ya ziara za njiani, kama Rais anaogopa kumtumbua mtu asiewajibika sasa anamsaada gani kwa nchi